In a news conference at London's Frontline club, Swiss banker Rudolf Elmer gives what he says are details tax evasion by the rich and famous to WikiLeaks founder Julian Assange, before flying home...
Wadau,
Katika vyombo vya habari leo kuna habari kubwa mbili, uzinduzi wa shule iliyojengwa kwa msaada wa serikali ya China na nyingine ni ile inayohusu mgodi wa makaa ya mawe Mchuchuma.
Naona...
Jana TBC walionyesha uzinduzi wa shule mpya ya Msoga, kwakweli ni shule nzuri yenye majengo bora sana. Na JK ndio alienda kukabidhiwa shule hiyo, shule hiyo imejengwa kwa msaada wa serikali ya...
Kwa mtazamo wangu tena finyu hiki ndio kipindi ambacho uongozi wa nchi umefeli kabisa.
The president kama kichwa cha nchi can't hold things together! Nabaki najiuliza "what is the president...
Nafasi za kazi
Nurses 8 posts at Kagera Sugar Hospital (Closing date 03rd Feb 2011)
Registered Nurses Nafasi 4
Enrolled Nurses Nafasi 4
Mahali Kagera Sugar Hospital
Mshahara mzuri, Nyumba...
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini siasa za Makamba nikagundua Anapwaya kwenye madaraka yake!!Sasa najiuliza kwanini anakuwa anatapatapa??Kabla ya kumaliza jambo yeye tayari amaisha shika hili??Je...
Jamani ati naskia huko jimboni kwake Mramba anazomewa kwa madai hakushinda kihalali mwenye data atueleze hapa na kama kuna uwezekano tupatiwe video ya hamaki ya wanavijiji huko
kuna kajamaa kaligombea udiwani iringa mjin hapa kaibuka na uhma et mbunge wa iringa mjini REV peter Msigwa amechangia kushindwa kwa madiwan hapa iringa hivyo kampa siku 7 ajiudhuru yeye kama nani...
Kuna habari mawakili wa Serikari na Tanesco walilipwa kabla ya kwenda kwenye kesi si chini ya Milion 800. Pia kuna makubaliano yaliwekwa kabla ya kesi kuanza kusikilizwa na walikubaliana hakuna...
Kwa hili najua wengi mtauliza source. ANGALIA WARAKA WA MSAJILI WA HAZINA KUHUSU MISHAHARA.
Kuna ubaguzi wa makusudi unaofanywa na serikali kwa kutoa mishahara tofauti kati ya wahadhiri wenye...
Nilihuzunika sana Mzee kama Ndesamburo kutoa malalamiko kama yale mbele ya kadamnasi. Si kawaida kwa mtu mwenye uzee kama wa Ndesamburo kulalamika vile. Alifikia hatua ambayo si ya kawaida...
Wana-JF: Hii habari bila shaka itawafanya baadhi ya Watanzania kupata tumbo la kuendesha. Tungoje wiki mbili na tuone majina gani ya viongozi wa dunia wamo katika CD hizo mbili.
PHOTO: AP...
ndugu katika jf, nadhani linafahamika kuwa majimbo mengi ambayo wabungewake ni mawaziri, yanamaendeleo zaidi kuliko yale ambayo siyo. na ikitokea nafasi tuijuayo kashika mtu wa kweno hapo ndo...
Tamko la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Juu ya Mauaji ya Wananchi wakati wa Maandamano ya Amani yaliyofanyika Arusha tarehe 5 Jan, 2011
UTANGULIZI
Tumekutana hapa leo hii kwa...
Na Peter Twite
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Shamsi Vuai Nahodha, amesema kuna dalili za kutoweka maadili miongoni mwa jamii jambo linalotishia kuwepo machafuko yanayoweza kusababisha...
Katika hali inayoonyesha wasiwasi halisi alio nao JK na utawala wake kuhusu hali iliyoikumba Tunisia kwa umma kuchukua madaraka ya nchi kutokana na utawala mbovu, maisha magumu pamoja na rushwa...
Makinda akuna kichwa kukabili hoja ya Dowans
Spika wa Bunge, Anne Makinda
Ramadhan Semtawa na Fidelis Butahe
Spika wa Bunge, Anne Makinda amesema ofisi yake itapokea hoja ya mbunge wa...
1. 04-02-2006 - Mifuko ya plastiki marufuku
Source Bofya hapa
Serikali imechukua hatua kali na za haraka kudhibiti uharibifu wa mazingira nchini. Katika hatua hizo, serikali imepiga marufuku...
Excerpts from the article...
"Picture this, Uwezo's study found that nearly 10 per cent or 75,000 of the 746,000 children who sat for the standardised test offered to 13-year-olds in Kenya at...
Nimepata taarifa leo kutoka kwa mtu aliye karibu na Rostam Aziz kuwa fisadi huyu aliyechonga dili zima la Richmond/Dowans sasa ameandaa timu ya viongozi mbali mbali wenye ushawishi kwenye jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.