Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
katika pita pita yangu,,,,,,. nimekutana na artical hii ya kimtazamo, imenigusa , nikaona niilete humu jamvini, kwani tunaweza kupata mawazo zaidi, kwani tunakoelekea ni kugumu zaidi.... THE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi,mimi bado najiuliza hili swali kila siku juu ya hawa polisi wetu wa tanzania hivi wapo ktk hiyo kazi kwa maslahi ya nani? kwani kila kukicha jamii inalalmika juu ya hawa polisi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna taarifa kutoka kwa polisi wenyewe kwamba wanaona aibu kuonekana kwa kuhofia macho ya watu au hata kuzomewa. Ambao hawawezi kukwepa ni traffic polisi na wale wanaolinda benki na majengo ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nikiwa nimelala. Joto kali. Umeme hakuna. Nimeoga maji ya chumvi. Ya kunywa nanunua ndoo sh.600. Kero. Mara napokea hii crap kutoka kwa namba ambayo ata siijui: "WANANCHI TAFADHALI...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
ni wazi kuwa viongozi na wanachama wa chadema wanaombea nchi isitawalike, uchumi uharibike, mambo yaende vibaya ili waseme ccm wameshindwa na baadae waje ku claim ushujaa. This is wrong and very...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Maaskofu wa madhehebu ya Kikristu mkoani Arusha wamemkemea Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba, kwa kuitumia Biblia takatifu kuhalalisha uovu; wakamtaka aache tabia hiyo mara...
0 Reactions
218 Replies
17K Views
  • Closed
Hi wana JF, nimekutana na habari hii mtandaoni ikanisononesha sana kuona serekali imeshindwa kufwatilia habari za Dowans kupata info hizi badala yake wamekua wepesi kukubali kushindwa na kuridhia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakosa maneno mazuri ya kumwelezea IGP Mwema, labda wenzagu mnaweza kunisaidia kuitazama historia yake. wale mahabusu 17 waliokufa kwa kukosa hewa baada ya kufungiwa kwenye chumba kimoja kidogo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Arusha si shwari hata kidogo, kumekuwa na series ya events tokea kura za maoni, kampeni, uchaguzi mkuu, matokeo kutangazwa, uchaguzi wa umeya, maandamano na mwisho mauwaji. Tukae tukijua dunia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu Magufuli una reputation nzuri sana katika jamii ya Tanzania kwa utendaji kazi wako mzuri sana ambao hata mimi pia nausifu sana. Jana nimekusikia ukielezea masuala ya bumps bara barani jambo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niijuavyo gov ya ccm, neno mchochezi kwao ni simple kulitamka na kumkabidhi mtu ambae yupo kinyume na wao. kwa mfano maalim seif baada ya kutoka ccm alipata misuko suko na hatimae kuishia jela kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The core characteristics of good governance are participation, rule of law, transparency, responsiveness, consensus orientation, equity, effectiveness and efficiency, accountability and strategic...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Waungwana, nina kipande cha taarifa kilichonifikia punde kikionyesha kuwa hali ya UVCCM bado si shwari na safari hii uongozi wake uliopo Zanzibar umempiga barua Katibu kilaza Makamba ili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
First of all,i would like 2 thank jamii forums administrators for initiating a wonderful website where we can critically express our views...my concern is the political atmosphere that we have in...
0 Reactions
2 Replies
896 Views
BREAKINGNES ..VURUGU ZAIBUKA UBARUKU WAWILI WAUWAWA KWA RISASI IGP Mwema Rais Jakaya Mrisho Kikwete RPC Mbeya Advocete Nyombi na aliyekuwa kamanda wa kikosi cha usalama barabarani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
watu mtaani wanashaangaa uamuzi wa chadema kumtimua zitto u naibu bungeni, wananchi walio wengi wanajua zitto kavuliwa uongozi wote mpaka u naibu katibu wa chama wananchi wameanza kukosa imani...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Taarifa kutoka ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam zinaonyesha kwamba gari mpya kabisa aina ya land cruiser ya CCM mkoa wa dsm imepata ajali na kupinduka na kuwa write off wakati ikiwa safarini...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
kesho jumamosi professa Issa Shivji na Jenerali Ulimwengu watakuwa na kongamano endelevu juu ya katiba mpya katika ukumbi wa nkurumah chuo kikuu kuanzia saa nne wote mnakaribishwa hata kama sio...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mustapha Sobodo ametoa Sh10 milioni kwa familia mbili ambazo vijana wake waliuawa kwa kupigwa risasi na polisi Jijini Arusha wiki iliyopita. Hatua ya mfanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom