Wiki iliyopita wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walifikisha ujumbe maalum kwa njia ya mabango kwa Waziri Mkuu kuwa wanalala nje. Hii ilitokea wakati Waziri Mkuu akishiriki katika ufunguzi...
Nilikuwa natafakari last time...jk angeweza kuwa raisi mwaka 1995 kama mwl. asingewazuia na kuwaambia kikwete na kundi lake kuwa bado hawajakomaa kua viongozi wa nchi...lakini je mustakabali wa...
Nimekumbuka mwaka 2005 ccm walikuja na kauli mbiu nzuri sana pengine nzuri kuliko zote zilizowahi kutokea nchini mwetu,watu wakalainika kwa kauli mbiu tu bila hata sera...tukaichagua kwa kishindo...
Lini hasa Mwanza itakuwa Calfonia kama ulivyoahidi mwaka 2005 wakati wa Kampeni jijini Mwanza. Natumaini pia bado unakumbuka ahadi yako ya mwaka huu ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai.
NIPO NAFATILIA SHEREHE ZA UHURU WA TANGANYIKA,ILA NIMEANGLIA ITV,MTANGAZAJI HUKO NAONA ANASEMA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA(japokuwa ni sawa,ila hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara)nimejaribu...
Nimezaliwa siku ya kuzaliwa chama cha mapinduzi CCM, lakini naona kama Mungu alifanya makosa kwangu mimi maana sasa ni miaka 33 lakini nazidi kuwa masikini tu, nazidi kuwa mnyonge na kila wakati...
49 years of fighting the three enemies
By Editor, The Guardian, Dar es Salaam, Tanzania
9th December 2010
Tanzania is today marking 49 years of Tanganyikas independence from colonial rule...
The oil giant Shell claimed it had inserted staff into all the main ministries of the Nigerian government, giving it access to politicians' every move in the oil-rich Niger Delta, according to...
Leo nimeshangazwa sana kudaiwa ada ya kupaki gari katika fukwe za kokobeach maeneo ya oysterbay. Mkusanya ada huyo ni mfanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya oysterbay guard. Baada ya kumhoji sana...
By: Petronel Smit
7th December 2010
JOHANNESBURG (miningweekly.com) – Exploration and development company Obtala Resources announced on Tuesday that it was among three bidders...
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.Kwanza sina budi kumshukuru Muumba kwa kunileta duniani tarehe 9 Desemba miaka thelathini na kitu iliyopita (30 plus yrs ago).Pili,nawashukuru wazazi wangu...
Vigogo kupigwa panga mikopo ya elimu ya juu
Wednesday, 08 December 2010 20:35
Waandishi Wetu
WAZIRI wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa...
Hakuna siri wala ubishi kwamba CHADEMA ndio chama cha upinzani cha ukweli kilichobaki na ndio tumaini la Watanzania wanyonge ambao ndio sehemu kubwa ya Watanzania katika kuwakomboa na hali mbaya...
Nadhani mnaendelea kufuatilia kwa makini jinsi gazeti la Guardian la Uingereza linavyozidi kutuhabarisha jinsi nyaraka za kibalozi za Marekani zinavyosema kuhusu nchi mbalimbali. Moja ya habari...
Wakati tukisheherekea uhuru, itakuwa sio vibaya tukichambua makala ya Erick Kabendera, iliyochapishwa kwenye tovuti ya African Arguments tarehe 23 Novemba, 2010.
Source: African Arguments » Blog...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.