President Kikwete and Ambassador Carlton Masters re-open Mount Meru Hotel
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete cuts the tape to officially re-open Mount Meru Hotel in Arusha yesterday evening...
Ndugu Maggid,
Ulikuwa unatuletea kisa cha mauaji ya mkuu wa mkoa wa Iringa miaka ya sabini Dk.Klerruu mara ghafla jiii, vipi umeambiwa inahatarisha usalama wa nchi?. Kama vipi endelea basi.
Nilikuwa miongoni wa waliolaumu uamuzi wale wabunge waCDM kususa hotuba, Niliainisha kwenye moja ya posting zangu kuwa (hapa nanukuu) Madai ya KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI YA MSINGI...
'MANDUMILAKUWILI' TAMBUENI TANZANIA KUMEKUCHA!!!
Kweli nakubali, huu ni uchambuzi MAKINI SANA na wenye kuchokoza zaidi FIKRA za kiundani zaidi za kila mmoja wetu.
Na hata kwa MANDUMILAKUWILI...
Baada ya uchaguzi wa mwaka huu Chama Cha Chadema kimetokea kuwa chama mashuhuri kati ya vyama vya upinzani dhidi ya CCM. Si ajabu kuona kuna mikakati ya kukisambaratisha.
Tunahitaji chama...
Kutokana na msongamano wa magari ulivyo Dar es Salaam na utendaji wa Serikali ulivyo, hali ya foleni hapa Dar haitakaa iwe na nafuu yoyote ile. Yangu macho. Wakiweza kumaliza tatizo la foleni...
Udini unaweza kutafsiriwa tofatuti Tanzania
Kwa Waisalamu: Udini Ni ile hali ya Serikali kuewapendelea wakristo katika nyanja za Uongozi, Huduma za kijamii, na Fursa za kiuchumi, ilihali...
JAMANI WANAJAMVI NILIKUWA NAPITIA KITABU CHA NYERERE CHA UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA NIMEONA NI VEMA NINUKUU
"...Nilisema awali kwamba kansa ya uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
CCM shines at elections of mayors
By DAILY NEWS Reporters, 17th December 2010 @ 11:33, Total Comments: 0, Hits: 73
WHILE the Ruling Party Chama cha Mapinduzi (CCM) has won most mayoral seats in...
Wandugu,
Kama ilivyo ada yangu kuyapitia magazeti ya bongo, nimekutana na hii habari ya Mhe. Nyalandu, Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko akimpongeza ndugu John Nduguru mfanyabiashara wa KiTz...
Idd Azan amethibitisha namna CCM imajaa wabunge vihiyo.
Majira, Gazeti Huru la Kila Siku, inaripoti kuwa katika maeneo fulani Jijini Dar Es Salaam Mbunge wa Kinindoni, Idd Azan alikutana na...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jaji kiongozi Ndg. Fakhih Jundu jumla ya Tshs 2bn zitatumika kwa ajili ya kusikiliza kesi 43 za kupinga matokeo ya ubunge katika uchaguzi mkuu.
Hizi ni pesa...
CUF kuweka mambo hadharani leo Friday, 17 December 2010 09:19 Na Waandishi Wetu, jijini
CHAMA Cha Wananchi (CUF) leo kinatarajia kuweka mambo hadharani katika viwanja vya Temeke mwisho ambapo pia...
A Free and fair election that we ought to struggle for: A response to Mwanakijiji.
Dear Mwanakijiji,
I read your article, that requested CHADEMA to unconditional apologize for their...
Wanajamvi
Kuna tatizo kubwa serikali yetu kuingia mikataba inayolinda maslai ya watanzania
Baada ya kunagalia documentary moja ya kipindi cha wanyama pori walioko zoo moja huko ulaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.