Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Prof. Jumanne Maghembe akiwa na Balozi wa India nchini Mh. Kocheril Velayudhan Bhagirath Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe. Prof. Jumanne...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DHANA YA KWAMBA URAIS NI RAHISI NI KUWATANIA WATANZANIA! Wapinzani wakiongozwa na Chadema wanachotaka ni Urais basi! Tena Urais wa kipindi kimoja tu cha miaka mitano! Halafu wawapishe wenyewe...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Katika kufuatilia michango ya mawazo mbalimbali hapa jamvini,nimekuwa nikijiuliza swali hili je ungependa ukumbukweje? Mimi binafsi ningependa nikumbukwe kama mtu mwenye dhamira safi na ya dhati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenu wana jf. Hivi kwa nini wagombea ubunge wasiwe kama ilivyo kwa madiwani kwamba lazima wawe wakazi wa eneo wanalogombea? Nadhani hii itaongeza ufanisi katika utendaji wao badala ya hali ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana-JF: Wale Synovate waliowahi kuzua utata mkubwa katika tathmini zake za kura za maopni za uchaguzi mwaka jana, yamewakuta tena kwa wenzetu Uganda. Soma habari hii iliyotoka leo katika gazeti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijaribu kuwafuatilia viongozi hawa wa CCM, Yusuph Makamba (Katibu) na Tambwe Hiza wa Kitengo cha Umbea. Nilichogundua ni kwamba wote wanafanana sana kwa kiasi...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Energy and Minerals minister, William Ngeleja yesterday criticised Tanzania Electric Supply Company Ltd (Tanesco) legal department for incompetence which has contributed to endless contract...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Mambo mengi yametokea na yanaendelea kutokea yenye uzito wa kitaifa na kuitikisa nchi,hatusikii kauli yoyote kutoka kwa Mh.Rais.Mfano mzuri yaliyotokea katika kampeni za uchaguzi vurugu,wizi wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimependezewa sana na seriousness ya wachina ktk kudeal na wapumbafu, BEIJING – A Chinese court announced Friday it will retry a farmer sentenced to life in prison for evading highway tolls...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikwete kaiweka tena nchi kwenye auto pilot? CHANZO: Johnson Mwambo, Raia Mwema – January 12th KWA kuwa Januari haijakatika, naamini sijachelewa kuwatakia wasomaji wangu heri ya mwaka mpya na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
niwakumbushe wana JF kuwa msisahau kufuatilia mdahalo wa DOWANS leo Saa tatu na Robo usiku na Itv. Kwa hisani ya Mzozaji: Pata audio ya mdahalo huo hapa: 1 http://chirb.it/wLaDBN 2...
0 Reactions
272 Replies
23K Views
I'm sorry (actually i'm not) to say this; what is going on right now is pure madness of sort. Hivi hakuna mtu mwenye hekima ndani ya serikali na chama tawala? Yaani, kila mtu anajitokea na kusema...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Editha Majura POLISI wanatuhumiwa kumtelekeza mtoto Juma Hamza (12) waliyempiga risasi na hivi sasa hali ya mtoto huyo ni mbaya kiasi cha kumlazimu kutolea haja kubwa katika kidonda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kweli serikali inawafahamu wamiliki wa Dowans haitoshi tu kusema kuwa JK siyo mmiliki wa Dowans na kwamba Dr. Slaa ni mwongo. Je kutuambia wamiliki wa Dowans kutaigharimu nini serikali...
0 Reactions
285 Replies
24K Views
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam. Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya...
0 Reactions
290 Replies
21K Views
Lilipo ibuka swala la wizi wa Epa kwanza alikataa na baadae akakubali,lakini hadi leo hii hakuna action yoyote aliyoichukuwa zidi ya watuhumiwa [Hana maamuzi] Lilipo ibuka swala la Richimond...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watawala wanajichimbia kaburi lao wenyewe kuhusu hili suala la Dowans. Ni dhahiri kuwa Rais Kikwete alitoa maagizo kwa Waziri Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Nishati na Madini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawaachia wanasheria waendelee na mchakato wa kumshitaki huyu jamaa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa haya yaliyotokea Arusha na sasa Mbarali, nina wasiwasi na elimu wanayopata maaskari polisi wanafunzi! Yaelekea wanajifunza tu kulenga shabaha na namna ya kurusha mabomu! Nashauri iwepo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Brandy Nelson, Mbarali SAKATA la polisi kuua raia kwa risasi katika kata ya Ubaruku Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya limeingia katika sura Mpya baada ya wananchi kumtaka Mkuu wa Wilaya hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom