Ninavyofahamu mimi, gazeti la kila wiki la Changamoto linamilikiwa na shushushu mmoja wa ngazi ya juu mstaafu (jina nafunika kwanza kwa sababu hawa huwa hawastaafu) hivyo habri zinazoandikwa humo...
Leo tunapoadhimisha kumbukumbu ya mapinduzi ya zanzibar ya tarehe 12 january 1964 kuna haja ya dhati kabisa kujihoji usahihi wa historia ya mapinduzi hayo kwa maana ya nani alihusika, nani alikuwa...
Pamoja na yote ambayo chama tawala na jeshi la polisi wanasema kuhusiana na vifo vya ndugu zetu pale arusha, nafsi yangu inawatambua watu hawa kama mashujaa wa kweli katika ukombozi wa KWELI...
Vizazi Vingi Vimeteseka na Umaskini Ulioletwa na Chama Kimoja Tu "Sisiem" Wenyewe Wanajisifu Sana kwa Maendeleo na Huduma Nzuri Walizozileta Tanzania, Hivi CCM ni Binadamu Kweli Au? Tukizunguka...
Nyie mnaojidai wasomi wa kujificha nyuma ya komputa, muda umefika kwetu sisi kuvaa uwanaume dhidi ya Dikteta Jakaya Kikwete. Tumewaomba msaini petitsheni lakini mnabisha mnaleta kujua. Hivi ndivyo...
University students from Tarime District have vowed to take their case to the streets if a major mining firm will continue to refuse paying their school fees.
According to a statement issued...
napenda kuwaomba wapendwa na wanawema wa tanganyika kua sasa jamii imechoka na kwa heshima mwenykititi akiwa hapa atauongoza kutoa heshima za mwisho kwa ndugu zetu hapa arusha nao ni mashujaaa wa...
Huyu mama kwanza alinyamaza baada ya tuhuma za AVALON CINEMA kuelekzwa kwake kuwa ana double standards...baadae akapiga mkwara kuwa angevunja na ile shopping mall jirani na Shoppers plaza...
Mozambique denies India 5 more coal concessions
By: Reuters
10th January 2011
MAPUTO - Mozambique on Monday turned down a request by the Indian government for five coal concessions...
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mgumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza...
UKOMBOZI NI MUHIMU NA NI LAZIMA TUJITOE MHANGA. HACHENI MAMBO YA KINAFIKI NA UPUMBAVU. TUNAOMBA NGUVU YA UMMA, KU SIGN HII PETITION ILI TUUNGANE NGUVU KUPINGA UDHALIMU NA UDIKTETA WA KIKWETE...
CHAMA cha Mapinduzi kimemshukia katibu wake wa Mkoa wa Arusha Mary Chatanda kwa kauli yake iliyotafsiriwa juzi na Kada wa chama hicho John Malecela kuwa ni utovu wa nidhamu kwa maaskodu...
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Wilaya wa CHADEMA Arusha ni kwamba polisi 'wamekubali' ibada pamoja na duwa kuwaaga mashujaa waliofariki kwa kupigwa risasi na polisi tarehe 5-01-2011 ifanyike...
Guys! In 2011,May you be prosperous like CHADEMA, Blessed like SLAA, Courageous like BAREGU , Successful like MBOWE, Talented like MNYIKA, Smart like LISU, Famous like ZITTO, Fortunate like...
Leo kwenye taarifa ya saa moja usiku katika Channel ten...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha ameomba Waziri Mkuu kuingilia kati sakata la Umeya wa Arusha kwa kutoa ufafanuzi kama Katibu wa Mkoa...
Tangu asasambuliwe kwenye mdahalo na mwenyekiti wangu (FM), bwana huyu aliyejibatiza kisifa cha mwanasiasa mkongwe sijamsikia tena.
tatizo la kurudi ccm ndo hilo. ukihama ccm, siku moja ukarogwa...
Natangaza kuwa nitafanya maandamano ya amani siku ya jumanne tarehe11.1.11 kuanzia saa nane mchana kupinga serikali kuilipa Dowaans mabilioni ya fedha ambazo ni za udanganyifu! sihitaji kibali cha...
Kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu Tanzania wa Oktoba 2010, tumeshuhudia pepo kubwa sana zikivuma kwa kasi kutoka pande zote za nchi yetu. Ni pepo za mabadiliko. Wananchi wanataka madadiliko ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.