Ndugu zangu wanajukwaa!! Nipo nafuatilia maadhimisho ya kumbukumbu za Mapinduzi ya Zanzibar!!! Ameingia Dr Salmin, lakini namuona ni dhaifu sana kiafya. Kutoka ktk gari hadi kufika ktk kiti chake...
Nimekuwa nikimfuatilia sana Maalim kabla na baada ya kuundwa kwa serikali ya mseto Zanzibar!! Kwa upande wangu naona kama hadhi na umaarufu wakw umepungua sana na ninadhani ni bora asingeingia...
ndugu wana jamvi leo nilikuwa naangalia siku ya mapinduzi ya zanzibar na nikasikia myangazaji akielezea vizuri kabisa kwamba leo ni siku ya mapinduzi matukufu ya wazanzibari kutimiza miaka 47...
Polisi na ccm upande mmoja na Chadema upande wa pili. Baadhi ya ndugu wa marehemu wanaoneka kufanya dili. Waliahidiwa na Chadema gharama za mazishi. Leo UWT na polisi wako bize kuwashawishi (kwa...
Robert Nyanda
Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibadilishe sifa ya umri wa kupiga kura kutoka miaka 18 ya sasa na kuwa miaka 14 ili kutoa fursa kwa vijana wengi wenye umri huo...
Habari ninazoambatanisha hapa chini ni kuhusu mpango kamambe wa Kenya wa kujitosheleza kwa umeme. Neno kuu ni hili la kusema bonde la ufa, lina uwezo wa kutoa umeme wa MW 4000.
Halafu project...
Wajameni tuwe wajasiri kumwambia on the face kwamba aliiba kura yaani (Kikwete Mwizi) kama huyu Mh atakuja kwenye mazishi huko Arusha ni sharti azomewe kama ilivyotokea Mbeya! Na machungu ya...
Toka uchaguzi umepita na "rais" kupatikana, sijasikia salamu za pongezi kutoka kwa nchi rafiki kama ilivyozoeleka toka zamani, au vyombo vya habari Havitangazi
JK alidhani kumuingiza Samwel Sitta katika serikali yake labda itakuwa ni njia mojawapo ya kuponya majeraha na mpasuko ndani ya chama chake. Lakini mambo yameenda tofauti. Samwel Sitta amekuwa...
Wikileaks imetoa taarifa zinazomzuia Kibaki na genge lake la Mafisadi kutokuingia Marekani.
Anayefuatia ni Fisadi Kikwete na Genge lake la majambazi. Habari Zaidi...Bofya Hapa
Mwenye nyumba mkoani arusha awatimua polisi wawili waliokuwa wamepanga nyumbani kwake! Huu ni ushahidi wa hasira za wananchi kwa polisi na matendo yao! Polisi mmoja apigwa na raia alipooenda...
Na Joseph Ngilisho,Arusha
MBUNGE wa Viti maalum Tanga ambaye pia ni Katibu wa CCM MKoa wa Arusha, Mary Chatanda, anazidi kuvuruga watu, sasa baada ya kuwavuruga Chadema na CCM, ameanza...
katika jukwaa hili la vijana wa sasa nakumbuka nilikua mmoja wa watu waliosain memorandum off understanding ya kujitoa tahihiliso baada ya udom kujikuta wanatumika na sasa mpaka raisi kipra yeye...
FOR IMMEDIATE RELEASE (to be published in its entirety)
9
th January, 2011
DAR ES SALAAM
The Tanganyika Law Society (TLS) is the National Bar Association for mainland
Tanzania...
Dr nikiwa kijana mwenye uchungu na ham yakuona Taifa hili cku moja kila mtanzania atapata nafasi kuifaidi nation cake! Nakutia nguvu nakukuombea kwa Mungu angalau uje leta mapinduzi ktk Taifa...
Mimi naona kuwa CHADEMA wanatumia siku ya mapinduzi ya Zanzibar kuaga watu waliokufa kwenye maandamano ya CHADEMA kama njia moja wapo ya KUJIONGEZEA UMAARUFU.
Kweli siasa ni mchezo mchafu na...
Tokea hizi kampeni za mwaka 2010 zianze mpaka zimeisha na tukampata Raisi,sijawahi hata siku moja kusikia katika kampeni za CCM wakitumia neno MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA kama ilivokua 2005...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.