Majuzi tu alipokua akikanusha tuhuma za kwenda marekani kuweka sawa dili ya dowans,RA alisema yeye ni mzalendo na kwamba hivi karibuni alikuwa nchi kadhaa za uarabuni kushawishi wawekezaji...
Wana JF naomba kuuliza kama kuna chuo cha uadilifu duniani tuwapeleke hawa viongozi wetu nao wakapate hiyo dozi ili wabadilike kwani wao wanajifanya wanhubiri utawala bora lakini watamkayo siyo...
NI NANI WA KUKEMEA HAYA AKASIKIKA AU KUOGOPWA?
Ndugu wana JF naomba kuuliza hapa tulipofikia ni nani wa kukemea haya maovu yanayojitokeza watu wakamwelewa na kuogopa kauli yake '' nani mwenye...
cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.
Soc...
Ndugu wana JF, mada hii ya mauaji ya Arusha imejadiliwa sana hapa jamvini na tumepata kujua mengi ambayo tusingeyajua kwani serikali na baadhi ya vyombo vya habari havikujaweka hadharani.
Ila...
Korti yaamuru Mzungu kucharazwa viboko kumi Send to a friend Wednesday, 19 January 2011 21:52 0diggsdigg
Phinias Bashaya, Bukoba
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bukoba, imemhukumu Robert Maintland (42)...
Dear Ben Ali, Tunisians don't see the Great Leader in you anymore
By JENERALI ULIMWENGU
Posted Monday, January 17 2011 at 00:00
The genome of oppressive regimes the world over and down the ages...
Wadau wana JF,
Habari za majukumu. Naomba mwenye list nzima na anwani ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano kwa 2011 anisaidie. Nina shida nazo sana.
Asante
Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Mwandishi Wetu
KAMATI Kuu (CC) ya CCM leo inakutana jijini Dar es Salaam, huku chama hicho tawala kikikabiliwa na mtihani wa kutanzua baadhi ya...
20 na 15 wadanganyika waliobaki kwenye uchaguzi wa mwaka 20 na 10 watapenda mabadiliko pia!
PEOPLE POWER, leo tunafanya harambee kujenga uzio wa UDSM na mabweni hivi vyuo vingi duniani vina uzio...
Nimefatilia mapokezi ya rais wa china pale white house,wakati shughuli ikiendelea mtaani watu wanaandamana kupinga ziara hiyo kutokana rekodi mbovu ya china ya haki za binadamu,hata spika wa...
Ndugu zanguni wanaJF naona kuna mjadala mkubwa umeibuka tangu yalivyotekea mauwaji ya Arusha, binafsi sijapendezewa mtu kufa kwenye kadhia ile na kila mmoja anawajibu katika kifo kile kuanzia...
WanaJF,
Kuna mdau mmoja amenihabarisha kwamba hali ya kifedha serikalini hususani kwenye mawizara na idara ni mbaya kupita kiasi. Inasemekana tangu bajeti ya mwaka huu wa fedha ilipopita mwezi...
Habari za kuaminika sasa hivi wabunge wote wa CCM wameitwa Dodoma kuandaa na kuweka mkakati wa pamoja juu ya Dowans. Nia ni kuzibwa midomo na imetamkwa kwamba DOWANS ina masilahi gani na kila...
Siyo kama ilivyo sasa...............
yaani mimi nisizungumze kitu. ninyamaze:
"nikuangalie wewe(Rais), nimuangalie mkeo, nimuangalie mtoto wako.......... "
Source: BBC Dunia Yetu Leo Jioni...
wananchi tumefika sio pazuri kama taifa mshikamano haupo tena hivyo basi napendekeza yafuatayo;
Ziundwe kambi maalum za kufufua uzalendo na mshikamano kitaifa
Viongozi wote waandamizi...
Wakuu,
Mzee Sitta amejibu mapigo ya waziri wa utawala bora Mathias Chikawe kwa kueleza bayana kwamba kamwe hatanyamaza kupiga kelele kuipinga DOWANS.
Chanzo cha habari: Gazeti la Nipashe Tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.