Hivi hii kama sio laana ni nini? Wakati serikali yetu iko bize kutaka kuilipa Dowans kwa kisingizio eti " Inafuata utawala wa sheria" Angalia inachofanya kwa wananchi wake wenyewe iliyowaathiri...
Sitta: Sikukejeli vielelezo vya Dk Slaa kuhusu BoT
*Asema hakuvionyesha vyote kwenye televisheni
*Ataka wabunge watoe hoja hata kama ushahidi wao si asilimia 100
*Slaa asema propaganda za...
Petrol/Diesel bei juu, umeme (18%) increase - bili ilivyopanda kana kwamba unakiwanda cha kufufua umeme hapo kwako, kodi nyumba juu (nimepandishiwa), mchele kilo kana kwamba unanunua jaruba...
Nimeona ni vizuri tukaleta mpambano huu wa kuona ni nani zaidi kati ya hawa maktibu wawili wa vyama CHADEMA (Dr Wilbroad Slaa) na CCM (Yusuph Makamba). Je kwa muono na mtazamo wako ni katibu yupi...
Chama cha Wananchi (CUF) kimewapiga marufuku mawaziri wake wanaounda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kutumia magari ya Serikali kwa shughuli za kisiasa za chama hicho kwa madhumuni ya kulinda misingi...
"Kama serikali wameamua kutuvunjia heshima, basi wasimame kwenye majukwaaa kutetea uovu wao, na sisi
tutasimama kwa ajili ya kupinga uovu wao, tuone Mungu atamsikia nani. Askofu Laizer -...
Jana (12/01/2011) yamefanyika mazishi ya wahanga wa mauaji yalilyofanywa na polisi bila ulinzi wa polisi na hapakuwa na uvunjifu wa amani. Kama wananchi waliweza kufanya shughuli zao bila ushiriki...
Wednesday, 12 January 2011
Na Hussein Issa
SIKU moja baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kuwasilisha pingamizi Mahakama Kuu kutaka serikali isiilipe Kampuni ya Dowans...
Mheshimiwa Saidi Mwema Mukuu wa jeshi la polisi Tanzania ninajua hata kama sio member lazima utakuwa unasoma jamii forums ninakufahamu vizuri tangu ukiwa Bank kuu, Police Hq, OCD osyterbay, Rco...
HESHIMA KWENU WANA JAMVI.
TUMESHUHUDIA NA YALIYOJIRI ARUSHA NA KUSABABISHA KUPOTEZA ROHO ZA MASHUJAA WETU KUTOKANA NA UBABE WA SERIKALI YA CCM.
KITU KIKUBWA NINACHOJIULIZA NI KWAMBA, SHIRIKA LA...
Ndugu wana jamvi nimejitahidi kutega sikio nisikie angalau salamu za rambirambi kutoka serikalini lakini hadi msiba unakwisha sikusikia chochote, ina maana serikali imesusia raia wake...
DOWANS kuvunja Baraza la Mawaziri
LHCR wamuunga mkono Sitta, Wafungua kesi kuipinga Dowans
na Nasra Abdallah na Betty Kangonga
SAKATA la malipo ya fidia kwa Kampuni ya kufua umeme wa...
taarifa zilizonifikia hivi punde kuna ushawishi mkubwa kutoka NEC juu ya Makamba kutoendelea na wadhifa wake wa Ukatibu Mkuu! Mkutano wa NEC ulio mbioni kufanyika huenda utamtema kutokana na...
Politicians with legal problems
Tom DeLay is the latest politician to face the judicial system. Read about his case and more politicians who have had legal battles.
Office:DeLay held the No. 2...
Chadema wanatupeleka ile sehemu ambayo kila Mtanzania atakuwa anajua anaelewa kuna nini ndani ya nchi yake na kinachotaka kifanywe ni kitu gani ,ujumbe ambao Chadema wameufikisha si mdogo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.