Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wadau: Ni kweli asemayo huyu mjamaa, kwamba ana majukumu mengi? Kufuatana na katiba iliyorekebishwa, majukumu yake ni kiduchu sana – vipi ataelemewa? Ama anaanza kupora majukumu ya wengine? CCM...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
We might think as Tanzanians we are the only ones who found the just ended general elections as a joke if not an insult to our intelligency. Members of the international community who wish...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
:behindsofa: Ofisi ya bunge ni sehemu ya ofisi za serikali katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mbunge ni mmoja kati ya wachaguliwa na wananchi wanaofanya shughuli za Baraza kuu la kutunga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu wangwe ameukwaa umakamo wa chadema. anasema matumizi ya helikopta hayana faida na mkuu wa nyumba mbowe asema itatumika mambo hayo wakuu. nn next?
0 Reactions
1K Replies
125K Views
Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+ Nitaendelea kuwajuza
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wadau Natambua umuhimu wa Tume huru , lakini sijafahamu mambo haya labda ninaweza kupata mawazo yenu: 1. Ni namna gani unaweza fanya Chama Tawala kisiwe na influence kwa Tume ya Uchaguzi? kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo kimetunuku Medali ya heshima na ujasili Mzee sabodo kwa kukichangia chama hicho waziwazi. Pia ameahidi kukichangia tena chama hicho Milioni 150. ITV.
0 Reactions
44 Replies
4K Views
I have been thinking why these political leaders in Africa are so greedy???!! Many of them like things that are unnecessary and too much luxury everytime... Hapa Tanzania Kwetu ni hatari kabisa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Pamoja na ukweli gazeti la Uhuru siyo kipenzi cha wana-JF lakini ukweli unabaki palepale kuwa kwa vile lipo mtaani habari zake yapaswa kuripotiwa na kutathminiwa kwa manufaa ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
RIP Chadema Mimi nilisema kuwa chadema haitachukua miaka 2 sasa hivi wanaweza kujizika wenyewe Je nani atawasadia kuwafunika maana mlango umeishafunguliwa?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Inasikitisha kuona viongozi wengi wa vyama vya upinzani Afrika wanaamua kuungana na viongozi wa vyama tawala katika nchi mbalimbali Afrika eti kwa kisingizio cha kudumisha amani. Lengo la chama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chanzo: Free Thinking Unabii
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Vita umeya CCM moto Thursday, 09 December 2010 20:55 Ramadhan Semtawa na Raymond Kaminyoge KAMATI Kuu (CC) ya CCM leo itakutana kujadili majina ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wabunge 40 hatarini Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 10th December 2010 @ 23:59 LICHA ya kuapishwa na kuanza kuwatumikia wananchi, nafasi za wabunge 39 kati ya 239 walioibuka washindi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya CHADEMA kwamba wanataka kuanzisha chama cha maadili ya uogonzi nimeipokea kwa furaha kubwa na inaonyesha jinsi gani chama hiki kinayodhamira na mwelekeo sahihi. Huo ni ukomavu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ningekua mie ndiyo mr Mass ningefanya yafuatayo based kwa tabia yangu. 1. Ningeshahama CDM na kujiunga na CCM ili nipewe Cheo hasa uwaziri nijenge CV 2. Ningehamia NCCR kama Kafulila ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza napenda nianze kwa kusema sina neno na kuwa na wanasiasa ambao wamebobea kwenye taaluma zao. Natambua kwamba mtu hasomei siasa kwa hiyo mwanasiasa yoyote kazima atakuwa na taaluma fulani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa walioangalia protokali jana wakati wa siku kuu ya Uhuru waliona kuwa baada ya Rais na Makamu wake aliyefuatia kuingia au kutoka alikuwa ni Rais wa Zanzibar; ambaye naye alifuatiwa na Waziri...
0 Reactions
48 Replies
8K Views
Serikali yajiumbua yenyewe Na Saed Kubenea - Imechapwa 01 December 2010 UTATA umeghubika malipo ya mafao ya wabunge na mawaziri waliomaliza ngwe yao tarehe 1 Agosti 2010, MwanaHALISI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom