Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi kuna mwana jf yeyote ambaye anaweza akawa na picha zinazoto sura walau hata ya askari mmoja tu wa Kikwete pindi alipokua akitekeleza amri ya kuwanyunyizia Wa-Tanzania wenzake risasi kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Malipo ya Dowans yamechukuwa nafasi kubwa katika habari nchini mwetu. Kuna kila sababu ya kuchukuwa hiyo nafasi kutokana na upuuzi unaofanywa na serikali inayoongozwa na Jakaya Kikwete kukimbilia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimesikia katika vichwa vya habari kwenye mojawapo ya magezeti yaliyosomwa leo redioni kwamba Hazina (Treasury -- i.e. Wizara ya Fedha) imesema haina hela sasa hivi kuilipa Dowans mabilioni hayo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK; Nape Nnauye YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE...
0 Reactions
110 Replies
12K Views
KOMBOLELA SHOW JUMAMOSI HII January 8, 2011 @ 01:00pm - 02:00pm EST, 9:00pm -10:00pm East African Time Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo ya kisiasa, mojawapo wa mambo yametokea siku za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kweli waziri mkuu pinda amekuwa akitumiwa Kama fimbo ya kupigia wanyonge na na kuwalazimisha watanz wakubali matakwa ya watawala hata Kama yanasababisha maumivu kwa taifa , Kama sio yeye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WANANCHI wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamefanya maandamano hadi ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo kulaani kitendo cha askari polisi kumuua raia mmoja kwa kukutumia risasi. Mbali na hilo wananchi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Maaskofu licha ya kulaani nguvu kubwa iliyotumika na polisi arusha, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha Joseph Lebulu amesema Polisi walitumia nguvu kubwa kuua inzi, ni usemi wa kifasafa kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Napenda kutoa onyo kwa Chadema ,msijaribu kabisa kuiga mambu ya CUF ,na ikiwa mnataka kufanya wayafanyayo CUF basi tafuteni ushauri kutoka kwao ,CUF walipoamua kufanya mambu hayo ilikuwa hakuna...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
VURUGU NA MAUAJI YA ARUSHA IGP Mwema, busara za Uchaguzi Mkuu umemuuzia nani? Tarehe 5 Januari mwaka huu 2011 Watanzania, hususani wakazi wa Arusha hawataisahau. Haitasahaulika kama haitatokea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanzania tuamue sasa, tumenyonywa vya kutosha na tumenyanyaswa vya kutosha. EPA,MEREMETA,KAGODA,ATCL,RELI, IPTL N.K Akina mama wajawazito na watoto wengi wamekufa kwa sababu ya kukosa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
President Kikwete while addressing members of diplomatic corps yesterday, cited the killing of innocent civilians at Arusha to be an isolated case which would not be repeated. To my knowledge, in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndg zangu wana jamvi salaamu kwenu, sio siri, kwa matukio aliyoyafanya huyu mzee hapo nyuma huwa simpendi yeye na wenzake wote waliohusika kutuletea mazingaobwe ya hasara kwa nchi yetu, weather...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwangu mimi moja ya sasabu kuu ya kumfanya Kikwete akubali suala la kuwa na katiba mpya ni fedheha ya kusubiri kupewa maelekezo na Bunge nini Serikali inapasa kufanya kuhusu suala la kuwa na...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Licha ya onyo lililotolewa na mh Rais katika salaam zake za mwaka mpya kwa vyama vya siasa kuacha kuendelea na Kampeni, halikusikika kwa viongozi wa CHADEMA. Na jaribio kubwa lilikuwa ni kuwamwaga...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Nijuavyo mimi, TANESCO kama shirika la umma, ina bodi yake ya wakurugenzi; na ni bodi hiyo ambayo ilistahiri kushughulikia hili suala la malipo ya Dowans. Serikali ilitakiwa kukaa kando mpaka...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kauli ya Nahodha yamgeukia ‘kaa la moto’ Friday, 07 January 2011 20:13 Hussein Issa na Hassan Mohamed WASOMI wamekosoa kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu zanguni kwanza niwasalimu mlioko huku jamvini.asalaam aleikum Naomba nichukue fursa hii nieleze kwa masikitiko jinsi Polisi wa Arusha walivyoutumia mwanya wa vurugu za tarehe 5 januari...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Taifa linaomboleza yeye kapata wapi ujasiri wa kufanya sherehe ikulu? Ameshindwa hata kuja eneo la tukio hivi hata hao mabalozi nao kwanini wanakubali kuburutwa na mtu katili namna hii...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukimsikiliza kila mtu hapa Arusha siku tatu baada ya polisi kuua raia utamsikia akiongea kwa uchungu mkubwa juu ya yaliyotokea. Wengi wameshauri kama kuna jinsi ya kufanya nao polisi wapate...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom