Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi;
Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar.
Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa...
Maelfu ya wakazi wa Arusha,tangu asubuhi asubuhi wamejazana uwanja wa NMC tayari kuwaaga MASHUJAA waliouwawa na vibaraka askari wa Chama cha mafisadi(Ccm).
Mpendwa Dr. Mwakyembe, Umekuwa rafiki wa watanzania wa vyama vyote na wa kila mahali. Ushujaa wako ulitokana na yanayoendelea sasa ambayo kama mashujaa hawatasimama basi mafisadi ( Dowans)...
SERIKALI imetoa pole kwa familia za watu watatu waliouawa katika vurugu za kisiasa mkoani Arusha, wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kilipolazimisha kufanya maandamano bila kibali...
Kuna tetesi kuwa Abdiel Mengi, yule mtoto wa Reginald Mengi amebambwa na polisi akiwa na mzingo wa madawa ya kulevya. waliokaribu na 'cycles' na kwamba tayari yuko mikononi mwa vyombo vya dola...
Ngoma CCM, CHADEMA Arusha bado mbichi
*Mbunge kutoka Tanga ashiriki tena uchaguzi
*CHADEMA waususia, wasema hawashiriki uhuni
Na Glory Mhiliwa, Arusha
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga...
Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi;
Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar.
Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa...
nadhani huu ndio muda muafaka kwako jk kuicheza karata yako dume mapema kuimarisha ngome yako kwa kutekeleza sasa ahadi zako kama vile mameli, machinga complex, viwanja vya ndege, madaraja, reli...
Leo jioni kwenye taarifa ya habari ya saa moja usiku channel Ten wanaharakari wamehoji ushirikishwaji wa Bunge na wananchi katika kesi iliyoendeshwa kimyakimya kwa msuluhishi huko Ulaya na...
NADHARIA hii imeandikwa baada ya kutafakari matukio mbalimbali duniani yaliyotokea katika vipindi mbalimbali vya historia.
Nadharia hii inajaribu kuchambua ufisadi pamoja na athari zake na namna...
wanafunzi wa MLIMANI wamelaani mauai ya raia mkoani Arusha yaliyofanywa na Polisi na kuitaka serikali kufikisha polisi hao katika vyombo vya sheria.
ITV HABARI-20:00
Nimejaribu kupitia maelezo ya Mh. Mwakyembe, na hasa alipodai kesi ya Dowans kwa serikali hata angepewa mwanafunzi wa first year law angeshinda nikamfikiria Mwanasheria mkuu, alipoishauri serikali...
UVCCM Arusha kesho wameandaa sherehe ya kumpongeza 'Meya' kwa kuchaguliwa kwake. Sishangai kwa 'vijana taifa la kesho' kufanya sherehe ya kumpongeza Meya wakati tuna msiba kwa sababu hayo ndio...
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa raisi jakaya kikwete na waziri mkuu pinda watahudhuria mazishi ya kesho kwenye viwanja vya nmc arusha.na hii imetokana na msukumo wa kimataifa kwani taarifa zinasema...
NA KHATIB SULEIMAN, ZANZBAR
MAPINDUZI Matukufu ya zanziba ya Januari 12, 1964 yalihitimisha utawala wa Sultan uliodumu kwa takriban karne moja.
Ni mapinduzi ambayo yalikuwa na lengo la...
Vurugu kubwa zimeubuka eneo la Mbagala Kiburugwa, jijini Dar es Salaam, baada ya wananchi wenye hasira kuvamia jengo la ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kubomoa ukuta wa uzio.
Vurugu hizo...
Yaani kwa uadilifu aliokuwa nao Waziri Mkuu Pinda na imani ya Wananchi juu yake kwa sasa iko mashakani. Maana yeye kwa uadilifu wake akianzisha kitu anategemea watamuunga mkono kumbe loh! inakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.