Habari za kuaminika muda mchache uliopita aliyekuwa Naibu Meya Arusha AMEJIUZULU. More News to follow na tunasubiri "tetesi" Meya mwenyewe atoe kauli ingawaje yeye ni mbuzi wa kafara labda...
Nimekuwa nikiwasikiliza viongozi wa dini kuhusu maana ya Jubilee na hata kwa utafiti wangu mwenyewe nimegundua yafuatayo.
The Fiftieth Year is the Jubilee Year
Leviticus 25 describes the...
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya mwanakikao. Zinasema uongozi wa TANESCO wako leo wamekaa kikao wanaandaa waraka wa kuwalipa DOWANS. Ni Mungu tu aingilie kati hali ya nchi hii. Saa chache...
Popote pale duniani sababu kuu ya kuwepo kwa chombo kinachoitwa SERIKALI katika jamii fulani ni kuhakikisha wakati wote kwamba wanawalinda raia wote salama na mali zao kwa usawa.
Sasa pale ambapo...
Tunasikia tu raia kuuawa, kudhalilishwa na kujeruhiwa na polisi huko Arusha, lakini hakuna taarifa kama kuna polisi waliojeruhiwa au la. Hata Mkuu wa polisi nchini hazungumzii jambo hilo ingawa...
Wana JF,
Ni ushauri wangu tu kwa hawa jamaa wawili ambao walijitoa kimasomaso kuzungumza hadharani mbele ya vyombo vya habari kupinga kampuni ya dowans kulipwa mabilioni ya fedha zinazotokana na...
• Baraza la Mawaziri chini ya JK lamshambulia yeye na Mwakyembe
na Mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete amemfunga mdomo Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta aliyeingia...
BBC walikuwa wanajadili kuhusu mafunzo ya Ghasia zaTunisia kwa nchi nyingine.
Watawala wa Kiarabu wamesema kuwa Roho za waarabu wamechoshwa na umasikini.
BBC wamesema raisi akipewa nchi sio...
Hakuna katika wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu ambapo chombo cha habari kama vile redio Imaan kimeachiwa kufanya uchochezi wa Ki-jinga wa vita vya kidini. Ni katika utawala wa...
Polis walichakachua mkanda wa mauaji na kuficha ukweli wa kilichotokea Arusha kwani ukiangalia picha ktk gazeti la Mwanahalisi ya leo Jtano haf ulinganishe na mkanda waliotoa polis,ka kweli ni...
Salaam ndg wana Jf.. Mimi huwa nafikiria mara nyingi sana juu ya hali ya nchi yangu Tanganyika. Rasilimali tele,Watu wema,wacha-Mungu nk. Kweli nishia kusikitika. Kwa upande mwingine masikitiko...
Nimeshangaa taaluma ya uandishi kwa wanahabari wa magazeti ya serikali. Kichwa hapo juu alichoandika katika moja ya maoni yake siku chache zilizopita niliduwaa sana. Mimi mwenyewe niliposoma...
Habari zilizotolewa na gazeti la Tanzania Daima kuwa kikao cha baraza la mawaziri kilichofanyika jana kiligubikwa na mjadala juu ya malipo ya Dowans zimekanushwa na Bw Luhanjo na kusema kuwa...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Philemon Luhanji amekanusha habari zilizoandikwa ktk T. Daima leo kwamba Sitta na Mwakyembe wamezibwa midomo kuhusu suala la Dowans. Katika taarifa yake Luhanji kasema...
Alichoandikiwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha:
Mheshimiwa Mkurugenzi, baada ya Mkutano wa Kwanza kuahirishwa tarehe 17/12/2010 bila kutoa taarifa kwa mujibu wa sheria uliitisha mkutano wa...
Sorry for this post if will be confusing,
toka nianze kufuatilia politics za bongo al the tyme nimekuwa confused all tyme coz wat have realized is that all we ant gov we end up on blaming and...
Yaliyojiri Zanzibar leo (Channel Ten 7pm news bulletin):
Mgambo wakiandamana na polisi wamevamia eneo maarufu la biashara la Darajani Zanzibar kutaka kuwahamisha kwa nguvu wafanyabiashara wadogo...
Nilikuwa naangalia kipindi maalumu(kimeandaliwa na wizara ya habari) kilichokuwa kinarushwa katika televisheni,kilichokuwa kinaelezea tukio zima la maandamano ya wafauasi wa CHADEMA wakipambana na...
Katika kipindi cha miaka mitano ,tumeshuhudia nchi iksambaratika kwa kukosa dira na uongozi kwa hali ya juu.Mifano ni mingi na itaendelea kuja .Tumeona serikali ikikosa kabsa utashi wa kuwatumikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.