Naomba kuuliza swali hili kwa wote waliohusika kusababisha Mauaji ya Arusha Jana.
Je Familia zenu na jamaa zenu wapo salama??
My Take: Kwa hasira ya Watanzania walio wengi, kitendo cha mauaji...
Tumemdhalilisha Mchungaji Mtikila kwa kumpeleka mahakamani na huenda kesi bado hazijaisha, lakini vyombo vya kimataifa (wiki leaks) vinafunua mambo ya Tanzania ni njia kuu ya upitishaji wa madini...
Aliibuka ghafla na kupata umaarufu mkubwa kupitia vyombo vya habari. Huyu si mwingine bali mnadhimu wa jeshi ABDULRAHMAN SHIMBO. Sasa yupo wapi wakati mauaji yametokea Arusha? yupo wapi kutoa...
There has to reach a time when some Chaka Chua Matokeo and some bureaucratic rats and their sickening policies have to get it clear that Tanzania is not theirs to fcuk with, Tanzania belongs to...
Rais Mstaafu Mkapa alikuwa na nia madhubuti ya kuwasaidia waislam,kuna mengi amefanya ambayo si dhambi, mfano wa chuo kikuu cha Morogoro cha waislam, zaidi ni pale Waziri mkuu Sumaye alipoteua...
Monday, 27 December 2010
Anthony Kayanda, Kigoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Tamisemi), George Mkuchika, amepewa siku saba kuhakikisha anaitisha uchaguzi wa kumchagua Meya wa...
Nimekuwa nikijiuliza ikiwa Tanzania ni nchi ya chama kimoja ni vizuri watanzania tukajulishwa rasmi ikiwa tumeruhusu au kusajili vyama vingi na haviruhusiwi kuendesha shughuli zake au kushiriki...
Wewe polisi unayefyatua risasi kwa mtanzania ambaye unalipwamshara kutokana na kodi yake kwa kuwa umepokea maelekezo kutoka kwa "mkuu" wenu naomba mjiulize hiyo damu itakuwa mikononi mwa nani...
Jamani wakati nasoma katiba nilishangaa kukuta mambo haya kwenye ibara ya 20:
(2) Notwithstanding the provisions of sub articles (1) and (4), it shall not
be lawful for any political party to be...
They fear us because we are young,
They fear us because we are the future,
How fearful they must be as they shoot us? How powerful we must be as they fear us so much :( We are powerful because...
Wakuu nilipokuwa nikisoma katiba nimeshangaa kwamba ninayo ruhusa ya kumshitaki Mwema mahakamani kwa kuvunja katiba makusudi, kwa kuzuia maandamano na kuwapiga wananchi.
kifungu (1) na cha (2) cha...
Mtikila alisema kuwa kuzinduliwa kwa jukwaa hilo ni kuzaliwa kwa tatizo kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete na kumtaka ajihadhari, akidai kuwa ajira yake sasa ipo kwenye "danger zone (sehemu ya...
When I look at the photo of a youth dressed in white t-shirt and blue jeans lying down with blood around his chest, I feel deep pain inside ma heart, Oh God help Tanzania!
WanaJF,
Kila mara ninaposoma threads zinazomchambua Mwl. Nyerere nimekuwa nikikumbana na hoja zinazonisikitisha sana. Baadhi ya wachangiaji wanasema sera za Nyerere zilifeli kuwaletea maendeleo...
Ndugu wadau, hii dhana ya kusema polisi wanalinda raia na mali zao inaelekea kuisha. Kinachojionesha ni kwamba pale raia wanapotaka kuandamana kwa amani ili kutoa dukuduku zao wanaingiliwa na...
Well, the government has agreed to pay Dowans because they figured out they don't have anyother choice - which is not true because they had a choice - not entering the Richmond Contract in the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.