So wananchi wakiwakataa CCM kwa kutowapigia kura basi wao watadai wabunge wao wakuteuliwa kutoka majimbo mengine wamehamia kwenye mkoa huo na hivyo kuchukua uongozi wa halmashauri ya majimbo hayo...
Nikiwa eneo langu la kazi hapa Nyerere road Nimeshuhudia dakika nnezilizopita magari ya FFU yakipita kwa mbwembwe na tena kwa uwingi, Je mliopo huko center kuna nini? maana nimeshituswa na...
The Moose on the Table of Mr. President
"By the day soldiers stop bringing you their problem is the day you have stopped leading them. They have either lost confidence that you can help them or...
Askofu Martin Shao amemtaka Waziri Mkuu kuitisha mikutano ya mazungumzo kwa mgogoro wa Arusha na mengine kwengineko kwa njia za amani, busara na upendo.
Naona chama kinamfia JK maana mgogoro Chadema na serikali haieleweki kabisa nini msimamo wa Chama(serikali)au tuseme mkwere kajichokea kaamua kila mtu ruksa
1.Shamsi Vuai- "huu ni mgogoro wa...
Waungwana,
Napenda kutoa ombi kwenu ili tufanye mchango wa nguvu kuwasaidia katika gharama za mazishi ndugu, jamaa na marafiki wa wale ambao wamepoteza maisha yao katika mauaji yaliyotokea...
salaam ndg wana JF,
wana jamvi na watanzania wenzangu, mashirika yetu ya uma na taasisi mbali mbali za serikali kuna ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa fedha za uma na wafanyakazi wao.
nimechukua...
Toka kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kumekuwa na mambo ambayo yanakera sana pale unapokuta kiongozi tena mtendaji wa chama iwe katibu au mwenyekiti wa chama utasikia HAYO YALIKUWA MAONI...
Waajiriwa ni wachache sana na wanawajibika moja kwa moja bungeni. Kazi yao kubwa ni kufanya utafiti wa mambo yanayo sababisha rushwa, sio kuwakamata walarushwa! Walarushwa hukamatwa na Polisi...
I know I know.. u have not even considered how does Karamagi fits in the whole picture. Well, he does. As a matter of fact he fits in like a wedding ring to a bride! think about it.
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo...
[SIZE="3"Kufuatana na taarifa ya Ch 10 usiku huu, wazee wa Dar (ambao wamesema kuwa wanawasemea wazee wenzao nchi nzima -- yaani wameipora hiyo haki bila ya ridhaa yao) kwamba Chadema wangekwenda...
Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Bw. Yusuf Makamba alisema ushindi wa mwanawe, Bw. January Makamba katika Jimbo la Bumbuli ulikuwa wa lazima na iwapo angeshindwa ilikuwa ni fedheha...
There was no justification whatsoever of the brutal use of force against innocent and unarmed demonstrators in Arusha on January 5th, 2011 which lead to the killing reportedly of 2 civilians and...
Sijui huyu mama anatoa wapi jeyri hii yote,mtiririko wa sakata zima la matukio ya arusha yapo mgongoni mwake kama muhisika mkuu,bado anaendelea kutoa kauli tata na kufanya mambo kana kwamba yeye...
AUSTIN, Texas Former U.S. House Majority Leader Tom DeLay, once considered among the nation's most powerful and feared lawmakers, was sentenced to three years in prison Monday for a scheme to...
Pengine wakati uongozi wa Chadema mkoani Pwani ulipochukua uamuzi wa kuahirisha mkutano wao wa hadhara-baada ya "intelijensia yao kubainisha kuwa jeshi la polisi lilikuwa na njama za kuzusha zahma...
Tusipoangalia vizuri na kwa jicho la pekee na kama watu wenye akili zuri na upendo na nchi hii hawatajitokeza na kuweka mambo sawa, nadiriki kusema nchi hii si muda mrefu itaingia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.