Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Habari wachangiaji wote wa jamii forums, nimeshawishika kuwa mchangiaji wa mada mbalimbali zinazoendelea humu ndani baada yaa kuwa msomaji tu wa mtandao huu kwa muda mrefu hivyo ninawataarifu kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Unafahamu jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,mambo ambayo yangetokea kama maandamano yangefanyika yangelipelekea Chadema kufutwa na pia wengi wa viongozi kuishia gerezani. Majanga ambayo...
0 Reactions
92 Replies
8K Views
This song is dedication for our fallen heroes, true freedom fighters. Kesho tutawapa salamu za mwisho, tunasikitika kwa vifo vyao, lakini tunawashukuru kwa ushujaa wao. Walisimama kudai haki...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Bwana Muna Qamunga, Aliyeshinda katika uchaguzi wa 31 Oktoba, 2010 kwa Kata ya Endasak, Wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara, Kata anayotoka Waziri wa Nchi Uwekezaji na Uwezeshaji, Mheshimiwa Dr...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mpendazoe afichua njama mpya na Mwandishi wetu ALIYEKUWA mgombea ubunge jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tamko rasmi la kutomtambua Laurent Bagbo na kumtaka aondoke madarakani kwa hiari yake na kumuachi madaraka mshindi halari wa kiti hicho bwana...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA asema chama kinatarajia kutoa tamko rasmi la kulaani mauaji ya raia yaliyofanywa na jeshi la polisi katika maandamano ya chama hicho mkoani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika ule mwendelezo wa Serikali kupinga wanafunzi wa Vyuo vikuu hasa vya umma kutumia haki yao ya kidemokrasia kudai haki zao, leo Polisi wa mkoani hapa wametembeza kichapo cha "ukweli" kwa...
0 Reactions
395 Replies
31K Views
ambayo hakuna anyeilalamikia TRA wanajua kuwa TBL hawalipi kodi ipasavyo lakini husikii kitu Daily News | ActionAid calls for tax reforms to avoid loopholes lakini TRA wazuri kuwabana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu, kutokana na jinsi uchaguzi 2010 ulivyopelekea kutokea kwa matukio ya arusha; ambayo pia yanaakisi hali halisi ya yanayojiri nchini tanzania; ninayo heshima kupendekeza kuanzishwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kweli ndugu yetu IGP Mwema, ulitusaidia sana juu ya kupata habari za kiinteligencia ambapo kwa kuruhusu maandamano hali ingekuwa mbaya zaidi kuliko umwagaji damu uliotokea hapa Arusha. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu hii habari inaukweli wowote? Maana simwamini kabisa Hiza Tambwe na ofcourse kwenye hiyo 16 ndiyo pia kuna mbunge wa Tanga na aliyejiuzulu wiki iliyopita. CCM: Tuna madiwani 16 Arusha...
0 Reactions
131 Replies
11K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi na kufanikiwa kuongoza Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro. Diwani wa Kata ya Machame Kaskazini, Clement Kwayu, ndiye...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Dr Slaa ametoa onyo kali kwa polisi kuacha mara moja kukiuka haki za binadamu kwa kuwanyima watanzania haki yao ya msingi ya kikatiba ya kufanya maandamano ya amani na kuwashambulia wana wa nchi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi ni kitu gani serikali ya Kikwete inaweza? maana hata kulipa watu mishahara kwa wakati muhafaka ni tatizo! na ukiangalia vizuri unakuta zile wizara na taasisi zilizopewa hawa ndugu zetu...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Jamani liko wapi soko la hisa za watanzania? Nataka nikaulize kama thamani ya mTZ imeongezeka au iko palepale. Mzee wa vijisent aliua akina dada wawili (mmoja mwenye umri wa miaka 38) na mahakama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali inayoonesha kuwa lengo lao ni kuwajibu Maaskofu wa ARUSHA, Viongozi wa dini ya Kiislam wamesema wanamtambua Meya wa ARUSHA na watampa Ushirikiano wote. Haya sasa Mary Chitanda...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Wahadhiri udomu na wanafunzi wamegoma !!!! Wahadhiri wanamtaka jk au bilali akawatatulie tatizo la nyongeza ya mshahara , sasa bilali anatanua na wake wawili mbuga ya serengeti ambayo kila siku...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi, kesho ni siku ya kuwaombea na kisha kuwazika mashujaa waliouwa wakati wa maandamano ya Amani na mkutano wa Amani ulioandaliwa na Chadema tar. 5/1/11, ni msiba mzito sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Napenda kutoa mwito kwa wachadema na wapenda amani wote kwamba hawa ndugu zetu waliouliwa polisi, wakumbukwe na tuwaenzi kama mashujaa wapiganaji dhidi ya ufisadi na ugandamizaji wa demokrasia ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom