Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mkurugenzi na mbunge watofautiana kuhusu wamachinga Saturday, 15 January 2011 08:41 Mbunge wa Jimbo la Nyamagana (Chadema),Ezekiel Wenje Frederick...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Juzi nilikwenda kununu umeme wa sh 30000'sasa kitu tanesco wanatufanyia sijui ndo kuilipa dowans maana wamekata kama kawaida yao tax sh 4807.48 hii kwa ewura kuna kitu fixed amount 2738 halafu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kweli Shivji na wenzake wanaamini kabisa kwamba Mkwere atakubali kitu wanachopendekeza – cha Katiba kupatikana kwa njia ya midahalo nk? Na kwa nini hawajaweka time-frame – kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wananchi wataka mwekezaji aondolewe Gordon Kalulunga, Mbeya SAKATA la vurugu zilizojitokeza katika eneo la Ubaruku, Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya limechukua sura mpya baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Were z deaths of two people in Arusha demonstration worth the cause they fought for?
0 Reactions
5 Replies
981 Views
Ben Komba/Pwani-Tanzania/Monday, January 10, 2011/22:11:41 Chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Pwani kimevunja mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike katika kiwanja cha Maili moja mjini...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Nahodha summons police Saturday, 15 January 2011 08:13 digg Minister for Home Affairs, Mr Shamsi Vuai Nahodha By The Citizen Reporters Dar es Salaam. The minister for Home Affairs, Mr...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
source: majira Na Peter Mwenda ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo amesema kitendo cha polisi waliopewa dhamana ya kulinda wananchi kuua watu wasio na...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
source: SERIKALI YATOA UBANI KWA WAFIWA ARUSHA! - Global Publishers
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Takribani maoni ya Wazanzibari walio wengi mtandaoni na hapa nyumbani basi huhubiri Zanzibar kujitoa ndani ya Muungano.Suali hili kwa sasa limekuwa ndio uradi wa Wazalendo walio wengi. Kwa ufupi...
0 Reactions
159 Replies
14K Views
Kutokana na maruweruwe ninayo yaoni imefikia mahali ninajiuliza hivi JK alipokuwa ana bid for presidential post alijua na kudhamiria kuwatumikia watanzania au alitaka tu kuwa Celebrity ndani ya...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Waendesha kipindi maalumu cha maandamo YA ARUSHA kilichodhaminiwa na wizara ya Habari kupitia Idara ya Habari maelezo kulisafisha Jeshi la polisi na kuichafua CDM.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
TBC MNI WAHUNI!!!! siku ile baada ya kutoka Zanzibar kwenye maadhimisho ya mapinduzi yao wakarudisha studio na kuweka mapicha ya shida za wakimbizi. WAKATI HUO HUO MASHUJAA WETU WALIKUWA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukiona kiongozi au nchi inaingia katika kuongelea suala liwe la udini au ukabila, basi ujue kiongozi/serikali iliyopo imeshindwa kazi, sasa katika kutapatapa ndio hutafuta jani,tawi, au mti wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu, Kwa jinsi mambo yanavyoendelea nchini kisiasa, kijamii na kiuchumi, je, tunaweza kukiri mbele ya mataifa mengine kwamba nchi yetu ina uongozi??? Binafsi sioni dalili ya uwepo wa uongozi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu ni dhahiri sasa kuwa,kutokana na maisha kuendelea kuwa magumu,ambayo ni matokeo ya kuendelea kuichagua ccm,nchi yetu inaelekea pabaya,lakini hatuna budi kuelekea huko ili kuiponya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesoma barua ya Saidi Mwema kwa Waandishi wa habari ya Januari 13, 2011 siamini kama ni Mbumbumbu kiasi hicho; Hivi kweli Jeshi nyeti kama hilo linaweza kuongozwa na mtu hasiyejua hata ABC...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndg wanajf swali hili limekuwa likinitatiza,tangu nizaliwe damu yangu haipatani na hiki chama;ni wapende kwa lipi? 1.ni karibu nusu karne sasa lakin maisha ya mtz ni zaid ya duni,anaishi under...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imenichukua muda sana kutafakari kwa kinana kwanini spika sitta alikosa sifa za kuendelea kuwa spika na kuwa spika wa muda mfupi zaidi tanzania. Sikuwahi kupata majibu, kwani nilitarajia pengine...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wananchi wang'ang'ania wakabidhiwe polisi aliyeua kwa risasi Saturday, 15 January 2011 09:08 Mwananchi Baadhi ya Wananchi wa Ubaruku Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya wakiangalia Gari pamoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom