In 1971 and 1972 the late Iddi Amin conducted a nationalisation of the commercial assets of Uganda's mostly ASIAN merchants and enteprenuers.this was followed by ASIAN EXODUS from Uganda to...
RAIS Jakaya Kikwete ni wa 10 kati ya viongozi 52 wa Afrika kwa kuchapa kazi katika mwaka 2010 kwa mujibu wa jarida la East African.
Katika toleo lake la Desemba 27, 2010 hadi Januari 2...
Send to a friend
WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wamesema shirika hilo halitaweza kwenda mbele iwapo serikali haitaliondoa kwenye vitanzi vya mikataba ya kifisadi.
Walitoa...
Honeni mwandishi wa spichi wa Rais anavyo haribu lugha ya watu. Kumbe ndo maana spichi za Kikwete zilikuwaga mbovu. Hii ni aibu kwa taifa la Tanzania. Huyu ndo january makamba kwa maneno yake...
Zipo tofauti za kimsingi ambazo zinabainisha kwa nini serikali hii ya kifisadi inakimbilia kuwalipa DOWANS na kukwepa kuwalipa wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yaani EAC...
Majeruhi maandamano Arusha wadai wana risasi mwilini
Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 8th January 2011 @ 23:30
BAADHI ya majeruhi waliojeruhiwa wakati wa vurugu zilizotokea katika...
Mh. Prof lipumba kajieleza vizuri sana kuhusu mauaji ya arusha. Kama viongozi wa siasa wote watakua na umoja kama huu lazima mabadiliko yatapatikana tu.
source;
Nukuu just kipengele.
Hivi...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kawenye kaburi la aliyekuwa Waziri mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Marehemu Salum Juma Othman wakati wa mazishi yake yaliyofanyika huko Unguja...
Mi nilikuwa nafikiria kuwa mtaji mkubwa kwa chadema/nccr/cuf/tlp kushinda uchaguzi mkuu 2015 ni kuanza kuwaandaa watoto wa shule za sekondari za kata kwa ajili ya kuwaandaa kisaikolojia kutafuta...
"We are brave leaders, we will keep fighting for our rights without fear, we will not be afraid to suffer or get injured while defending our nation and we are requesting the youth, women and...
Rais Kikwete leo ametoa tamko lake huku akisikitishwa na tukio la Arusha lililosababisha mauaji ya raia wawili na kuacha mali za mamilioni ya shilingi zikiharibiwa.
Kikwete ameonesha ukomavu...
Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Arusha, amelaani maandamano ya CHADEMA huko Arusha na kusababisha vifo vya watu wasio na hatia. Amesema kama kisa cha maandamano ni kwa sababu ya umeya, ni kuwa uchaguzi...
Kwa hakika nimefanya tathmini ndogo ya effects ndani y takriban siku tano ambapo nchi yetu imepitia matukio makubwa mawili..., kwanza ni uamuzi wa ICC na tamko la serikali kuridhia kuilipa kampuni...
WanaJF,
Tukio la Arusha limeendelea kudhihirisha utashi wa jk katika suala zima la kudumisha amani nchini iliyojengwa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere. Ukweli ni kwamba jk hana utashi...
Kila Waziri na kila mkurugenzi katika idara za serikali ya Kikwete anasema kitu chake kinachopingana na mwingine katika jambo hilo hilo.
Maafa yaliyotokea Arusha hakuna kiongozi ye yote wa...
Nimetoka Police Mess Jana usiku hapa Arusha nilishuhudia FFU zaidi ya 45 wanakula kuku baada ya 'kazi nzurì' ya kuua wana wa nchi waliokuwa wanaonesha hisia zao juu ya demokrasi mbovu inayofanyika...
JK apigilia msumari wa mwisho Dowans
Rais Jakaya Kikwete amewataka wanasiasa kuacha malumbano kuhusu ununuzi wa mitambo ya Kampuni ya kufua umeme ya Dowans Limited. Alitoa mwito huo jana katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.