TAMKO LA CHADEMA - GEITA KULAANI UTUMIAJI WA NGUVU ZA ZIADA KUDHIBITI MAANDAMANO YA TEREHE 05.01.2011 MJINI ARUSHA
Ndugu watanzania na wapenda Amani wote. Uongozi wa Chadema na jumuiya zake...
Naona wengi mnapotea na kupoteza muelekeo wa kisiasa ,jeshi la polisi ni kitengo au ni chombo cha dola,sasa inapotokea migongano na raia kunakuwa na mivutano.Hivyo napenda wengi wenu mfahamu kuwa...
habari za kuaminika baada ya kujua kua chama cha kijani jana kisingekua na wafuasi baada ya wanamapinduzi wa nhi na sisi wana arusha kua tuko katika majonzo na wao walikua wafanye maandamano ya...
Yaliyotokea Arusha ni kulipiza kisasi kwa Kikwete na CCM?
KUNA mfanano wa hali ya juu kati ya mauaji ya Zanzibar mwaka 2001 na ya Arusha yaliyotokea wiki iliyopita.
Kila kitu kinaelekea kufanana...
Naomba mwenye taarifa atujulishe huyu mama yuko wapi baada ya kutema kwa kutochaguliwa tena viti maalum baada ya bunge lililopita kwani CUF ilimchakachua Pension yake kwa ahadi kumpa ubunge tena...
Kuna machangudowa wa kisiasa ambao sisi kila siku tunasema Mkwere alikuwa anatakiwa aishie kwenye cheo cha UDC walidhani tuna chuki binafsi, sasa angalieni picha hii halafu toa maoni yako. na...
Do I need to give a reason? I dont think so... it's all there in black and white!
Sasa nisaidieni kwa mnaojua....for an ordinary citizen like myself nianzie wapi?
I mean.... nifanye nini ili...
Wakuu,
Ni ajabu na kweli.
.
Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo kuwa Mfanyabiashara Sabodo ametoa tshs 5M kwa familia ya Ismail, na tshs 5M kwa familia ya Denis, kama rambirambi zake kwa...
Kama kweli serikali ilikubali kutoa hiyo hati na kama kweli Chadema au wafiwa wanayo hiyo hati mkononi na imeandikwa sababu ya kifo kuwa ni kwa kutobolewa na risasi, basi kwa kutumia hati hiyo...
Yaliyotokea Arusha ni kulipiza kisasi kwa Kikwete na CCM?
KUNA mfanano wa hali ya juu kati ya mauaji ya Zanzibar mwaka 2001 na ya Arusha yaliyotokea wiki iliyopita.
Kila kitu kinaelekea...
Wana JF
Hivi siasa sii ajira? inakuaje watu wengi ambao ni matapeli, wahuni, wavivu, wanaopenda easy life, dhuluma, na pesa za chapuchapu ndo unakuta ni wenyeviti na makatibu wa ccm? Ina maana...
Ndg wana JF,
Huyu mama ajulikanaye kwa jina la Mary Chitanda (Kiswahili Kitanda) naona anazidi kuwa katika wakati mgumu kutokana na matamshi yake ya utata. Ikumbukwe kuwa mama huyu ndiye hasa...
Binafsi! Siungi mkono muafaka wa Cuf & CCM. Sura ya nzima ya sherehe ya mapindunzi jana, imenipa twasira pana juu ya huo muafaka. Sijui wewe mwana JF, Unauanaje Muafaka.
Naomba tuwalinganishe hawa makatibu wa vyama hivi tuone nani zaidi kwa vigezo vifuatavyo:-
1:Kiutendaji
2:Ujenzi wa hoja
3:ufafanuzi wa hoja
4:Uwajibikaji
5:Usimamiaji wa haki za wanachama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.