Wadau baada ya kufuatilia kwa karibu kabisa elimu ya mwenyeki wa cdm mbowe bila mafanikio, ningependa kujua cv ya makamo wake bara mh arfi hasa upande wa elimu ili kuondoa dhana kuwa cdm...
Kwa mara ya kwanza ktk historia ya nchi yetu, suala la udini limewekwa hadharani na kiongozi wa nchi baada ya kuwa limetumiwa na chama chake kumdhibiti Prof. Lipumba mwaka 2000 na mwaka huu...
Nimekuwa nifuatilia sana mijadala ya baadhi ya wanaJF kuhusu hatima ya Chadema na upinzani kwa ujumla. Wako ambao wamekuwa wakiona kuwa CDM itaanguka na hasa baada ya kukataa kuwashirikisha Cuf na...
Kuanzia 1995, kumekuwa na juhudi zisizozaa matunda za vyama vya upinzani kuwacha tafauti zao na kuungana. Ki mtazamo wangu, kuna mirengo miwili mikuu ya kisiasa: Mrengo wa kulia unaowakilisha...
CCM Walitueleza Watanzania Tushikane Mikono na Wao Kutafuta Mapinduzi ya Ukoloni. Sasa Mapinduzi Mengine Wameyaleta Baada ya Mkuloni Kuondoka:
Kuongeza Mafisadi Tanzania
Kuongezeka Kwa Rushwa...
The Citizen (Dar*es*Salaam)
Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe
26 August 2009
?
Youthful Kigoma North MP Zitto Kabwe yesterday declared that he has decided to wrest the...
Tanzania imefikia wakati hatuwezi kutegemea wasomi au viongozi kwa kuendeleza nchi yetu bali mungu tu!. Ukiangalia vizuri
(1) Kilimo kinategemea mvua ambayo inabidi tumuombe mungu kwasababu hakuna...
Ni jambo la kushangaza sana kuona gazeti la Uhuru likiandika habari za matukio yasiyo sahii, hii inaonyesha kukurupuka na kutokuwa makini na utendaji wake, Jana Gazeti hili liliandika habari...
Makamu wetu wa rais ameondoka kwenda Ulaya kwenda kufanyiwa check up ikiwa ni kama mwezi tu tokea apate madaraka hayo.
Inaelekea tumechagua makamu mgonjwa na sasa inakula kwetu.
Inasemekana...
Akizunguzia suala lililozua mjadala la uchaguzi mkuu, Dk Slaa alisema kamati kuu ilipokea taarifa ya matokea ya urais kujadili na kukubaliana kuwa matokeo yaliyompa ushindi Rais Jakaya Kikwete...
Sina uhakika sensa ya kuhesabu watu hapa kwetu Tanzania ni lini tena. Ila napenda nitoe ushauri wangu wakati ikifika watumie utaratibu ufuatao ambao utatumia muda mfupi na pesa kidogo. Mtanisamehe...
Katika hafla ya kumtunuku Dr Slaa tuzo ya maji maji inayotolewa kila miaka 5 na Kituo cha sheria na haki za binadamu Dr Shirvi ametoa mada kuhusu haki za binadamu na utawala bora iliyokoga nyoyo...
Mgombea wa uenyekiti wa Baraza la Madiwani la Halmshauri la wilaya ya Hanang mkoani Manyara kwa tiketi ya Chadema, Peter Lori, ametamba na kutabiri kuwa kwa mara ya kwanza halmashauri hiyo sasa...
Mimi kama mtu ninayeamini nchi haiwezi kufika popote bila upinzani wa kweli Ninaomba Chadema iendelee kufanya mambo iliyoyafanya (with less MPS) hadi kukua kwa kasi kwa muda mfupi na iendelee...
MARA nyingi tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni au viwanda wakiingia katika migomo na migogoro kutokana na madai ya kutaka kuboreshewa haki zao mishahara ikiwemo.
Migomo hiyo...
JANA katika gazeti hili kulikuwa na habari zinazowaelezea wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuanza kutekeleza mikakati yao.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika...
Natoa angalizo kwa Chadema. Mmetumia muda mrefu sana katika kukijenga Chama mpaka kufikia hapa kilipo. Sasa hivi ndio chama kikuu cha upinzani kinacho ongoza kwa wanachama wengi nchini, matawi...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kupima mwenyewe kama aendelee na wadhifa wake wa naibu kiongozi wa upinzani bungeni baada ya wabunge...
Nadhani humu ndani JF kuna viongozi wa chadema. Kampeni zilizopita zimeleta hamasa sana kwa wa TZ. Mimi nakaa Kinyerezi watu wanauliza kadi wapate wapi, ofisi ya chama ipo wapi? Nadhani chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.