Mauaji ya Kinyama yaliyotokea katika Jiji la Arusha hayawezi kupita bila Watu fulani kuwawajibisha Watu kadha wa kadha
1: OCD wa Arusha: Huyu alipaswa kuwajibishwa Mapema kabisa kwani alihusika...
Tokea Jana Usiku tumeshuhudia Jeshi la Polisi likituonesha picha za video kuhusu tukio la Arusha, Januari 5 mwaka huu ambapo Mtangazaji wake anaonesha umma kwamba CHADEMA wanahitaji kulaumiwa kwa...
SAKATA la malipo ya kampuni ya kufua umeme ya Dowans, limeingia hatua mpya baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, Mathias Chikawe, kusema mawaziri wawili waliompinga Waziri wa...
Ni wiki chache zimepita tangu huyu bwana awe anaongoza kwenye vichwa vya habari vya magazeti. Nakumbuka alisema kuwa hauna haja ya katiba mpya, na dowans lazima walipwe.
Mkuu wa kaya alivyosema...
1: Alianza Chagonja na Mkwara wake huku akiongea kwa kukunja Sura kama anakata Gogo kwa kutoa Kauli za Vitisho bila kuushirikisha Ubongo wake
2: Jeshi la Polisi na Lenyewe likaja na Mkanda...
Wakati mwingine unaweza kusema maisha haya si ya kuwalaumu wanasiasa wetu tu, pengine tumuombe na Mungu atufungulie neema zake, kwani hali ya maisha ni ngumu sana kwa wanachi wengi wa vijijini...
Hebu watz wenzangu 2jadiliane kuhusu ongezeko la bei ya umeme,mi nadhani ongezeko ni 50%,kwanini nasema hivyo,kabla nilikuwa nikitoa elfu kumi ya tz,nilikuwa napata units 64 kwa mwezi(hapo...
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli, amempa miezi sita mkandarasi kukamilisha ujenzi wa barabara ya Nyamwage-Somanga, yenye urefu wa kilomita 60.
Dk Magufuli alisema mkandarasi huyo hana sababu ya...
Ni mtazamo tu,
mi ni 1 wa wale tulioona lile kongamano la kuhusu katiba yetu mpya.Nimesikia michango mingi tu ya wanazuoni,wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Nilichokigundua wanasiasa wanadhan ishu...
Naiona Tanzania mpya inakuja,....yenye viongozi wanojali maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla.viongozi wasiozibwa midomo panapokuwa na jambo nyeti la kulitetea.
MAWAZIRI Mwakyembe na Sitta ni...
Mabomu ya machozi, risasi za moto na hata vifaru barabarani. Vyote havikusaidia kuurudisha umma nyuma. Tunisia na Watunisia wameandika tena historia Afrika kwa kumfukuza Rais wao madarakani kwa...
0diggsdigg
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisisitiza jambo katika mkutano wa usuluhishi baina ya wahadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma UDOM na utawala. Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk James...
Ndugu Zangu,
ZAMANI kwenye Radio Tanzania, moja ya vipindi maarufu kilikuwa Mazungumzo Baada Ya Habari. Ni moja ya nyenzo za Serikali kufikisha ujumbe kusudiwa kwa umma. Ni kupitia...
Case for two stage method of new constitution quest
By Ani Jozen
15th January 2011
Before President Jakaya Kikwete has nominated or otherwise appointed a knowledgeable jurist to...
Wana JF najua ni wengi wanajiuliza maswali mengi juu ya uhalali wa uchaguzi wa meya wa jiji la Arusha ambao umekuwa mjadala mpaka leo. Swali wengi wanalojiuliza je uchaguzi ulikuwa halali au si...
Wazanzibar ni haki yetu kuulizwa kuwa Muungano tunautaka au vipi.Makubaliano ya Father K nikuwa Muungano ni wamuda mfupi tu. Yani miaka 10 tukiona una faida au hauna faida nilazima tulizwe...
Wasalaam,
Kumekuwa na wimbi la uundwaji wa serikali za Umoja wa Kitaifa kwa nchi za Afrika siku za karibuni. Serikali ya Umoja wa Kitaifa siyo kitu kigeni ila kilicho kigeni ni sababu mpya ya...
Dakika chache zilizopita serikali ya Kenya imefuta leseni ya kampuni ya 6969 ambayo imekuwa ikiendesha shindano la SMS ambapo watu wanatuma SMS kwa nambari hiyo na kuahidiwa kushinda milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.