Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Matukio ya hivi karibuni nchini hayapaswi kufumbiwa macho ili kulinda mustakabali wa nchi yetu.. .Tumeshuhudia rushwa ikitawala mchakato mzima wa uchaguzi mkuu .Tumeshuhudia malalamiko ya wizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SAKATA LA DOWANS: Sitta afungwa mdomo • Baraza la Mawaziri chini ya JK lamshambulia yeye na Mwakyembe na Mwandishi wetu RAIS Jakaya Kikwete amemfunga mdomo Waziri wa Ushirikiano wa Afrika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hii nimetonywa na mtu anayewajua vizuri awa viumbe. wanapenda misifa (wahaya wanasingiziwa). kesho naskia jamaa anafanya misifa mingine viwanja vya Ikulu. anachangisha chapaa za kujenga uzio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mungu mtakatifu, mwenye mamlaka yote, uliyeumba vitu vyote,vinavyoonekana na visivyooneka,.. Tazama Tanzania yako uliyoibariki,tangu siku za mwanzo za uhuru wake,kwa kuipa kiongozi aliyekuheshimu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/103890-mzee-sitta-toka-humo-kuchafu.html
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na mwenendo wa gazeti hili kuna kila dalili za gazeti hili la kiislam kufutwa au kufungiwa kwani limeonyesha dhahiri bila ya uficho kuwa na mwelekeo wa kichochezi , mwelekeo wenye kuamsha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aisee binafsi kwa muda mrefu nimekuwa nikizipenda cartoon za masoud wa Kipanya na pia nilimpenda sana wakati akiwa clouds fm kama mpiganaji. Wanajamvi mnamuonaje kupitia cartoon huyu jamaa si...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
‘Chama Cha Mapinduzi, kwa sababu ya uzito wa historia yake, hadhi ya jina lake, mfumo wa wavu wake, mazoea ya watu, na ubovu wa vyama vya upinzani, kinaweza kuendelea kuchaguliwa na Watanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila mwana JF ana mtazamo wake binafsi juu ya CCM na Serikali yake. Jipe credit kwa kuikubali au kuikataa CCM, na je tuipotezee kama KANU kule Kenya?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UVCCM-Mara waitaka serikali itangaze kuwa DOWANS ni kampuni hewa, wahamashishana kama vijana waamke na kuwashauri viongozi wa CCM waibane serikali iwajali wananchi wake na wasitangaze takwimu za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania inalifanyia uchunguzi shirika la utangazaji la Uingereza (BBC), ikilishuku shirika hilo la Serikali ya Uingereza kwamba linafanya shughuli za uchochezi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoani Mara umetaka serikali kutamka kwamba Dowans ni kampuni hewa na kwamba isilipwe hela yoyote. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa baraza...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Lengo ni kuwanyamazisha viongozi wengine wa upinzani NJAMA nzito zinasukwa ndani ya Jeshi la Polisi, Chama cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake ili kuhakikisha Dk. Willibrod Slaa anafunguliwa...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Tanzania sasa mambo yanakwenda kombo viongozi wanahaha kunusuru na wengine nahisi wanajuta kwanini walichaguliwa kuwa viongozi.Kuna masuala mengi yanayowaumiza vichwa mara DOWANS,madai ya Katiba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Najua vurugu za Arusha au Mauaji ya Arusha yamejadiliwa sana. Pande mbili zimejitokeza. 1. Kama polisi wangeruhusu maandamano na kutoa ulinzi vurugu zisingetokea. Demokrasia ingekuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari zenu. Naomba kuwauliza wana JF; Hivi watanzania tunajua tuendako? Au kunahitajika mjadala wa kitaifa kujadili Mustakabali wa nchi yetu?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
mimi naona kuna upendeleo malipo ya dowans. kuna watu wengi wamepata hukumu ambapo serikali imeamrishwa kulipa na pia serikali ilipe riba. mfano mzuri ni valambia ambapo serikali iliamriwa ilipe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF nafahamu kuwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania polisi hawawezi kuzuia maandamano ya amani na kuwa jukumu lao ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Na pia kuna kesi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjadala wa Dowans umezidi kuendelea. Wazungumzaji wamekuwa wengi. Kila mtu anatoa mawazo yake. Kila mtu anatoa msimamo wake. Mtanzania wa kawaida haelewi nini cha kufanya. Mjadala wa wasomi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dk Slaa: Vurugu za Arusha zimenifungua macho Send to a friend KATIBU Mkuu wa chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema tukio la vurugu walizofanyiwa na jeshi la polisi mjini Arusha, sasa zimemfungua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom