Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wadau, naomba mnisaidie kujua jinsi fixed charge ambayo Tanesco walikuwa wakilipa kwa Richmond/Dowans. Kuna uwezekano mkubwa Dowans/Richmond hawakutaja thamani sahihi ya uwekezaji wao ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADA ya Mamlaka ya Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) kuvunja mkataba na Kampuni ya Udalali ya Majembe Auction Mart, imesema shughuli zote za ukaguzi wa magari na leseni watazifanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Probably, I don't get it right. Is Professor Tibaijuka still thinking of uniting women of Tanzania? One of my friend warned me "Never advise your children to drop history, other subjects might be...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Heri ya mwaka mpya wana JF. Leo nimekwenda kwenye ofisi ya serikali ya mtaa maeneo ya Kunduchi ili nijaziwe form kama mwana mtaa za kuombea Tin Number TRA, cha kushangaza nikaambiwa nitoe sh 5000...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni miezi miwili imepita tangu Rais achaguliwe ila yaliyofanyika ni machungu kwa wapiga kura kwani yamekuwa kinyume kama ifuatavyo 1. Kupanda bei ya bidhaa mf gesi na mafuta, na umeme 2. Kashfa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kitendo cha rais Kikwete kukubali issue ya katiba mpya inaonesha wazi huwa anafanya kazi kwa shinikizo au kishabiki. Hii inatokana na ukweli kuwa hoja ya katiba mpya ilianzishwa na CHADEMA, na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wachimbaji wadogo wa madini ya almasi katika mikoa ya Shinyanga na Mwanza wamefichua siri ya jinsi wanunuzi wanaoingia nchini kutoka nje wanavyoshiriki kuliibia taifa mabilioni ya fedha kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar THE ARTICLES OF UNION between THE REPUBLIC OF TANGANYIKA AND THE PEOPLES' REPUBLIC OF ZANZIBAR WHEREAS the Governments of the Republic of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni mara nyingi nimesikia hata hapa JF kwamba JK ni mtu wa visasi. Kama ni kweli miye naamini sasa ndiyo tutakoma. Kwa kuwa hatukuwapigia kura jamaa na mafisadi ndiyo watatukomoa kwa hali ngumu ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Njaa mbaya kilichotokea jana uwanja wa Taifa wakati mechi ya fainali kati ya Tanganyika na Ivory Coast kinachekesha au CCM iliamua kututhibitishia kivitendo kwamba they mean bussiness. Kituko...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Kikwete ndiye anayeeneza na kusambaza chuki za kidini. Amekuwa akibagua watu na kuwatenga kati ya wakristo na waislamu. Moto umekuwa ukipamba kila kukicha. Mpasuko unaongezeka. Kuna baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau Zitto Kabwe na Julius Mtatiro wana nafasi zinazofanana ndani ya vyama vyao wote ni manaibu katibu wakuu Tanzania bara.Lakini kwa siku za karibuni Julius Mtatiro anaonekana kuwa msaada mkubwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu kitaa siku moja niliibukia mitaa ya Kimanga. Shule ya Msingi (ambapo kimsingi ziko mbili ... Kimanga na Tumaini). Nikakumbana na bango la kwanza ambapo ilinilazimu nipige...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Heri ya mwaka mpya wana JF. Uzoefu wetu katika siasa unaonyesha kuwa viongozi wengi wa nchi ambao walikuwa wanajeshi huwa hawana mafanikio ya maana. Nchi nyingi zilizotawaliwa na askari au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wengi wetu hatupendi udini wala ukabila. leo hii ukiulizia jamani igp ni dini gani, utaitwa mdini, sasa kwanini polisi lazima uandike dini na kabila lako? huo si udini?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku wala tarehe hatujulishwa kuwa Dowans wamekwisha lipwa 'vijisenti' jamani. Hii tayari imeshakula upande wetu walipa kodi. Mungu liokoe hili Taifa la Nyerere.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Salma Kikwete 2. Anna Mkapa 3. Sitti Mwinyi 4. Maria Nyerere
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kila mtu anayefuatilia masuala ya siasa za kimataifa anajua jinsi "NEOCONS" chini ya second Bush walivyofanya uharibifu mkubwa sio tu katila uchumi wa nchi yao bali hata katika siasa za...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Salaam wana JF.. Kila mwenye akili timamu,awe shabiki,mfurukutwa au mpinzani,au asiye na chama chochote cha siasa, anamtazamo wakati wa hali za vyama vya siasa tulivyonavyo na uhai wake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lusekeko: Kikwete avutia pumzi suala la Dowans na Betty Kangonga MCHUNGAJI wa Kanisa la GRC Ubungo Kibangu, Dar es...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom