Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Oktoba 31 2010 ulichaguliwa kuwa rais wa Tanzania. Tunajua uliupata kwa njia ya uchakachuaji. Hata hivyo tumekubali yaishe kwa sababu katiba yetu ndiyo iliyokubeba. Tumeamua tukuache uendelee na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, salaam aleikum ... Leo nimejiuliza swali nikaona niwashirikishe na wengine ili nipatae msaada. Kuna mfululizo wa matukio yamekuwa yakitokea nchini mwetu na kuzifanya siasa za nchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
katika hafla ya kumsimika askofu mpya wa jimbo la mwanza, waziri wasiri ameshindwa kusoma salamu za Rais na badala yake akakabidhi bahasha yenye hizo salamu kwa mhusika. kwa hakika hii ni stali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Source:Gazeti la Habari leo(January 8,2011) ASKARI Polisi wameiomba Serikali kuangalia jinsi ya kuboresha nyumba wanazoishi walinzi hao wa Usalama wa raia kutokana na kile walichodai zimechakaa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
katika kile cha sintaamini masikio yango mbunge wa monduli anasema na kuwasa viongozi kua wawe waadilifu na wasie mafisadi na wawatumikie wananchi ama kweli sina la kusema
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Is Chenge qualified to be elected MP? By Joseph Mchekadona Two Dar es Salaam–based lawyers have given differing views concerning the eligibility of Baridi West Member of Parliament Andrew...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
BY LUSEKELO PHILEMON 9th January 2011 The death toll from Wednesday's bloody clashes in Arusha between Chadema supporters and police has now climbed to six, a special committee formed by the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
-Nani atasema enough is enough?Meremeta,BoT,Tanesco/IPTL/Dowans,Kiwira. -Nani atahakikisha kuwa 4 lives lost huko Arusha haitatokea tena?Kwa ajili ya peaceful demonstrations????? -Nani ataleta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka 2001 baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000, chama cha CUF kilifanya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu kule Zanzibar, kwa bahati mbaya jeshi la polisi kupitia amri za wakuu wao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
haya kama kuna jinamizi linakuja ni hilo kwani meya lyimo hatki kujiuzulu mbona naibu wake kajiuzulu na hakuna matata na mbona diwani wa c.cm alikuja kwenye mkutano wa cdm na alipokewa kwa nini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wala siyo siri. Serikali ya JK ikijilipia kupitia Dowans na hela zetu za kodi, watambue wazi kabisa kwamba tunaingia porini, au tunaanza vita. Tumechoka kudhulumiwa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Diwani wa Kata ya Sombetini, Alfonce Mawazo katangaza kujiondoa katika chama chake Jumatano wiki hii na kujiunga na Chadema akidai kuwa amechoshwa na ukatili wa CCM. Mawazo ambaye alihamia CCM...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkakati wa Kusaidia WanaArusha . Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na Viongozi wao ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makamba uko wapi? Uko enzi gani -- enzi za Mchonga? Huoni kabisa CCM yako inapukutika kutokana na udhalimu, ufisadi na kukiuka haki? Au utasema mlisahau kumhonga huyo Diwani abakie CCM? Speak up...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Minister for Eeast African Cooperation Hon. MP Samwel Sitta said the decison to pay DOWANS has not gone through the cabinet Mr. Sitta Said he would seek explanations over the matter when the...
0 Reactions
90 Replies
7K Views
salaam ndg zangu, nataka tuchambue kwa pamoja bila kujali itikadi zetu za kichama, mapenzi ya siasa au mtu. na tuchangie kwa vigezo na hoja nzuri swali hili. mwaka 2001, nakumbuka kule zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunaona Jinsi Gani Vyombo vya Usalama na Ulinzi Tanzania Vinatumia Nguvu Zote Kutafuta Any Kind of Intelijensia Chadema Wakati Hizo Skills za Intelijensia Zingetumika Kujua Nani Alifanikisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakubwa, Nimeona ni bora nianzishe thread maalumu kwa ajili ya namba za simu za CHADEMA ili kila mwenye mapenzi mema nao awajulishe kama si kwa kupiga basi walau kuwatumia message tu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wikileaks revelations open a window on Tanzania’s worsening graft problem...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CCM: Maaskofu vueni majoho Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Arusha; Tarehe: 8th January 2011 @ 23:50 Imesomwa na watu: 74; Jumla ya maoni: 0 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Arusha kimewataka...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom