Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kauli zinazotolewa na mawaziri na hasa kuhusu Dowans linaiaibisha serikali. Ngeleja ameshasema vya kwake, Sitta tumeshamsikia na hatimaye Chikawe naye amezungumza hivi karibuni. Katika suala la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Minister deplores purchase of luxury motor vehicles By The guardian reporter 10th December 2010 Natural Resources and Tourism minister Ezekiel Maige declared on Wednesday that...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Source; mwananchi ya leo...............................
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Kiongozi na Mwanafalsafa nguli wa itikadi ya ukombozi wa bara la Africa, Kamarade Amilcar Cabral aliamini kuwa mafanikio ya mapambano ya ukombozi yatategemea sana nidhamu binafsi (Personal Moral...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
SIASA IMETAWALA SIASA NA MAMBO YOTE YA MAENDELEO, EPUKA SIASA FANYA MAENDELEO TUNATAKA MABADILIKO :A S thumbs_up:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama December alijiuma-uma. Aka-dig round the bush. Mwezi huu itakuwaje? Tutarajie nini kutoka kwa Mr. Jakaya?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
heheheh nadhani Polisi watatafuta pa kutokea kama wakileta zile za Arusha maana nina uhakika tifu la kina Mura si mchezo ni patachimbika iwe Mara au Tarime! Kidole na jicho vijakazi wa CCM...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
JK alishinda uchaguzi TZ. Keshaapishwa kuwa Rais. Nchi zote zinamtambua kwamba ni Rais wa TZ. Watanzania tuache majungu yasiyo na msingi. Siasa za vijiweni hazijengi nchi, Let's Move On. Ni...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya amezungumzia sakata la Kampuni ya Kufua Umeme wa Dharura ya Dowans akieleza kuwa mpaka sasa hafahamu kwa nini Tanzania inapaswa kuilipa fidia kampuni hiyo ya...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Naomba wanajf -great thinkers mnisaidie -kama zombe na wenzake walifikishwa mahakmani kwa kuua kwanini hawa walioua arusha wasifikishwe mahakamani -ili mahakama iseme walipaswa kuua au la? Kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waombolezaji wenzangu, tungefarijika kama mngetuhabarisha shughuli ya mazishi ya mashujaa wetu inavyoendelea hapo Arusha kwani saa 4 asubuhi imekaribia. MSIBA: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman...
0 Reactions
856 Replies
86K Views
Wana JF, Nchi imeuzwa, nimeamini sasa. Huko Mbarali, barabara ilifungwa, cha kushangaza tenka la mafuta likapita. Kisha wakaandamana kwa nn linapta. Polisi wakapga risasi wa2 wawili. Sasa...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
JK akipokea ujumbe toka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya leo Ikuku Dar uliowasilishwa kwake na Mwakilishi wa Rais Mwai kibaki Bwana Githae ambaye pia ni waziri
0 Reactions
14 Replies
2K Views
IGP Mwema amepotoka (amepotoshwa) na kukosea kwenye mambo mawili; 1. Mamlaka ya kusitisha maandamano au mkusanyiko wa watu yapo kwa OCD na sio IGP. Hoja ni kwamba ameingilia mamlaka ya OCD. 2...
0 Reactions
143 Replies
12K Views
Jamani wana JF na wana jukwaa la siasa naomba kuuliza. Je ofisi ya makamu wa rais imehamishiwa kwenye mbuga za wanyama siku hizi??...Maana tangu mwezi wa 12 mwaka jana vyombo vya habari vinaripoti...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Sheria inayotumika kuhusiana na maandamano au mikutano ni the Police Force and Auxiliary Services Act, Cap 322 ambayo inapatina online kupitia www.policeforce.go.tz The law under section 43...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mambo mwengi huyu mchungaji mtikila toaga mawazo yake ikiwa ni pamoja na kuishtaki mahakamani, vipi il la arusha hajatoa tamko lolote? au ndo anaangalian sheria inasemaje ili ajipange...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tusidanganyike na watu wachache wanaoishi vizuri mijini tukadhani hayo ndio maisha ya mtanzania halisi, Hizi picha zinaonyesha umaskini halisi wa mtanzania. Umaskini ambao Rais na PhD zake za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna watu wanajifanya smart wameanzisha mtindo wa kuja na Heading za ajabu ajabu lakini ukisoma ndani maudhui ni tofauti kabisa. Mfano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
FemAct yataka meya Arusha ajiuzulu Na Gladness Mboma SERIKALI imetakiwa kuufuta uchaguzi wa Meya Arusha na kuitisha uchaguzi mwingine huru ili wananchi wachague meya mwingine...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom