Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jana usiku nilistuka sana wakati nilipokuwa naangalia kipindi cha habari caha usiku TBC 1, kuna habari moja ilikuwa ya kusikitisha ya mauaji iliyotekea Vunjo moshi. Wanahabari walielezea kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KANISA Katoliki Parokia ya Familia Takatifu Jimbo la Sumbawanga, limegoma kuendesha ibada ya maziko kwa marehemu wawili wakidai ibada haitaendelea mpaka pale waumini ambao ni wanachama wa Chama...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Waziri wa Afya Mh. Mponda (Mb) wa kwanza kushoto mwenye suti nyeusi akitembezwa kuangalia huduma za afya katika hospitali kubwa kuliko zote na ya kisasa ya Muhimbili Dar-es-Salaam. Hapo tunaona...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Waziri 'ajitundika' ATCL Imeandikwa na Lucy Lyatuu; Tarehe: 8th December 2010 @ 06:11 Imesomwa na watu: 52; WAZIRI wa Uchukuzi, Omar Nundu amesema, anakusudia kuiwezesha Kampuni ya Ndege...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaaam kwenu enyi wana JF, Binafsi nafuatilia walau kwa kila hatua kile kinachoendelea ndani ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA M AENDELEO. Pengine ninashawishika kuandika mengi juu ya mambo...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Mambo muhimu ya chadema kujifunza kwa haraka Ushauri wa bure kwa CDM: -Zitto ni world player, wamuheshimu tena wamuombe radhi. -Wawe makini na MBOWE, huenda akawa shushushu (pandikizi la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Zitto njia panda Send to a friend Monday, 13 December 2010 23:40 0diggsdigg Geofrey Nyang’oro CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nani anaifahamu NCCR ya 1995 iliyokuwa na wabunge karibu ishirini ilikoishia?? Mnamkumbuka Masumbuko Lamwai? Lyatonga Mrema NCCR-TLP Mabere Marando NCCR-CDM Kilichotokea Raskazone TANGA-mahali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, hivi mameya wanatakiwa wawe wamechaguliwa by lini? Maana naona hapa napo pana kazi! CCM zengwe haliishi, hadi kwenye chakula cha mgonjwa...mh, Rorya....
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Diwani, mwenyekiti wilaya wajiuzulu Sasa wafikia watatu, kisa uenyekiti Mchakato wa kuwapata mameya, manaibu mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kipindi cha kwanza sisi 1 wao 0
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nyumba ya mwenyekiti yachomwa Mke wake na mtoto wafia ndani Ni uasi kupinga Operesheni ya Mrema Operesheni ya kusaka wahalifu iliyoanzishwa na Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema, jimboni mwake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu.... Kuna swali linanitatiza sana mimi kama mpiga kura... naamini kabisa si kama kuna kura iliyobiwa basi ni yangu au yako Au mimi ni chama?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huku wenzenu wanapora madini. Wanasainishana mikataba feki. Wanafilisi mashirika. Wanalipana malipo hewa. Wanafanya magendo. Wanakwepa ushuru Mmekalia Chadema. Hamuwezi kujadili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ushauri wa bure kwa CDM: -Zitto ni world player, wamuheshimu tena wamuombe radhi. -Wawe makini na MBOWE, huenda akawa shushushu (pandikizi la serikali) -Wabunge wake wasitafute sifa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NSSF, PPF NA WENGINE WANADHULUMU WANACHAMA WAO Taasisi nilizozitaja huwa sizitofautishi sana na mtu uliyempa kazi ya kukusanyia pango ya nyumba yako na akutunzie pesa zako lakini pia utampatia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nakumbuka kuliwahi kuwepo na nishani za Uhuru, Nishani ya Utumishi wa Muda Mrefu, Nishani ya Utumishi Uliotukuka, Nishani ya Vita ya Kagera, Nishani ya Kilimanjaro (the highest civilian medal) n.k...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo Wananchi Tukiangalia Makosa na Uhaini CCM Imeifanyia Tanzania, Tutaona Hata Mara Moja Viongozi wa CCM Hawatoi Msamaha Wala Kukubali Wamewaumiza Wananchi Wao. Tukianzia Rushwa, Umaskini na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mnakumbuka UKUTI UKUTI WA MNAZI WA MNAZI WA .... WA..... TUMPELEKE MNAZI MMOJA TUMPELEKE MNAZI MMOJA HAPO MNAZUNGUKA MPAKA KIZUNGUZUNGU YAANI KAMA NAMWONA HUYU WAZIRI ANAVYOANZA KUIMBA NA KUANZA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom