Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana jf hivi hawa mgambo wa ccm tukisema walitaka kupora hili gari tunakosea. Mwangalia huyo mmoja alivyokuwa anapiga kioo kwa kiganja. Pakilipuka hapa hawa ndiyo wa kuanza nao
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Deaths in Tanzania opposition rally - Africa - Al Jazeera English Two dead in Tanzania opposition march: Police | The Asian Age> Tanzanian police kill two rioters, seize leaders | Top News |...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ndiyo hati iliyopelekwa kwa mwanasheria mkuu wa serikali Download kama pdf
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Nimefuatilia ujumbe mfupi ambao wasikilizaji walituma BBC leo saa 12:30 jioni. Sikuhesabu idadi lakini takribani ujumbe 15 zilizohusu Chadema, ni ujumbe 2 tu ziliunga mkono maandano ya Chadema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani ukiwa kwenye harakati, jaribu kumuweka misus sehemu salama na kama ni mama; basi muweke bamsap sehemu tulivu maana baana ya kasheshe ndiye wa kukutuliza. Hawa polisi walivyomfakamia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yalo semwa na mkulu, nimeamini alikuwa ana manisha, wa TZ Ha2na budi kushukuru kwa wenzetu kufanywa mbuzi wa kafara. Mwenyezi mungu azilaze mahali pema roho za walio katishwa uhai wao Arusha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zilizotufikia hivi punde viongozi wa chadema wameachiwa na wafuasi wote wa chadema waliokuwa wameshikiliwa pia. Source nimewasiliana na mbunge Grace kiwelu
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Mkakati wa Kusaidia WanaArusha . Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na Viongozi wao ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa matangazo ya RFA hivi punde... mgombea wa Chadema amepata kura 17 wakati wa CCM amepata kura 15 (sikuweza kuyakariri majina yao haraklaharaka) sasa hivi wanachagua naibu meya
0 Reactions
131 Replies
10K Views
Inakuwaje mtunga sheria ambaye ni muhimili wa nguzo ya serikali anawekwa kolokoloni. Kitendo cha kuwaweka wabunge kolokoloni ni lazima kilaaniwe na hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kukamatwa kwa wabunge wake Je ANNA MAkinda atatoa tamko kulaani police na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJF, Naomba wanasheria mtuelimishe na naomba sana tena sana muache ushabiki katika jambo hili. Hivi chama cha siasa au wananchi wanapotaka kuandamana, wanaenda polisi kuomba kibali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
msikilize Dr. Slaa katika matangazo haya Jioni 01/05/2011. Ingia hapa Swahili Main media player | Sauti | Swahili Utakapo click hiyo tarehe unasikia anazungumzia kuhusu makubaliano ya CHADEMA na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeangalia kwenye habari ya itv usiku huu,waziri ngeleja amesema selikali itawalipa dowans hela wanayotudai. Na pia kataja wanashare wa dowans tz ltd na pia majina ya wakurugenzi wa dowans ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nazani Kama Hatuna macho ya kuona au kama Hatuna masikio ya kusikia, Basi Tutazame Historia, Tuone Historia inatukumbusha nini? Daima Tukiangalia Historia tutaona kwamba UDHALIMU au NGUVU au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu Nyerere aondoke madarakani, viongozi wetu waliomfuata wamekuwa hawana uchungu na nchi yao. Mwinyi alifungua kopo kwa kusema kila mtu ruksa kula mezani kwake. Baad ya mwinyi akaja mkapa na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
*Asisitiza anahusika na Dowans, aahidi kutoboa siri KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa, sasa amekuja na hoja mpya ya kumtaka Rais Jakaya Kikwete...
1 Reactions
101 Replies
9K Views
Kitendo cha IGP Said Mwema kuruhusu matumizi makubwa ya nguvu zidi ya maandamano ya amani mjini Arusha hakiwezi kupita bila kulaaniwa na sisi wanamageuzi. CHADEMA alikuwa na kibali cha kufanya...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
ni uhuni wa serikali.ukosefu wa utu,haiwajali tena raia,imepoteza mwelekeo,inatumia nguvu hata pasipostahili,hivi huyo kikwete yupo mafichoni wapi?hayo yote ina maana anajifanya hayasikiii?damn...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Back
Top Bottom