Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikimsikia namna bwana mdogo Kabwe anavyojitukuza kwa kutaka kujiona ni maarufu kuliko chama. Nadhani pamoja na mambo mengine kinachomuumiza zaidi ni kitendo cha...
Hii,tetesi kuwa kamati ya chama imetengua Uamuzi wa Wabunge wake ambao ni wakilishi wetu tuliowapa mamlaka ya kutuwakilisha na kutusemea ni wahatari kubwa na unataka kutuharibia Chama.
Napenda...
Nape azionya NGOs
Friday, 10 December 2010 20:58
Abdallah Bakari,
Masasi.
UONGOZI wa serikali katika Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara umesema hautasita...
Chadema msitetereke. Kama kuna mtu analeta usaliti ati kwa kisingizio yeye ni 'mbunge kijana machachari'. Ati yeye ni drogba anaweza sajiliwa na timu yoyote. Kama anaenda kinyume na sera na...
Nimemuona StaRtV.
Amepanda cheo. Sasa ni Naibu KM.
Usoni vp? Ameslim kwani?
KWani kuhamia CUF ni mpaka uslimu? Mbona ana dochi jeus usoni?
swala tano?
Afunikwa na kafulia. Kafulia...
Kuna habari zisizo rasmi kuwa mjomba mkulu...amegawa kama pipi nafasi 4 za ukuu wilaya kwa vijana wake/ndugu wa karibu watoto wa kijiweni wa king'oko...kama 4 hivi....majina yao Husein Mohamed na...
THE STATE OF POLITICS IN TANZANIA - THIRD QUARTER REPORT [2010]
PREPARED BY KONRAD ADENAUER STIFTUNG [KAS] TANZANIA COUNTRY OFFICE
I. INTRODUCTION
TANZANIA political...
Ndugu wana Jamii Forum,
Nimesikiliza kwa makini maudhui ya wimbo wa Mrisho Mpoto uliotoka hivi karibuni unaohusu ...Adela Nyoosha kidole... uliosheheni mashairi yenye mizani na ubra wa hali ya...
MWANAFALSAFA mmoja aliwahi kusema kuwa anao uwezo wa kuihamisha dunia hii na kuipeleka sehemu yoyote ile wanakotakiwa watu, isipokuwa akatoa sharti la kupatiwa eneo la kusimama nje ya hii dunia...
Nikiwa mmoja kati ya watu waliobahatika hii leo kufatilia mjadala wa KATIBA
kupitia luninga ya STAR TV,pamoja na mambo yote yaliyozungumzwa ikiwamo
katiba ni nini,maoni,na michango ya simu...
Wasaliti wote lazima kuzoma alama za nyakati.
Tanzania tunataka mabadiliko.ukombozi.
inashangza kuona wengine wanataka umaarufu. umarufu wa mtu binafzi hauwesi kuondoa matatizo yetu kama nchi...
Kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya Rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba Rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika...
Katika mahojiano na BBC Leo asubuhi, waziri mkuu wa Kenya amesema serikali ya umoja wa kitaifa siyo serikali iliyopatikana kidemokrasia. Amesema Ni serikali ya dharura inayotokana na kushindwa kwa...
Bado safari ni ndefu na itaendelea kuwa ndefu hasa tukiendelea na chama kile kile kilicho na sera zile zile na desturi, tamaduni, mazoea na taratibu zilezile zilizotufikisha hapa tulipo kwa karibu...
Wandugu naomba kufahamishwa, hivi rais anapokwenda nchi nyingine nae lazima awe na visa pamoja na msafara wake wote? Au yeye na msafara wake ni free entry? na ile diplomatic passport huwa...
VITA ya Uenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya imeacha makovu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya madiwani wake wawili, Ongujo Wakibara na Lukio Ambogo, kujivua udiwani kwa kile...
Wana JF,
Wakati serikali za wenzetu wa Magharibi zikichukua hatua ngumu za ki-state ili kurekebisha mgogoro uliopo na utakaokuja wa hali mbaya ya kiuchumi, sisi ni kama hatutumii mwanya huu...
Check this out.......
Highest mountain in Africa; Three Biggest Lakes in Africa; Plenty of rivers... and waterfalls; Minerals including Tanzanite (only found in Tanzania); Plenty of land which can...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.