Tajiri wa kiatabu ambaye ni brigadia mstaafu wa jeshi la omani bw suleiman mohammed yahya al andwi alisema alishawishiwa kuja tz na rostam azizi. Tajiri huyu alikuwa na hisa vodacom akiwa na...
Mnyika ajitolea mshahara wake Send to a friend Sunday, 12 December 2010 21:14 0diggsdigg
Geofrey Nyangoro
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika, ametoa asilimia 40 ya mshahara wake kwa...
nimepata tetesi kuwa nahodha anaandaliwa kuwa rais wa jamuhuri 2015.
sababu ni kuwa CCM wanataka kuokoa makundi yatakayoweza kujitokeza kutokana na mchakato.
hii inatokana na watu wawili...
Nileongea na padri mmoja huko Sumbawanga kuhusu suala la waamini waliotengwa. Alinieleza kosa lililofanywa na waamini hao lilikuwa kushabikia suala la Utatu Mtakatifu kutumika katika kufananisha...
CHADEMA yaiponza CCM
na Christopher Nyenyembe, Mbeya
USHINDI mkubwa na wa kimbunga uliolikumba jimbo la Mbeya Mjini na kupoteza kiti cha ubunge na viti vingi vya udiwani vilivyokuwa...
Wanajamii,
What areas to consider when doing a 'self apraisal' katika kazi tofauti tufanyazo,
Najua huu ni ulingo wa great thinkers hivyo naomba tubadilishane UZOEFU katika hili.
Naomba...
Hii serikali ya mseto ya aina yake ya Ivory Coast imechelewa sana kuja. Ulikuwa uwe mfano mzuri sana wa kuigwa na Tanzania, kwa kuwa sisi ni mahiri kwa hilo. Kama tulivyoweka serekali ya mseto...
kwa kweli kila nikijaribu kujiuliza hii sera ya udiwani wa viti maalum nashindwa kuelewa mchango wake ni nini, ukizingatia kila jimbo linatoa madiwani wa viti maalum ambao sio chini ya kumi.
hivi...
Nikiwa kama mtanzania wa kawaida ambae ninaipenda nchi yangu,sina budi nikitoa maoni yangu.
Nimejaribu kufatilia sana siasa za Tanzania tokea uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995 kipindi cha...
Ndugu wana JF,
Nimesikitishwa sana na habari kuwa jumba la sanaa limehamishwa ili kupisha ujenzi wa gorofa ya kigogo mmoja ambaye alishawahi kuwa waziri mkuu. Jumba hili ni la muhimu sana na lipo...
kwa wale wafuatiliaji na ambao wangependa kujua kuhusu hii kesi, Itaanza kusikilizwa february 3, 2011 katika mahakama kuu hapa Dar es Salaam.
Taarifa hiyo ilitolewa jana katika viwanja vya...
na Neema Kishebuka, Tanga
MBUNGE wa Viti Maalumu, Amina Mwindau (CUF), amemwaga machozi, baada ya kuelezwa changamoto zinazowakabili watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Ansaar Muslim...
Ofisa usalama adaiwa kuingilia uchaguzi
Na Patrick Mabula, Chato
MADIWANI wateule wa Hamashauri ya Wilaya ya Chato wamemtuhumu Ofisa Usalama wa Taifa wa Wilayani hiyo, Bw. Cusbert...
Seven theories to achieve;
-History of our nation doesnt teach fatalism.There are moments when the will of a free men breaks through determinism and opens up new roads.
-We have enjoyed so much...
Watanzania,kumbuka kila mtu ana imani yake. Baada ya kufuatilia mgogoro wa wafuasi wa ccm Sumbawanga kusadikiwa kuwekewa vikwazo katika sakramenti mbalimbali,nimeshangazwa sana na kauli inayodaiwa...
Habari ndugu zangu wana JF?ama baada ya salam ninapenda kuuweka jamvini utata nilionao kuhusu bwana Sumaye Waziri mkuu mstafu wa serikali ya awamu ya tatu,mwaka 2005,alikua ni mwiba kwa kikwete...
Hii nieiona kwenye Face Book page ya rafiki yangu wa kwenye face book
Kweli wazee huona mbali, Hongereni wazee wa CHDM, Zitto angekuwa Mwenyekiti wa Chadema leo hii CHDM kingekuwa wapi? tujadili...
Katka mfumo wa chama kimoja and backwards wakulima na wafanyakazi ni makundi makubwa yaliyotetewa na chama tawala.
Kwenye bendera ya ccm kuna jembe na nyundo ikiwa ni alama ya jembe kwa mkulima...
In Tanzania today, air-tickets, school fees, hotel accommodation, automobiles, import duty, merchandise and even rent within affluent parts of the country is being priced and paid in United States...
Leo asubuhi wakati wa kipindi cha udondozi wa magazeti, Tom Chilala alijitokeza ghafla na kukatiza habari aliyokuwa akisoma mfanyakazi mwenzake, kutoka kwenye gazeti la Mzalendo. Habari hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.