Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kama Dr. Slaa angeshinda katika kura za urais serikali yake ingekuwaje kwa kufuatana na katiba iliyopo sasa?? Kama kuna mwana JF alikuwa na fununu basi ajimwage hapa. (Maana ingebidi achague...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Baba mzazi wa kijana Ismail aliyepigwa risasi na kuuawa na polisi huko Arusha, katika mapambano kati ya Jeshi la polisi na wafuasi wa CHADEMA amesema kuwa hakukuwa na shinikizo lolote kupeleka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Juzi nilitoa maoni tanesco wanavyokata kodi nilienda kununua umeme wa elfu 30 walikata kodi karibu elfu 6'leo nimenunua wamenikata vat ya sh 13000 nilitoa elfu 70'sijui kama tutaweza kuishi mambo...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwa Mwanza wanasiasa wamewekana kati hii si lugha ya editorial labda gazeti ni la wahuni. Kilichozua tafrani Arusha ni hatua ya Chadema kutomtambua Mary Chatanda, kaka unafahamu kwamba haka ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo kikuu cha mkwawa MUCE, na wamegoma kuingia darasani source TBC 1, habari saa 2
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yule hayati mzee wa butiama aliwaona walivyokuwa na uchu siku nyingii.... akamwambia mamvi we ni mwizi kaa kando,leo mkasahau mkamkaribisha ndani,kawakomba! nani alaumiwe? Kumcheki Mkwere...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa utamaduni wa wengi wetu (hata humu ndani)inahitaji ujasiri kutoa mawazo haya ,lakini kwa kuwa hapa ni mahali huru nitaendelea kusema! Nilianza kusikia ufisadi wa EPA wakati wa bunge la bajeti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Tanzanians spent a staggering Sh555 billion ($396 million) on telephones in three months, according to a new report by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). That...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naitaji kuwa mwanachama hai wa CHADEMA ikiwa pamoja na kupata card za chama..na pia card ya uanachama wa vijana..shida niko nje ya Tanzania sasa sijui mtanisaidiaje..ili niweze kuwa mwanachama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka enzi za utoto wetu ilikuwa lazima upigane ili kuonyesha na wewe umekuwa na hutaki mtu akuonee. Ishara ya kujua kuwa umeshinda ni lazima umtoe damu ya pua adui yako. Katika ugomnvi ule...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya mwanakikao. Zinasema uongozi wa TANESCO wako leo katika kikao wanaandaa waraka wa kuwalipa DOWANS. Ni Mungu tu aingilie kati hali ya nchi hii. Saa chache...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu jamaa aliyefulia kisiasa ameandika hivi kwenye facebook page yake haya... "As Tanzanian's we need to seriously consider what it is we want and how. Irregardless of political party or faith...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Kama ni kupewa nyota tano basi Chadema wapo katika mstari wa kuweza kutunukiwa Nyota hizo tano na kuwa 5Star political party katika Taifa hili la Tanzania. Hii ni kutokana na kufanikiwa kwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Naungana na wana Jf wenzangu akiwemo kaka Rev.Masanilo na mzee Mwanakijiji kuwa gazeti la Habari Leo lifunguliwe kesi mahakamani ya madai, kwa kuandika habari za uchochezi na za uongo kuhusu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa Mwanza wanasiasa wamewekana kati hii si lugha ya editorial labda gazeti ni la wahuni. Kilichozua tafrani Arusha ni hatua ya Chadema kutomtambua Mary Chatanda, kaka unafahamu kwamba haka ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sina hakika kama unatembelea jukwaa hili, lakini naomba kama upo, au kama kuna mtu mtu nazo namba zake au email yake, please aiweke hapa, au aniPM, nataka nijadiliane nae mambo machache juu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf jana wakati nasoma Gazeti Mahili la Mwanahalisi ktk kichwa cha habari ROSTAM NDIYE DOWANS nilipambana na maoni ya watu ambao kweli wanauchu na hasira juu ya Rostam Azizi na Raisi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Chuo kikuu cha dodoma ni moja ya chuo serikali ukitumia kueleza mafanikio yake ktk kujenga vyuo Tanzania. Ila kilichopo ndani serikali huwa hawakisemi ila ni kujivunia majengo yaliopo na kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sio siri mzee ni very commited afu si kwanini tuko wagumu kiivi hawa wazee wana data za kutosha tunasubiri nini kuwaumbua wezi. Am sure ukimpa media coverage ka wiki yule mzee surely mafisadi wote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
GOVERNMENT REVENUE COLLECTION...Kikwete sets 500bn/- target By ThisDay Reporter 11TH JANUARY 2011 BUT WHERE WILL THE MONEY GO? LARGE-SCALE CORRUPTION, MISUSE OF PUBLIC FUNDS DRYING UP...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom