Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ninakwazwa na Waandishi kama hawa wa MWANANCHI wanaoandika mambo tete kwa jamii kwa fikra zao bila ya kuwa na ushahidi bila ya kujali taathira za vitendo vyao. Waandishi wa nama hii wanafaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
With commercialisation of blogs, same diseases that have been eating our mainstream media threaten the social media as well (including blogs). Check the leading blogs like Michuzi, Haki Ngowi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu Wananchi wote - TUNAMBA MICHANGO YENU YA HALI NA MALI KWA WAHANGA WA MAAFA KATIKA MAANDAMANO YA AMANI ARUSHA. TUMA MACHANGO WAKO KWA M-PESA: 0753444443 ZAP: 0688111161 TIGO PESA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi kumekuwepo na taarifa ya kukanganya toka kwa tambwe Hiza! Na John Daniel CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimedai kuna taarifa za uongo zinazosambazwa kuhusu idadi ya madiwani wake katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete (wa saba kulia) akipozi katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (kushoto kwa Rais) katika hafla ya kutimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake. Wengine ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
If you go through Mr. Tice's resume provided in one of the threads, you will notice that at one time he was overseing the trust and fiduciary business of Deutsche Bank in Africa and Middle East...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Polisi Songea wazuia maandamano ya CHADEMA na Stephano Mango, Songea JESHI la Polisi wilayani hapa limezuia kufanyika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimemsikiliza mwisho mwisho Tambwe Hizza katika bulletin ya Ch 10 usiku huu akitoa ufafanuzi kuhusu uchaguzi wa Meya Arusha kuwa ulifanyika kihalali na nonsense nyingine kuhusu yule Mbunge wa viti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wandugu wanaJF, Kuna tabia imeanza kushamiri humu janvini ya kuchangia hoja kwa mtazamo wa kidini badala ya ku-focus kwenye hoja yenyewe. Mfano mzuri ni hoja ambayo bado ni 'moto' ya unyanyasaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makamba amesema chama chake hakistahili kutupiwa lawama kutokana na matokeo ya uchaguzi wa meya wa Arusha, kwani mchakato mzima wa uchaguzi huo ulisimamiwa na msimamizi ambaye ni mkurugenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Source: Gazeti la Tanzania daima la leo, January,10, 2011 www.freemedia.co.tz Aidha, wiki moja baada ya machafuko ya kisiasa jijini Arusha, jeshi hilo mkoani Kilimanjaro limefuta mikutano...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu Zangu, Leo wakati nikitafakari deni letu kwa Dowans nimemkumbuka Mwalimu. Angekuwepo Mwalimu Nyerere hakika asingetafuna maneno katika hili la Dowans. Angesema neno moja tu; HATULIPI...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
By The Citizen Reporter Jan 9, 2011 The long running, controversial Tanesco emergency power generating saga involving Richmond Development Company (RDEVCO) and Dowans Holdings SA, has now...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
“Mimi nilishiriki katika kuwashawishi Dowans kuja nchini. Nitaendelea kushawishi wawekezaji waje nchini ili nchi iendelee, ajira ipatikane na kodi ziongezeke. “Juzi tu nimetoka Singapore...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Prof. Shivji alisema "vyama vya upinzani na wanaharakati madai yao ya mabadiliko ya katiba yanalenga zaidi maslahi ya viongozi kama nafasi za ubunge, udiwani etc kuliko maslahi ya mlalahoi...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Kama tumeamua kupambana na CCM na utawala wake basi tujipange kwa kutegemea vyama vya siasa tu. Mambo haya ambayo naona ni mchezo unaopangwa na CCM na serikali yake ni kutumia vyombo hivi katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF nimejaribu Kufikiria ni maandamano ya aina gani yaliyowahi kupewa baraka na serikali yetu kwa miaka ya hivi karibuni nimekosa jibu, pengine tukumbushane tu! Naona sasa maandamano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mmiliki wa gazeti la Rai; Rostam Aziz, ambaye ndiye wengi tunaamini ni mwakilishi wa JK kwenye kashfa ya DOWANS ambayo isipovaliwa njuga italigharimu taifa zaidi ya bilioni 100 ametumia nafasi...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Lowassa ni Senator wa Arusha?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom