Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
4 burnt to death in a house December 28,2010 MANZINI – A heart-wrenching tragedy unfolded on Christmas day as a family was attacked by an arsonist who locked them in before setting their house...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mradi wa kufua umeme kwa upepo unaokazaniwa kuuziwa Tanesco inasemekana ni wa jamaa yule yule wa Six Telecoms. Wakati huo huo vigogo hao walio karibu na rais wakikazana kuiuzia TANESCO umeme wa...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wapo wapi mashujaa na viongozi waliosoma Ilboru special school pale Arusha? inauma sana shule hii inavyozidi kuporomoka kitaaluma just imagine mpaka leo wanafunzi wa ilboru hawajaanza kujifunza...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kamanda Kova anasema Cuf "hawana sababu ya kuandamana". Hii ni sababau zaidi ya kudai katiba mpya. Kova (Kamanda), anakuwaje na madaraka ya kuamua watu wana sababu au hawana sababu ya kuandamana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf, haya matukio sitoweza kuyasahau: 1.wafanyakazi wakataa kumualika Rais kwenye mei mosi. 2.kikwete awaita wafanyakazi mbayuwayu lakini baadae aliufyata na kuwaongeza mshahara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mradi wa kufua umeme kwa upepo unaokazaniwa kuuziwa Tanesco inasemekana ni wa jamaa yule yule wa Six Telecoms. Wakati huo huo vigogo hao walio karibu na rais wakikazana kuiuzia TANESCO umeme wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vyanzo vya habari kadhaa vyaarifu kuwa risasi za moto na mabomu zimetumika katika kutawanya maandamano ya CUF mitaa ya Buguruni hali haikuwa shwari asubuhi hii.
0 Reactions
67 Replies
6K Views
"KATIKA NCHI HII HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUSHINDA UCHAGUZI KWA KURA ZA WAISLAM PEKEE AU WAKRISTO PEKEE" Hii ni kauli maridhawa ya Mh Mbowe. Nawaombeni ndugu zanguni, TUISHI BILA KUBAGUANA KIDINI...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nijuavyo mimi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni mshauri; na kama mshauri yeyote yule, serikali ina uhuru wa kukubali ushauri wake au kuukataa. Katika hali hiyo, kitendo cha mh. Werema kutangaza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Utawala wa mkap mgogoro wa zanzibar ulishika kasi. maneno ya vijembe dharau vilienea kutoka kiongozi mkuu. Nakumbuka nilimsikia mkapa akisema hata wakija wageni ccm haikubali kuiinagukia Cuf...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
We are hereby directing Chadema to help Tanzanians to protest against the intended unjustified payment of fake Company called Dowans which inherited another fake contract between Richmond and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tukiwa Kikoboga Camp, Mikumi, jana na leo nimepata bahati ya kuongea kwa karibu na Dr Willibrod Slaa, Katibu Mkuu ( CHADEMA). Leo kabla ya mlo wa mchana tuliongea kwa kirefu. Mazungumzo...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Chuo Kikuu cha Dar es salam nao karibu wataanza mgomo, kisa bodi ya mikopo kuwacheleweshea stahili zao za kujikimu chuoni. Hivi hii bodi ya mikopo nayo ni dili la wakubwa? Hivi hawaoni kama ndio...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
NIME QUOTE TOKA KWA HOUSEBOY: Hivi mbona katika jamii forum watu wengi mnawasakama sana Kikwete na Mwinyi tu,katika kila kitu,mbona hoja mnazoleta hazina hata miguu,kuna ushaidi wa hili?au...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Charityboy ni mwanajamvimwenzetu ambaye anafuatia kwa malaria sugu kwa kuandika vitu vingi vya aidha kuunga mkono hoja au kupinga hoja bila sababu za kufanya hivyo. Leo hii, Charityboy ameandika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wafuasi wa CUF wanaandamana toka makao yao makuu kuelekea Wizara ya Sheria na Katiba kudai katiba mpya. Hata hivyo polisi wanajitahidi kuwazuia.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kawaida, ukiacha taaluma yako na kuingiza uhuni kwenye kazi ujue mwisho wako ni wa aibu tu. Haingii akilini tasisi kama Synovate kukosa Tzs.75M wakati inapata support ya michango kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba kushare kidogo nilichokikuta jana huko UKONGA.Nilikuta watu kama 40 ambao walikuwa wanafanya kazi ya kupiga tofali, hakika nilishangaa walivyokuwa wakijadili mambo ya siasa.Hakika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inside Africa – CNN kuzungumzia Zanzibar Kuna matangazo ya CNN kwenye kipindi cha Inside Africa watakuwa na program maalum na Zanzibar siku ya Jumanne.Kipindi hicho kwa mujibu wa tovuti ya CNN...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHADEMA yampongeza Jaji Chande Na Mwandishi wetu SIKU moja baada ya uteuzi wa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania, Mohamed Chande, kisha kuapishwa jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom