Lam 5:1-3
Remember, O Lord, what has happened to us; look, and see our disgrace. Our inheritance has been turned over to aliens, our homes to foreigners. We have become orphans and fatherless...
Sielewi ni nini kinatokea hapa na nili na wapi?
Inaonekana kama kuna mama ndani anakwepa kipigo cha polisi na nyuma kuna msafara wa kiongozi mkubwa Rais au waziri mkuu
Ndugu zangu wanaJF, ninavyofahamu mimi polisi wanatakiwa kufanya kazi kwa kufuata misingi ya sheria na kanuni zilizopo. Lakini cha kushangaza jeshi hilo limekuwa likitetea maslahi ya CCM na...
Eti wadau kama rais Jakaya Kikwete asipeleke majeshi yake kule Ivory Coast ili kumtoa madarakani rais Laurent Gbagbo aliyeng'ang'ania madarakani kama alivyoyaongoza majeshi ya Tz kwenda kumuondoa...
Ni dhahiri kwamba serikali imesabaisha fujo na mauaji ya watu wasio na hatia huko Arusha, wanasheria wa CHADEMA tunawaomba wawasilishe mashataka mahakamani ili wote walio sababisha yote haya...
Nanukuu sehemu hii ya Hotuba aliyotoa JK ya mwaka Mpya.
Najua wapo baadhi ya wanasiasa na vyama vya siasa ambavyo vimepanga mikakati ya kuendeleza malumbano yauchaguzi na kutaka Watanzania...
Arusha imechafuka na kuingia katika historia kwa sababu ya huyu mama. Kila siku tunasikia Mary Chitanda (wengine wanaita Chatanda). Ukisikia uchaguzi wa Meya umekwama Arusha utaambiwa kwa sababu...
Nchi ilipofikia sasa chini ya uongozi wa Kikwete, hata wanachama wa ccm hawataki hali hiyo. Ushahidi ni pale wilaya ya Hai iliyokuwa na madiwani 11 wa ccm na 11 wa chadema, halmashauri yake...
Sakata la kujiuzulu kwa Naibu Meya, Michael Kivuyo, limewafanya viongozi wa CCM Wilaya ya Arusha kufanya kikao cha dharura hadi usiku.
Habari za uhakika kutoka ndani ya kikao hicho zinasema...
Napigwa butwaa na wasanii wetu wa Tanzania wanavyojiita kuwa ni kioo cha jamii wakati huwa wanaendekeza njaa zao na kufumbia macho masuala muhimu jamii wanayoishi kwasababu ya kufunga fungate na...
Wana JF wenzangu , natowa msimamo wangu mapema juu ya uchaguzi wa mwaka 2015. Napenda chama makini na chenye Demokrasia ya kweli kama CHADEMA. Sababu za kupenda washinde ziko kwenye umakini na...
THE former boss of ccm's private company(SUKITA) mr John Kolos Kapinga has died this early morning at his kimara residence.the report from his family has confirmed. i could not confirm the exact...
Toka kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kumekuwa na mambo ambayo yanakera sana pale unapokuta kiongozi tena mtendaji wa chama iwe katibu au mwenyekiti wa chama utasikia HAYO YALIKUWA MAONI...
Sina hakika kama nina uvivu au nina makengeza wa kushindwa kutambua kile kilichodaiwa na kiongozi mmoja wa CUF. Katika madai hayo, kiongozi huyo (Naibu Katibu Mkuu wa CUF) Bw. Ismail Jussa Ladhu...
"By the day soldiers stop bringing you their problem is the day you have stopped leading them. They have either lost confidence that you can help them or concluded you do not care. Either case is...
Hapa udsm hapakaliki! Kipara asemekana kuwa chanzo cha matatizo kwa kujiunga na tahliso kinyemela pasipo kuwahusisha wapiga kura wake. Hoja hapa ni kwamba kipara ang'oke. Sasa najiuliza kipara...
Inapaswa dunia nzima ipate kujua kilio cha watanzania na ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na chama cha mapinduzi,
dunia ipate kujua kuwa...
Habari wana JF,
Nimekuwa na maswali mengi sana kuhusu utawala wa serikali ya kimabavu ya JK na bado sijajiridhisha na baadhi ya majibu niliyopata. Hivyo naomba wana JF mnisaidie kutafakari...
Ndugu wana JF nimeona nianzishe thread hii rasmi kwa ajili ya kutoa rambirambi zetu kwa marehemu wa tukio la maandamano ya Arusha. Ninaomba tusiifanye thread hii kuwa ya kutolea vijembe vya...
Wadau nimepata taarifa za kushtua sana hapa kwamba jeshi la polisi limepiga marufuku mazishi ya kitaifa kesho kwa nashujaa waliouawa kwa kupigwa rusasi za motoi na polisi wiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.