The East African (Nairobi)
January 30, 2007
Posted to the web January 30, 2007
Wilfred Edwin, Special Correspondent
Nairobi
The concenssioning of the ill-fated Tanzania Railways Corporation...
MBUNGE wa Mpanda Kati, Said Amour Arfi (CHADEMA), ametaka mkataba wa ukodishaji wa Shirika la Reli nchini (TRC) kwa Kampuni ya RITES ya India uliosainiwa mwaka jana baina ya serikali na kampuni...
Govt comes to TRL aid, again
2008-10-27 12:43:25
By Joyce Kisaka
The government announced yesterday that it would facilitate a USD 83 million loan (equivalent to 99bn/-) to bail out the...
Wananchi Tumeona Polisi Wakipiga Risasi Wananchi Arusha na Leo Hii JK na IGP Mwema Wanafanya Njama za Udanganyifu na Kugeuza Sinema. Maswali Mengi Yanakuja, Kitu Gani Wananchi Hawajui Mpaka Sasa...
Viongozi wetu wa dini, tuwaombe msitujengee uadui kati ya watu wa dini na dini eti sisi tuone watu furani ni bora kuliko wengine!. kumbukeni sisi sote ni ndugu kwakuwa kwasasa karibu kila familia...
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.
1) Kususia Hotuba ya Rais...
Baba mzazi wa kijana Ismail aliyepigwa risasi na kuuawa na polisi huko Arusha, katika mapambano kati ya Jeshi la polisi na wafuasi wa CHADEMA amesema kuwa hakukuwa na shinikizo lolote kupeleka...
mgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie...
Wana JF naomba mnieleweshe kuhusu waislam wa tanzania kudai maslahi yao, Hivi wanamaanisha nini? Je ni umeme kwa waislam, maji, sewage system mijini ili waislam wasiishi na mavi kwenye makazi yao...
Mkapa tutamkumbuka kwa yafuatayo
1 Daraja la Mkapa la kuunganisha mikoa ya kusini
2 Uwanja wa michezo wa kisasa
3 Maji ya ziwa victoria kwenda Shinyanga na Kahama
4 Mabarabara mengi yalijengwa kwa...
OMBI MAALUM: Je unamfahamu Anayedaiwa Kubakwa na Makamba?
Wenye busara zao wanatuusia kuwa pindi ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo then sio wazo jema ku-entertain kurusha mawe.Mantiki ya...
Jamani naomba nianze kwa kuwaomba msamaha wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine watakwazwa na haya maneno nitakayoyaandika humu. Nidhahiri kwamba wote tunajua kuwa tulikuwa na vita kuu ya...
Ifuatayo ni hukumu kamili ya jaji wa Uingereza inavyo onesha jinsi Vithlani alivyogawa rushwa kwa vigogo wa serikali ya Mkapa (Chenge, Idris Rashidi, na wanajeshi) ili wapitishe dili la radar. SFO...
UKIMSIKILIZA mtu anayeitwa Yusuf Makamba, katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), huwezi kukwepa kufikia hitimisho kwamba madaraka ndani ya chama tawala yamerahisishwa sana.
Kurahisishwa huko...
Wadau wa JF kunatetesi kuwa Rais wetu Dr. Slaa amelazwa toka juzi jumamosi kwa tatizo la mkono kuwa kafanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa(MOI). Tunaomba mtujuze kama...
Hodi hodi great thinkers. Ninashangazwa sana na mfumo wa kisiasa ulioanza Tanzania.Inakuwaje tunakwenda kinyumenyume kwa mambo mengi siku hizi? Mtu anayelaani ufisadi na kuwalaani mafisadi kwa...
Kama polisi hawana utu mie napendekeza tupandikize mbegu ya chuki miongoni mwa jamii tuwatenge , tuwafukuze kwenye nyumba zetu walizopanga , maana wameuwa arusha na jana wameuwa Mbalali
Hiki ni kichekesho. Mtamchunguzaji waziri aliye bado kashikilia wadhifa wake. Anaweza kutumia kuwepo kwake pale wizarani kuvuruga ushahidi
Karamagi achunguzwa
SAKATA LA BUZWAGI
na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.