Baada ya Chikawe kutoa karipio kwa Sitta na Mwakyembe kwa kuzungumza nje ya baraza la Mawaziri kuhusu Dowans ni vyema tukajiuliza; Je Sitta na Mwakyembe wamekiuka kanuni? Je Chikawe ana mamlaka ya...
Katika tukio la Arusha,tulishuhudia jinsi JK anavyowadharau wananchi,aliwaita mabalozi wa nchi za nje na kuwaelezea tukio zima la arusha,pia kusema haltatokea tena.
Hoja yangu hapa ni Jk...
Nimebahatika kwa nyakati tofauti kujumuika na wote watatu kila mmoja kwa wakati wake, (RA,JK,EL) na hata wewe ukibahatika kuwa nao utagundua kitu fulani ambacho ni common miongoni mwao, they like...
Nimekuwa nafuatilia maoni ya watanzania wa kada mbalimbali. Wengi wanapinga tena kwa hasira malipo ya dowans. Kiongozi mzuri anazingatia maoni ya watu. Natabiri dowans ikilipwa serikali ya JK...
Nimetafakari sana baada ya kupitia hoja mbalimbali zinazotolewa na wanaJF. Kwa kiasi kikubwa naona tunajiuliza maswali wenyewe na tunajijibu wenyewe. Inawezekana ujumbe wetu unafika au...
Leo gazeti la Majira lleo imeandika kwa kumnukuu Jaji Mark Bomani akisema kwamba Dowans wasipolipwa kuna hatari mali za nchi hii zilizo nje ya nchi kuweza kukamatwa.
Aidha katika mdahalo mmoja wa...
Juzi niliokuwa nasikiliza Cloud Ifm jioni ktk kipindi maalum nilimsikia mtangazaji anaeitwa Kibonde akiponda sana wandishi wa habari hasa walaivyokuwa wanaripoti matukio ya siasa hasa yale ya...
Zanzibar ni Muungano wa visiwa viwili;Unguja na Pemba kutokana na maelezo hayo
ya kihistoria naomba wana JF mnisaidie yafuatayo:-
1.Visiwa hivi viliungana lini kisiasa na kitamaduni mpaka kuwa...
Kila kukicha, na hata vitu vidogo ambavyo kiongozi mkuu wa kitaifa anaweza kutatua
kwa haraka, na matatizo yapo wazi, wala hayahitaji kuwa Genius kutatua, mengine
kauli tu ya Rais inatosha, ila...
TUNGELIKUWA tunafuatilia kwa karibu mantiki katika masuala mengi tungejifunza mengi. Fuatilia suala hili:
- Dowans ililetwa kwa sababu ya giza.
- Ilitakiwa kuondoa giza.
- Dowans ikasajiliwa...
Uongozi wa nchi si suala wala jukumu dogo. Ni jukumu la kila mwezi, kila wiki, kila siku, kila saa, kila dakika na kila sekunde kwa kipindi cha miaka mitano!! Utendaji wa kiongozi unapimwa hivyo...
By Globu ya Jamii Reporter
Following is a letter to the Managing Editor of Mwanannchi Newspaper, reporter Hussein Issa and Managing Director availed to this blog today shortly after the...
kuna kitu lowassa alikizungumza ambacho kimeanza kuibua mapya. Makamba wakati wa kufukuta kwa mgogoro wa Arusha kwamba; kwa nini ccm ilikubali kuketi meza moja na cuf ikatae kukaa meza moja na...
Kitendo kilichofanywa na ccm Arusha kimeleta picha mpya kuhusu chama hiki.Tunaambiwa kuwa Mary Chitanda ana haki ya kuingia katika wawakilishi wa watu wa Arusha wakati yeye alichaguliwa mbunge...
Kwa pamoja walifikishwa katika viwanja vya Mahakama Kuu majira ya 8:40 mchana wakiwa chini ya ulinzi mkali, huku Dk Slaa, Mbowe na Ndesamburo wakiwa kwenye gari dogo aina ya Landrover.
Watuhumiwa...
Msiwakamate Slaa na Mbowe, kamateni roho zao
Padri Privatus Karugendo
Januari 12, 2011
NINAJUA kwamba Rais Jakaya Kikwete ana washauri wake, hivyo sina haja ya kusema ninamshauri; inawezekana...
Watanzania walio wengi wameapa kuwa ikiwa patatokea kundi linalojidai kutumia nguvu za umma kumuondosha Raisi Kikwete nao pia watatumia nguvu za Umma kuhakikisha kuwa anabaki madarakani hadi...
Kuna page mpya ya Facebook imeanzishwa inaitwa "President Jakaya M. Kikwete MUST Resign." Less than ten days tangu ianzishwe group hiyo tayari watu 2,800+ wanaunga mkono wazo hili by usiku wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.