Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kufuatia mgongano wa mawaziri kuhusu sakata la malipo ya Dowans, Balozi Paul Ndobho ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Musoma Vijijini mkoani Mara amemtaka Rais Kikwete kuvunja baraza la Mawaziri...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mambo ya ARUSHA yanaumiza sana !nauliza hawa polisi wa Arusha kwani hawaishi uswahilini kama hapa Dar !( unajua hayamabo yanazidi watu wanakufa hakuna hata mkuu wa nchi alitoa pole kwa wafiwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
well my awards goes to "the one and only ........YUSUPH MAKAMBA..." i really hate this person to the maximum.... nikimkuta anagombanana simba namsaidia simba badala yake.... vp waungwana kuna...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Mustapha Sabodo mfanya biashara mwenye asili ya kiasia ametoa msaada wa kiasi cha Sh 5milioni kwa familia ya Ismail na kiasi hichohicho kwa familia ya Denis na mazishi ya Denis Rombo ndio yanaanza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Haya ndiyo madai ya CDM kutoka kwenye tamko lililosomwa na Mh. Mbowe jana kwenye maziko ... Ili tutimize majukumu yote haya, tunahitaji kuhakikisha kwamba mambo yafuatayo yanafanyika...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Wana JF Tanzania mie sielewi vizuri. Inakuaje viongozi hawawajibiki wa wananchi. Unaenda wilayani hata wananchi hawajui mkuu wao wa wilaya jina lake ni nani. Mfumo mzima kila mtu nateuliwa na rais...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Jambo moja ambalo limekanganya au kukoroga vichwa vya wananchi katika kila kona ya nchi yetu tangu polisi wawaue waandamanaji kwa kuwapiga risasi mjini Arusha wiki iliyopita, ni kitendo cha Rais...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF nawale wapenda maendeleo ya wanachadema ni wangapi wako tayari tarehe 21 ya mwezi huu wa January kuja kuwasindikiza wanachadema pale mahakamani siku kesi yao itakapotajwa tena? Nawasilisha!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ilitokea katika viwanja vya NMC hapo jana wakati mc akiwatambulisha wabunge wa CDM(wanawake) waliofika kuaga miili ya marehemu.
0 Reactions
39 Replies
4K Views
JE Hatuwezi Kujifunza kwa hawa????? Kwa Mtanzania yeyote ambaye anakipato halali, utakubaliana na mimi kwamba garama za maisha kila siku zinapanda ( Mfano Bei za Umeme, maji,pango, Mafuta mlio na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waliwaua na kuwapiga wanachadema wa arusha waliokuwa wanaandamana kudai haki yao wakisingizia taarifa za kiintelijensia.jana polisi wakaacha chadema waandamane wenyewe ili waone kama watazua...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimejionea katika sherehe zote za Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hutangulia kufika uwanjani na Rais wa Zanzibar huwa wa mwisho.Akifika Rais wa Zanzibar hupigiwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
habari wana JF kuna tetesi kwamba huyu anaejiita mtoto wa kulima anamiliki hisa za kutosha tu katika kampuni ya mabasi ya SUMRY yanayofanya safari zao karibu mikoa yote ya Tanzania kupitia kampuni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
tujadili hii hotuba na yanayotokea sasa tanzania ‘The Ballot or the Bullet’ Malcolm X, 3 April 1964, in Cleveland OH The audio version differs from the text below. The audio version was...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MGOGORO wa ardhi baina ya wananchi wa eneo la Kwembe Kati, katika Kata ya Kibamba wilayani Kinondoni, na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, umechukua sura mpya baada wananchi hao...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
This is the dialogue between CHINA and African REGIME; CHINA: Is that your old mine there? REGIME: Yes CHINA: And that port over there-yours too? REGIME: Uh-Huh CHINA: Can I build a rail...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
From BILHAM KIMATI in Zanzibar, 12th January 2011 @ 22:00, Total Comments: 1, Hits: 175 THOUSANDS of jubilant Zanzibaris on Wednesday turned out at the Amani Stadium to mark the 47th Revolution...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Ndg wana JF, Nimeambatanisha hii picha ili mshuhudie jinsi huyu mzee anavyopenda mnuso wa dezo. Kwa hali hii unatarajia anaweza akaongea point?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tukumbushane hapa kidogo: Hii tume ya kina IGP Mwema et al ilifikia wapi? Je, Kuna haja ya kuendelea kuunda tume za namna hii hapo mbeleni? Mtizamo wangu ni kwamba utawala uliopo umejenga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom