mwanzo wa mwaka umeme juu,nishatu juu bado tupandishiwe nauli...haya yote tutapata maendeleo..na mishara watatuongeza au baraka za kuongoza bei ya umeme,kwani anayepata matatizo ni sisi raia...
Ubarozi wa Kenya nchini Tz, umetaka maelezo kuhusu raia wao aliyekufa kwny vurugu za Arusha. Polis tz yahaha kutafuta maelezo yatakayo watosheleza wakenya... Chanzo taarifa ya habari Passion FM...
nawaomba MWANAHALISI wawe wana-update tovuti yao haraka iwezekanvyo ili sisi ambao tunalikosa kwenye news stands,tupate nafasi ya kulisoma kwenye tovuti yao.MUNGU IBARIKI MWANAHALISI,MUNGU...
Mazishi muasisi CHADEMA yapata msukosuko
na Christopher Nyenyembe
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani hapa, kimepata msukosuko kwenye mazishi ya muasisi wa chama hicho, Edna...
Wana Arusha wameonyesha ni jinsi gani wamechoshwa na utawala dhalimu wa CCM na kuwa tayari kwa mabidiliko kwa gharama yoyote ile. Shukrani sana kwa kujitokeza kwa wingi kuwasindikiza ndugu...
kila nikisoma magazeti ya Rai na Mtanzania naona sasa tofauti, yanaichambua ccm, kuna tetesi kwamba bodi ya habari corparation imekaa na imeamua kuichambua ccm kama Karanga, hata wale magwiji wa...
WanaJF naomba kuuliza kutokana na kauli Mh Membe alioitoa jana kuna uhalali wa Tanzania kumtaka Rais aliejiapisha wa Ivory Coast Mr Gabbo aondoke madarakani huku akijua wazi mshindi ni Watara na...
Leo imedhihirika wazi kwamba unyama uliofanywa na CCM kuwaua wenzetu umeendelea kuisuta serikali na hivyo kukosa ujasiri wa kujitokeza hadharani hata tu kutembelea majeruhi pale Mount Meru...
Hatimae Chama cha Demokasia na Maendeleo kimeonyesha uwezo wake na kuwahakikishia watu wa intelijensia na serikali ya JK kwa ujumla kuwa intelijensia zao si kitu na nizauongo uliokithiri. IGP...
Habari za uhakika kutoka uongozi halali wa BAKWATA Arusha na Mufti Mkuu Dar, zinasema waliolaumu Chadema na kutambua Meya wa Arusha ni BAKWATA vuvuzela. Siyo viongozi halali wa BAKWATA, ni wahuni...
Kwenu ninyi muipendao CCM na viongozi wake tukianza na Mwenyekigoda jk,Katibu makamba na wengineo msululu mreeeeeefu.. Tusaidieni kujibu hili swali kipi ni sahihi Dalili za mvua ni mawingu au...
Mewenyekiti wa CCM Arusha amtaka waziri Mkuu atoe tamko juu ya utata wa Meya arusha. Ni kumbeep mtoto wa mkulima au nikutafuta kujitoia kwenye tope alilozama?
Source :: IPPMEDIA:party:
CHADEMA leo kupitia Mwenyekiti wake Mh. Freemen Mbowe imetoa tamko kuhusu mauaji ya yaliyofanywa na polisi mjini Arusha.
Alidai kuwa Maandamano ya tarehe 5 January yalikuwa halali, kibali cha...
Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa...
Ndugu zangu, ninaomba kujua ma Rais wanaoheshimika sana Afrika (hata kama ni wastaafu); wa kwanza hadi wa mwisho. Wasioheshimka wasiandikwe hapa. Naomba tutoe na sababu za (michango yao au ubunifu...
Nilikuwa nikifuatilia tamthiliya ya 24 season 5 na kugundua maamuzi aliyokuwa anachukua logan ni sawa kabisa na haya anayochukua jk. Sijui coincidence ani hii jamani maana kwenye ishu muhimu...
Idadi kubwa ya vyuo mbalimbali vikiwemo vya ufundi na ualimu vimejengwa na kanisa. Hospitali mbalimbali na zahanati zinaendeshwa na maaskofu. Miradi mbalimbali ya umeme vijijini imeanzishwa na...
Hali ya kusikitisha ni kwamba mauaji yaliyotokea yanaonekana kama Serikali iliua sisimizi.Wakati wakazi wa Arusha wameomboleza leo,Viongezi wa juu wa Serikali wako Zanzibar wanakula kuku.Hii ni...
Hili ni tatizo kubwa sana kwa sasa hapa nchini kwetu, wasomi wengi hasa wanafunzi wa vyuo tumekuwa WAONGEJI wakubwa sana wa mambo ya siasa na sio WASHIRIKI.we are good in theory than practical.e.g...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.