Follow the link below for major events regarding the group and its subsidiaries, legal settlements and
other cormmecial deals:
Portek International Ltd (PKIL.SI) Key Developments | Reuters.com...
Hii imedhihirisha tamko la Shimbo kuwa polisi na JWTZ walikuwa tayari kumwaga damu nyingi za watanzania kumlinda Kikwete na utawala wake wabakie madarakani endapo kungekuwa na maandamano ya...
kuna tetesi kuwa aliyekuwa mbunge wa rombo ameteuliwa kuwa balozi nchi ya Uswisi. kama kuna mwenye taarifa yoyote. inaniwia vigumu kukubali kutokana na kesi yake inayo endelea.
nawasilisha Ps.P
Zitto amshangaa Pinda kufunga mdomo vurugu Arusha
NAIBU Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe amesema anashangazwa na ukimya wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuhusu mgogoro wa kisiasa...
Kwamba Maaskofu hawapaswi kuongelea mambo yanayohusu siasa au viongozi wa kisiasa ni ufinyu wa mawazo na kutokujua hakika utume wa viongozi wa kidini na hata historia yake.
Mtume Mohammed...
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.
Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira...
Wandugu,
Mimi ni miongoni mwa wananchi waliokuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa Jk kuongoza nchi. Kwa jinsi nilivyomfahamu, nilijua anauchukulia urais kama vyeo vingine alivyowahi kukalia. Kikubwa...
Jamani naweza kuuliza huu Umeya ambao umezua pata shika baada ya uchaguzi mkuu ni kitu gani na una maana gani(Au una nguvu gani) Kisheria ,je watu hawa ni sawa na wale regional(Wakuu wa Mikoa) au...
By Lusekelo Philemon
9th January 2011
The death toll from Wednesday's bloody clashes in Arusha between Chadema supporters and police has now climbed to six, a special...
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu
=========================
Updates:
Hii habari si Kweli. Kwani hii ni nyumba ya Wageni iitwayo...
Inabidi AMNEST INTERNATIONAL NA WORLD TOURISM ORGANISATION WAJUE HALI HALISI YA YALIYOTOKEA ARUSHA.
NANI MWENYE KOSA, NANI CHANZO CHA VURUGU, KWA NINI POLISI WANAUWA WATU WASIO NA HATIA...
Jeshi la Polisi nchini limeundwa kwa mujibu wa sheria ya Jeshi la Polisi Tanzania PFO Cap.322 na majukumu yake yameainishwa wazi katika kifungu nambari 5 cha sheria hiyo. Jukumu kubwa ni kulinda...
One of the biggest port management firm from Singapore Portek International is embroiled in an energy scandal that has been brewing in Tanzania for almost five years now. Portek Systems and...
Ningependa kuuliza wana JF na wajuzi wa mambo ya sheria, inakuwaje kwa development ya mambo yanayotokea Arusha, hii ni obvious yule meya "mteule" wa arusha hatakuwa na diwani mmoja kutoka chama...
Ndugu zangu wanaJF, Imekuwa ni wimbo/jadi kwa CCM kipindi cha uchaguzi kuhubiri eti wapinzani wakichukua nchi wataleta Vita, Udini, Watavuruga amani iliyoko nchini. Je ni kweli kwamba wapinzani...
Follow the link below for major events regarding the group and its subsidiaries, legal settlements and
other cormmecial deals:
Portek International Ltd (PKIL.SI) Key Developments |...
Previously Published in March 2009
As the public electricity power supply utility, Tanesco struggles with bail-out plans in order to avoid major power shedding expected to hit the nation by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.