Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Just a note mtanzania in question siyo yule wetu hapa JF Tanzania's Jengo wants mine listings on African exchanges JOHANNESBURG (miningweekly.com) – Tanzanian minerals executive Emmanuel...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mama jk yupo wapi,tangu tumsikie kwenye matumizi ya fedha na mali za serikali wakati wa kampeni sijamsikia tena au ameenda kupumzika ulaya?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tusipoangalia vizuri na kwa jicho la pekee na kama watu wenye akili zuri na upendo na nchi hii hawatajitokeza na kuweka mambo sawa, nadiriki kusema nchi hii si muda mrefu itaingia kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
FOR a country and people used to uninterrupted peace and tranquility, the events in Arusha on Wednesday in which police had to use force to disperse an illegal demonstration staged by a section of...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
"kabla ya migogoro haijatatuliwa ni lazima wahusika wakuu waamini kuwa kuna mgogo" "itiini mamlaka iliyowazidi nguvu, hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu..." Baada ya wananchi zaidi ya wanne...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema Thursday, 06 January 2011 Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amekilaumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
245 Replies
20K Views
Hivi hawa waliompa mkwere nafasi ya kumi kwa utendaji Africa,wanamjua kama sisi watanzania tunavyomjua na tunavyoona mambo yanavyoendeshwa nchi hii?na kama wanadanganywa tatizo ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanandugu.nimekua nikifatilia kauli za watu mbali mbali kuhusiana na mauaji ya arusha.jambo moja linakera.watu wengi hachambui hoja bali mtu aliyetoa hoja na kwa msingi ya dini.je watanzania wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kujisahau, kujiamini au nini? Hivi polisi wamezionyesha ‘silaha’ walizokutwa nazo waanadamanaji wa Chadema kusapoti uhalali wao (wa polisi) kutumia risasi za moto dhidi yao? Polisi wetu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huku akizungumza kwa lugha ya upole na umakini mkubwa Mwnykt. wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe alilaaani vikali vitendo vya polisi kuvamia na kuuua waandamanaji.. Huku akikana taarifa ya polisi kuwa...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Wapendwa wangu Great Thinkers...mimi katika kufuatilia sana utendaji wa hawa wawili, nimegundua kwamba Mh. Makamba ni kiongozi ambae maneno yake huwa yanamashaka sana. Kwa mfano: Kuna kipindi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Makamu wa mwenyekiti wa CCM Taifa komredi Msekwa amesema Rais JK amesononeshwa sana na kilichotokea Arusha na amesema Kamati kuu kujadili suala hilo. Wakati huo huo Makamba ambaye ni katibu mkuu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani mi naona kama tumekaribia kufika hivi..? Au nyie wenzangu mwaonaje? Kikwete you bloody bastard....!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CHADEMA imeshinda kiti cha Mwenyekiti wa Halmasahuri Wilaya ya Hai. Hatimaye CCM wamesalimu amri baada ya CHADEMA kukinyakua kiti hicho. Wilaya ya Hai ilikuwa ni mojawapo ya maeneo ambayo kulikuwa...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
A nationalist is a person who advocates that the interests of the nation or country are primary and deserving preference over other individual interests. A nationalist is concerned mainly with...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM imezoea miaka yote kubebwa na vyombo vyote nchini na hali kadhalika kubebana wao kwa wao. Sasa mfumo wa demokrasi wa vyama vingi unaposhika kasi ya enzi za utandawazi CCM bado hawajaamka kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la Mwananchi la leo linatuhabarisha ya kuwa mkongwe wa siasa nchini ametofautiana na akina Makamba na vigogo wengineo ndani ya CCM kwa kubainisha ya kuwa CCM Arusha ndiyo imewakosea...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
"Leo wakati nikitafakari deni letu kwa Dowans nimemkumbuka Mwalimu. Angekuwepo Mwalimu Nyerere hakika asingetafuna maneno katika hili la Dowans. Angesema neno moja tu; HATULIPI!" Global...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa vile hawa (Katibu wa CCM wilaya ya arusha, Mary Chitanda na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Arusha ambaye ndie msimamizi wa uchaguzi) walikuwa vyanzo za vurugu za uchaguzi wa meya yaani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona wazii moto unaowawakia Ngeleja na AG, who allowed DOWANS walipwe mabilioni? Bunge ndilo linalo pitisha Budget, kama vile hawajui taratibu, Mkulo kajitoa kakaa mbali, kasema hazina haitoi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom