Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Cuba ilikuwa inapata mafuta kutoka Soviet Union, baada ya Soviet Union Kuanguka Kukawa hakuna njia ya kupata mafuta. Hapo ikabidi Cuba itafute njia mbadala. Kuhusu shida ya Usafiri mabasi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Mzalendo huko Visiwani wanaona kuwa na Kanisa ni Sawa Sawa na kuwa na Bar na Clubs na wanaita ni Ukafiri. Sasa Huku Bara Tuna Utamaduni wetu na Dini Zetu, Kuna Msukuma ambaye ni Mkristo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu watanzania wapenda haki, leo nimepata tangazo ambalo liko katika gazeti la Tanzania Daima. Ndugu yetu, mbunge wa jimbo la Segerea ambaye kura zake zilichakachuliwa, Mh. Mpendazoe amekuombeni...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Leo Tumesikia Jinsi Gani Umoja wa Mataifa, UN na Umoja wa Afrika Magharibi Kutomtambua Mgombea Uraisi wa Ivory Coast, Gbagbo Baada ya Kujipa Uraisi Mwenyewe. Kitu cha Kushangaza Kikwete Hakupata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kweli kuna kiongozi yeyote mwenye sifa kama hizi? 1. Ana hofu ya MUNGU 2. Anaweka maslahi ya umma mbele kuliko yake ya binafsi au ya chama chake. 3. Mtetezi wa haki za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NIMEVUTIWA na kauli aliyoitoa Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta Waziri wa Afrika Mashariki ambaye mwanzoni mwa wiki hii aliripotiwa akisema kuwa kuilipa fidia ya Sh 185 bilioni kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RC atangaza kusaka Wazungu wazururaji mitaani na Neema Kishebuka, Tanga MKUU wa Mkoa wa Tanga, Meja Jenerali (mstaafu) Said Kalembo, amesema ataingia mitaani akishirikiana na Kamanda wa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
yaelekea huyu jamaa ndivyo anavyosema ingawa hatukumuelewa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaludewa wamenyimwa haki yao ya kikatiba ya kumchagua mbunge.Huyo Mbunge anayesemekana alipita bila kupingwa amewanyanganya Demokrasia WanaLudewa.Ndugu Manfred Peter Mtitu Kaza Buti katika Kesi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
….Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho hayo Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba alisema kuwa hatua ya CHADEMA kususa sherehe hizo ni kutokomaa kisiasa kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, wadau naomba mchango wenu.. Hivi vigezo gani vinatumika kuamua kwamba huyu aende shule ya vipaji maalumu na huyu aende shule ya kata..? Na kam...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Chadema ndiyo chama pekee Tanzania halafu kinafanya siasa za kistaarabu tofauti na vyama vingine vya upinzania vilivyopita. Hii inajidhihirisha kwa sabbu zifuatazo 1. Imekataa kuitambua serikali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mambo rais wetu amekuwa hayachukulii hatua zinazostahili dhidi ya wateule wake kwa wakati mwafaka kwa sababu ambazo sisi wananchi wa kawaida hatuzielewi so tafsiri ya haraka ya hali hii ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi wanajamii hivi huu ushindi wa kishindo ndiyo upi huo? Je ni wa kishindo kwa sababu alishinda kwa kura 61% au kwa mazingitra ya utata wa matokeo yaliyokuwa yanatangazwa na NEC? Nipi hapa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa Kikwete:- HIVI wewe RAIS wa Tanzania UNA uchungu kweli wa TAIFA lako la Tanzania?, Au wewe sio RAIA au Huna ASILI ya hata moja ya Tanzania? HUoni UCHUNGU jinsi MALI na Rasilimali za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sasa tujiulize katika ndoa tuliyofunga na CCM kwa miaka 50 sasa watoto hawa wawili tuliozaa(UMASIKINI na UFISADI) ndio watoto tutakaojivunia kwa miaka yote ya maisha yetu? Je ni mtoto gani atakaefata?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Uongozi Ndio Tatizo Inchini Kwetu. Historia ya Uongozi Bora Tanzania Haipo Upande wa CCM Kabisa. Tumeona Jinsi Gani Wanachukua Hizi Nafasi za Uongozi kwa Sherehe na Familia Zao Kufanya Mapati...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi wana jamii uchaguzi unaofuta wa mwaka 2015 utzkuaje?kwa sababu ccm na uchakachuaji kura wao wameipata freshi mwaka huu na pia chadema imeonesha msimamo wake wa kuipigania Tanzania itoke...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la Jumatano Dec 8 - Dec 14 kuna nukuu moja kwenye ukurasa wa 3 makala ya "Njama za Mafisadi Kuimaliza Tanesco" ambayo ningependa tuijadili na kuona hatma ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:car::car::car::car::car::car::car::car::car::car::car: HIVI KWELI HAWA VIONGOZI WANAFIKIRI VIZURI :A S 109: NIMETOKA KWANGU SAA 11.30 ALFAJIRI NAINGIA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom