Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Dk. Slaa afanyiwa njama kufungwa • Lengo ni kuwanyamazisha viongozi wengine wa upinzani na Edward Kinabo NJAMA nzito zinasukwa ndani ya Jeshi la Polisi, Chama cha Mapinduzi (CCM) na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi hii kitu ni practical kweli au ndo siasa zetu za bongo kutiana changa la macho!!!!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari nilizozisikia hivi punde kutoka hazina zinasema:- mshahara wa mwezi ujao huenda usitoke kabisa kwa kuwa serikali haina hela. Hii ni aibu kubwa kabisa kwa mtanashati na handsome boy kama...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Dah, wana JF wenzangu; kwa kweli hii hali ya maisha ya Mtized wa kawaida inazidi kuwa ngumu kama vile hatukupendelewa na Mwenyezi Mungu nchi yenye neema ya mali asilia na utulivu uliokuwepo toka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Among the more costly gifts given to Mr Obama were: From Tanzanian President Jakaya Kikwete, a three-foot tall carved ebony sculpture, $6,000 List of 2009 Obama gifts revealed by state...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na jinsi nchi inavyokwenda inaonesha watawala hawana akili,na wameweza kuwafanya watz pia kuwa hawana akili,wajione wasio na akili wala utamaduni,hata values mbele ya uso wa dunia. Swal...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa China yuko Marekani kwa ziara rasmi na jioni hii rais Obama atamwandalia dhifa ya kitaifa, hii itakuwa ni mara yake ya tatu tangu aingie madarakani kufanya hivyo. Viongozi wengine wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
List of 2009 Obama gifts revealed by state department President Barack Obama, Italian Prime Minister Silvio Berlusconi and Russian President Dmitry Medvedev Many of the gifts were given at...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani, nchni inaenda wapi? Petrol Bei bado ipo juu zaidi, Umeme bei juu na haupo, Kodi zote zimepanda ya Duka ndio husiseme, Kodi ya nyumba inazidi Mishahara, mchele na nyama bei yake ni zaidi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Taarifa za "kiintelijensia" zilizonifikia punde zinadai kuwa RA hakufurahishwa kabisa na kitendo cha Radio ya Mzee Mengi kum-attribute baba wa Ismail na kuripoti ukweli. Pamoja na kwamba taarifa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Mauaji ya Arusha: Polisi inawadanganya raia Barnabas Maro BAADA ya ghasia za Arusha zilizosababisha vifo vya watu watatu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Petrol bado bei juu, umeme hali kadhalika, kodi ya nyumba balaa, mchele na nyama ndo usiseme, starehe nazo bei juu yaani bia, wine, soda na juice bei juu. eti kilimo kwanza wakati malori marufuku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Salaam. Leo mchana nikiwa pale Benjamin Mkapa tower,(mafuta house) zilipo ofc za TPDC zilifika taarifa kuwa kuna computer iliyokuwa ikitumia kama data base yenye info zote za...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Umoja wa vijana wa ccm mkoa wa mara umekitaka chama hicho kuitangaza kampuni ya dowans kua ni kampuni hewa kwa sababu kitendo cha ccm kukaa kimya kunazidi kukiweka chama hicho mahali pabaya na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna wakati tulikwisha sema ya CCM na mafisadi wake lazima watatumia mbinu za kivita kuishambulia CDM na wanachama wake ilimradi kujiami, kama nilivyo bashiri awali kwamba uenda wakatumia Weapons...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitafakari jambo wakati alipotembelea moja ya chumba cha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kujionea matatizo yanayowakabili wanafunzi wa chuo hicho.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
katika hali isiyo ya kawaida mh mkubwa kutembelea marekani na katika pita pita akaona ghorofa moja halina umeme mala akasema na huku kwenu kuna mgao akajibiwa kua ni ofisi za ubalozi wa tanzania...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaandaa mikanda ya video itakayoonyesha matukio yote yaliyotokea wakati wa vurugu zilizozaa maafa wakati wa maandamano ya wanachama wa chama hicho...
0 Reactions
98 Replies
8K Views
Ndg. wana JF, This email was sent to me yesterday. I have realised it would be worth to share this with you Great Thinkers. (Ukichukulia maanani nimesoma post moja kuwa Tanesco wamekaa kikao cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
*Wasema Hoja zake zimezingatia sheria si porojo za siasa *Wakerwa na wasomi wanafunzi kubeza maoni yake Na Mwandishi Wetu SIKU moja baada ya waliojiita wanafunzi wa kitivo cha Sheria Chuo...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom