WAFANYAKAZI WASEMA HAUJAREJESHWA SERIKALINI
WAFANYAKAZI wa mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira wilayani Kyela, mkoani Mbeya, wametoboa siri kwa kueleza kuwa mgodi huo haujarudishwa serikalini...
Dereva tax anayejulikana kwa Jina la HIJA MAGOMA,Amemgonga mfanya biashara maarufu kama muuza genge,baada ya kufanya ajari hy ikasadikika dereva hyo wa tax no T901ANL alikua amelewa.Sasa wakati...
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, amewahimiza wananchi wa jimbo hilo na Watanzania kwa ujumla kununua bidhaa zinazozalishwa nchini ili kulinda uchumi wa nchi na kuongeza ajira kwa Watanzania hasa...
Hivi karibuni nilienda karagwe ambayo ni moja ya wilaya hapa tanzania haijawahi kupata chakula cha msaada kutokana na kuwa na migomba mingi mizuri ,hari ya nzuri ya ikweta , udongo wenye rutuba na...
Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ccm.
Kauli za makamba tangia kura za maoni ccm umesaidia sana wanaccm kukimbia chama chao na kwenda upinzani na watu hao wamegombea kupitia upinzani...
Huyu mama hana hofu ya mungu,hana uzalendo,hana staha kw watanzania na viongozi wetu wa dini,anasema wavue majoho yao,anataka wavue ili aone nini?
Anatoa wapi kiburi hiki,anapaswa kutengwa ktk...
Anderew Chale
TAMKO LAO;CHAMA CHA WANASHERIA WA TANZANIA BARA
TAMKO 9 January, 2011
Na
Chama cha Wanasheria wa Tanzania Bara (kwa kifupi CHAMA) ni Jumuiya ya Kitaifa
...ya Wanasheria wa...
jamani nauliza huu ukimya wa kaka yangu malafyale kuhusu kuwalipa au kutowalipa dowans hana comments au zile kelele zimezimwa na cheo coz by time he used to be hot ila sa ivi ni unpredictable hebu...
Taarifa za siri kutoka ndani ya TAKUKURU zinasema kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dr. Edward gamaya Hoseah aliondoka nchini Tanzania tarehe 29 Oktoba 2010 kuelekea nchini CHINA kwa mapumziko...
WAZIRI Mkuu wa zamani, John Malecela, amesema kuwa CCM imewakosea adabu maaskofu hivyo inapaswa kukutana nao na kuwaomba radhi.Akizungumza na Mwananchi jana, Malecela alisema kitendo cha...
Nimeshuhudia Viongozi wengi duniani wanapimwa uwezo wa kuwajali wananchi kwa kuwa makini kushughulikia kero mbalimbali za dharura kama mafuriko kama yaliyotokea Kilosa na kwengineko, mauaji Arusha...
Nashangaa sana kuona hata kile kidogo kinachotolewa kwa ajili ya wakulima kama ruzuku kwenye mbolea tayari mafisadi wameshaingia huko!
Huku Iringa kuna kata ya Mgama watu wanalalamika bei ya...
Pamoja na umuhimu wake na nafasi zao katika jamii nasikitika kuona kuwa mpaka sasa Si UDASA au KIGODA CHA MWALIMU NYERERE wala Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hawajatoa tamko lolote lile kulaani mauaji...
... compare the tilte with this:
OBAMA TO LEAD MOMENT OF SILENCE AFTER SHOOTING
WASHINGTON When President Barack Obama steps out on the South Lawn of the White House Monday morning, the...
Mara nyingi wananchi wa Tanzania wamekuwa na hofu kila wanapomuona polisi. Tumekuwa tukishawishiwa kwamba polisi ni rafiki wa raia na kwamba hatuna haja ya kuwaogopa bali kushirikiana nao katika...
Kitendo kilichojitokeza katika jiji la Arusha kuchafuka kutokana na vurugu za kisiasa kati ya wananchi na polisi yote haya ni kulazimisha ushindi usiokubalika na wananchi wa leo Tanzania kutokana...
Mwenyekiti wa CDM taifa Freeman Mbowe ameongea na waandishi wa habari leo na kutoa uthibitisho,miongoni mwao mmoja ni raia wa kenya aliyekuwa nchini kwa biashara zake,maiti 2 zilifikishwa KCMC na...
Baada ya kuona evidence za hii issue inayotugusa wote zimetapakaa jamvini kote naona bora nianzishe hii topic ili evidence zote tuziweke humu, kuanzia zile za kina Mwanakijiji, Rutaba..... na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.