Wadau, hebu mwenye data zaidi aweza kuzimwaga, maana nimekutana na hii taarifa, je, ina ukweli wowote wandugu?
Ni haramu kuilipa kihalali kampuni haramu!
La Dowans ladhihirisha namna Tanzania...
Kwenye Kampeni za Urais mwaka jana JK alipokea simu katikati ya hotuba yake ya kampeni pale Manispaa ya Iringa. Baada ya kuongea na Simu aliwaambia wananchi kuwa Balozi wa marekani amemhakikishia...
Chadema wanauongozi hivi karibuni ulionenekana kufanya maamuzu yasiyo na busara kama vile kutomtambua JK kama raisi wa TZ baadae wakabadili mawazo na hivi karibuni kukaidi amri ya wanausalama, kwa...
Baraza la mawaziri kivuli Z`bar lafutwa
Na Mwinyi Sadallah
Baraza la Wawakilishi Zanzibar limetangaza mabadiliko makubwa ya muundo wake ikiwemo kufuta baraza la mawaziri kivuli na...
Baada ya kujua wenzetu wamarekani wanafanya nini katika balozi zao, nianza kijiuliza sana na kungudua kuwa moja ya malengo yao ni kutawala dunia, nivyo inawalazimu washington kujua kila...
Nimeona Tangazo TBC kwamba kutakuwa na kipindi Maalumu saa 2:30usiku kuhusu kilichotokea Arusha.
Naamini ni habari wanayotaka kutulisha baada yakufanya editing yakutosha ili kuhalalisha Mauaji...
*Ni kwa kutetea malipo kwa kampuni ya Dowans
*Wasema, kama hakurubuniwa, anazeeka vibaya
Na John Daniel
SIKU moja baada ya aliyewahi kuwa mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Mark Bomani, kudai...
Wakuu,
Kuna jamaa hampendi Rostam kiasi cha kulinganisha hatari yake kwa nchi yetu na Osama Bin Laden. Jamaa amefikia kiwango cha kusema kwamba Rostam ni hatari zaidi kwani ugaidi wake...
Mechi hii ya fainali ya mpira wa miguu kati ya Mafisadi Stars (pro-Dowans) na Wapambanaji United (anti-Dowans) inachezwa mbele ya umati mkubwa sana wa Watanzania wapatao milioni 40.7.
Timu hizi...
Kutokana na Vituko na Maamuzi ya Serikali Hivi Karibuni Tunaona IGP Mwema Ndio Alihusika Kutoa Order ya Mauaji Arusha na Kila Leo Anaendelea Kutoa Maamuzi ya Kupiga Risasi Raia wa Tanzania...
By ABDULWAKIL SAIBOKO, 16th January 2011
DAILY NEWS
FOREIGN petty traders at Kariakoo market in Dar es Salaam are going on with business as usual despite a recent order by the Deputy Minister...
Pale Kalimjee ndugu zetu wa Dini ile wamesema wamechoka kunyanyaswa na wanataka mgawanyo wa madaraka nusu kwa nusu, bila kufafanua hii nusu kwa nusu ni Pamoja na Wapagani, Wahindu, Rastars...
NINGEPENDA TANZANIA YA HIVI: Elimu bora, makazi bora, miundombinu bora, huduma bora za afya, fursa nyingi za ajira za kuajiriwa na kujiajiri, viongozi waadilifu, Uzalishaji viwandani na kuuza nje...
kv
habari nilozipata hivi punde kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa jumamosi hii 22.1.2011 wabunge wa ccm wanakutana karimjee dar es salaam kuandaa mkakati wa kupambana na chama kubwa chadema...
Zipo tetesi kuwa hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC), haikotolewa ktk makao makuu ya mahakama hiyo yaliyopo The Heague Uholanzi, bt mahakama ilihamia hotel ya...
Inasemekana kutoolewana kwa wabunge wawili (CCM) wa jiji la Mwanza kumechangia kwa kiasi fulani kushindwa kwao. Nasikia mmoja alimwaga mboga, na mwingine akamwaga ugali.
Nyepesi zinasema...
Kama ni mkweli kila mbunge hupokea Tsh 500,000 kwa mwezi kwa ajili ya shughuli za jimbo ikiwemo kununua vifaa vya ofisi ya mbunge, iweje yeye na wenzie waondoke na vifaa vyote hadi picha na vitasa...
nadhani Polis ikubali kosa kwa mauji ya Arusha. kwanini dk slaa na wenziwe wasishtakiwe kwa kosa la Kutaka kuvamia kituo na kupora silaha ili watz wanaipenda nchi yao waamni? lkn pia mbona yule...
Nimekuwa nikifuatilia sana swala la Membe kutaka kuombwa radhi na baadhi ya magazeti kwa kumnukuu vibaya eti yeye hakusema kuwa polisi walikiuka maadili ya kazi yao kwenye maandamano ya amani hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.