Wazee, yanayotokea mitaa ya mji wa Arusha yalitabiriwa wiki iliyopita katika gazeti la Rais Mwema.
Ebu tembelea hapa: Ubabe ukizoeleka utazaa usugu wa Taifa
Je hawa ipp hawajui kuwa huyu Bwana alijiuzuru sio kustaafu na Hapo chini pekundu huyu jamaa alikuwa ana maanisha nini?
Madiwani, wabunge badilisheni maisha ya wananchi-Lowassa
Na Cynthia...
Ninaliita wimbi la ukombozi. Wimbi litakaloleta uhuru wa kweli Tanzania kutoka kwa ukoloni mambo-leo unaoongozwa na wakoloni weusi a.k.a. mafisadi, walafi, wezi, ma$%^&***(!!!
Bravo Chadema!!!
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ametetea kauli yake ya hivi karibuni iliyotaka Katiba iliyopo ifanyiwe marekebisho badala ya kuandikwa upya na kusema, yalikuwa ni maoni yake binafsi...
jk alitumia tuu umafia kuwatawala waTZ au ana sifa za uongozi? Mbona hana umakini ktk mambo mengi?je yupo kwa ajili ya wa tz wote au kwa maslahi ya mafisadi?je ana huruma kweli na maskini?mbona...
Mussa Mwangoka, Sumbawanga
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameliangukia Kanisa Katoliki nchini, akiomba radhi kutokana kashfa zilizotolewa kwa kanisa hilo wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Tanzania, aka mtoto wa mkulima huko Sumbawanga alipokuwa analiomba radhi kanisa kuhusu kashfa ya udhalilishaji wa imani, ametamka wazi kuwa kugawa kanga kipindi cha...
Uvumi toka jikoni unasema kwamba Kigogo anayetaka kiti 2015 (Simtajia) anataka kuimarisha nguvu zake ndani ya chama kupitia UVCCM. Na kitu cha maana na cha kwanza ni kuwa nguvu ndani ya Kamati kuu...
Doing Business 2010: A record in business regulation reform
Since 2004 Doing Business has been tracking regulatory reforms aimed at improving the ease of doing business. Despite the challenges...
wana JF natumaini nyie ni wazima wa afya na wenye uchungu na nchi yenu dhidi ya mkoloni mweusi.
Wana JF swala sio ni nani atayetakiwa kulipwa hizo mabilion ila cha muhimu tunachotakiwa ni...
Nimejaribu kupata maoni ya ya wadau, wapenda nchi hasa Vijana wazalendo wa nchi hii wametoa kauli kuwa 2015 wataiondoa CCM kwa kutumia njia ambazo viongozi na mafisadi wengi wa nchi hii wanaitumia...
inasemekana jimbo la tarime liliuzwa kwa shilingi milioni tano na aliye pewa rushwa hyo alikuwa ni wakala wa chadema ambaye mke wake alipigwa chini kwenye kura za maoni ubunge viti maalumu...
Watanzania!
1992 watu walitoka UT na kuanzisha vyama vya siasa ili kukidhi matakwa ya wafadhili. Na baadhi wakatoka TANU nope CCM kuanzisha ama kujiunga na vyama hivyo. Kikubwa hapa ni kwamba...
Hello
Wakati mapambano ya kudai uhuru wa kweli yakiendelea katika namna tofauti tofauti, hasa ukizingatia kwamba leo kule Arusha Chadema wameamua kuchukua hatua nyingine zaidi katika mapambano...
...Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kwamba, "IKULU NI MAHALA PATAKATIFU". Wapo watu walimuona Mwalimu Nyerere kama amekosea kusema vile...nadhani ilikuwapo haja ya kujiuliza: KWA NINI...
Kama mnakumbuka vizur wakati wa campain moja ya mambo aliyokua akitaka kuyafanya Dr endapo angechaguliwa kuwa Rais ni kufanya mchakato wa kuandika katiba mpya ndani ya siku 100 ambao sasa ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.