Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ili watanzania tuweze kupata maendeleo na hatimaye kuifikia ndoto ya ‘Maisha bora kwa kila mtanzania’, tunahitajika utashi wa kisiasa kwa viongozi wetu. Utashi kwa maana ya uongozi unaongozwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi walivyompata Oliver Cromwell - baada ya kufa. About the English Dictator Oliver Cromwell and his execution - after death. OLIVER CROMWELL (1599-1658), lord protector of...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Kuna tetesi kuwa waziri wa nishati na madini yuko Canada kwa ziara ya kikazi, ambako pamoja na mambo mengine anatarajiwa kukutana na washiriki muimu katika sakata la Dowans, kuweka sawa mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maji safi ni muhimu kwa kila Binadamu.Picha hizi zinaonyesha hali hali ya upatikanaji maji katika Vijiji viwili,Solya na Kilimatinde huko Manyoni Mashariki,Singida.Mashine za Serikali hazifanyi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna tetesi zilizojitokeza kua kuna mikakati inayoandaliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kua ile kesi iliyokua inawakabili viongozi wa Chadema pamoja na wafuasi wao kua ifikapo tarehe 21 ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Sory G thnkers, niko mwaka wa 3, namalza mwez 6, nimeona tangazo la kaz BOT, NATAKA KUOMBA! Wanataka Transcripts je, niambatanishe nn kwenye barua yangu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani ilikuwa ukifika maeneo ya nyegezi mwanza ilikuwa inakera sana kuona msururu wa mabango ya masha yakiomba kura kibubububu.. Je, bado yapo mitaani? Au anaona aibu kuyaondoa?????
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama sijakosea CCM na serikali yake wamesema kama kuna mtu hajaridhishwa na uchaguzi wa meya aende mahakamani,lakini kama nakumbuka vizuri Askofu Laizer alisema uchaguzi urudiwe na sheria...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani mimi nashangaa kupanda kwa bei ya gesi ya kupikia kutoka 37000 mpaka 70000tsh wakati tunaambiwa hii ni nishati mbadala ya kutunza mazingira badala ya kutumia mkaa au kuni. Jamani mimi...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Katika kusoma posts mbalimbali nimekuta mh safiri_ni_safiri kaweka ahadi za Kikwete wakati wa kampeni 2010. Nimeona hizi zinastahili kuwekwa katika thread yake binafsi kwa ajili ya kumbukumbu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu, Hivi baada ya kelele zote za wanasiasa, wanazuoni, wanafunzi, wanaharakati na wananchi kwa ujumla, za kutaka ufisadi ukomeshwe ili kuinusuru nchi, ni kitu gani kinamshinda jk kutoa tamko...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1- Elimu Bora. 2- Afya Bora. 3- Makazi bora. 4- Ajira za kutosha na zenye ujira bora. 5- Haki sawa kwa wote bila kubagua rangi, dini wala kabila. Tunaimani kwamba serikali yetu inao uwezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yale ya khaki. Nipendeze kidogo, au vipi? Mwenye anajua duka yanauzwa aniambie. anielezee. Thanks
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa kauli ambazo zimetolewa hivi karibuni na viongozi wa serikali baada ya maandamano AR nikuwa uchaguzi wa meya hautarudiwa, anayepinga aende mahakamani pia wamesema hawana mpango wa mazungumzo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya serekali ya Jk kujitambulisha kwa wananchi kuwa inayumba yumba....ninaomba mnisaidie kuelewa haya! 1. Chikawe anaposema Sitta na Mwakyembe hawakufuata utaratibu wa kuongea na media...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pinda ajiweka matatani • Wahadhiri wampa sharti kuhusu maslahi yao na Waandishi wetu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesuluhisha mgogoro uliokuwepo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ule utabiri wake alioutabiri kwamba kuna nchi moja ndani ya East Africa ambayo mwaka huu itakuwa na uchaguzi mkuu wake,Opposition watashinda lkn haitatawala!! Inavyoonekana CHADEMA ilishinda...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Nimeopoa taarifa hii kutoka maktaba ya HabariLeo. Ni mwaka umepita sasa tangu JK "apigilie msumari wa mwisho Dowans", kwa kuponda maamuzi ya washauri wake. Badala yake, mataizo ya umeme ndio...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Salim Said, Kwimba MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema kwamba nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi iliyofanyika hivi karibuni ni kwa ajili ya kutafutia kura na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumekuwa na majivuno hasa kwa Watanzania waliopo ndani ya nchi na CCM kuwa Tanzania ni kisiwa cha Amani. Wamekuwa wakijitangaza kila kona ya dunia kuwa TZ kuna amani ilhali wakificha ama kupotosha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom