Mkulo: Kilichoenda kwa wahisani si bajeti
Mwananchi, Wednesday, 08 December 2010
Raymond Kaminyoge
SIKU tatu baada ya Kundi la nchi wahisani wa maendeleo ambalo zinachangia kwenye bajeti ya...
Habari,
Utafiti uliopatikana hivi karibuni umefumbua yaliyofichwa... Wengi wamekuwa wakisikitika kwa CHADEMA kutoka bungeni bila kuwa na baraka za wananchi.. Mengi yameongelewa lakini wengi...
Gazeti La CCM Uhuru la leo linatuhabarisha ya kuwa Wenje ametimkia Dar akikimbia mkono mrefu wa dola ambayo inamsaka kwa kuhamasisha machinga kufanya vurugu endapo Chadema haitanyakua nafasi ya...
Ndugu Wanajamii!,
Kuna Wazungu Watatu wanaishi mjini Tanga,Ni raia wa Nchi za kigeni.Ni Wazungu ambao wamekuwa kero kwa Wakazi wengi wa Tanga.Inasemekana kuwa Wazungu hao ni...
Mpendazoe kuweka wazi masuala ya kesi yake dhidi ya Mahanga Jumamosi
Ndugu zangu wote katika JF, mmekuwa mnakumbuka kuwa nimekuwa nawafahamisha kuhusu kesi aliyofungua Mpendazoe dhidi ya Mahanga...
The Victory for Dr. Slaa depends on the high voters turn out. This is important because it will make it very hard to manipulate votes in one polling area, more votes less vote manipulation because...
Wednesday, 08 December 2010
NA PETER KATULANDA, GEITA
MKAZI wa Kasamwa wilayani Geita, Mussa Dotto, ambaye alitembea kwa baiskeli hadi Dar es Salaam, kumpongeza Rais Jakaya Kikwete, amerejea...
Shehe Yahya amtabiria JK ushindi 2010
Imeandikwa na Na Mwandishi Wetu; Tarehe: 23rd December 2009
MTABIRI maarufu wa Afrika Mashariki, Shehe Yahya Hussein ametabiri kuwa Rais Jakaya Kikwete...
Sitta amechemka - Wanasheria
Siku moja baada ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kutoa maoni yake kuhusu hukumu ya mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya...
Hivi hamjajiuliza hivi mheshimiwa sana bwana SK kwanini amebakiwa na habari moja tu kila wiki toka uchaguzi uishe?
Hivi bado hamjajiuliza mtu huyohuyo aliyekuwa akianika ufisadi mpaka akamwagiwa...
Wadau naomba kuuliza; hivi hii ni miaka 49 ya uhuru wa Tanzania au Tanganyika. Maana kwa uelewa wangu mdogo, Tanzania haijawahi kutawaliwa and therefore haijawahi kupata uhuru. Au ni kwamba baada...
Wandugu,
sifahamu hasa wamiliki wa JF na kwamba waliazisha wakikusudia nini.
Kwangu mimi ni dhairi kwamba JF imechangia sana katika kukuza demokrasia katika siasa na sera za Tz. Pia katika...
The UN Security Council has issued a statement saying that Ivory Coast opposition candidate Alassane Ouattara won the disputed presidential election.
The statement came after three...
Maana ya Rushwa ni matumizi mabaya ya ofisi ya UMMA kwa manufaa binafsi... Sasa simwellewi waziri anapodai kuwa watoto wa vigogo ndo wenye akili wakati tunajua fika wao ndio vilaza namba Moja hapa...
Wanabodi,
Leo 9 December tunaadhimisha miaka 49 ya Uhuru na miaka 48 ya Jamhuri ya Tanganyika.
Kwa wale wenzetu wenye access ya TV au walioko uwanjani sio mbaya wakichukua picha za matukio...
Leo Hii Wale Tunaoifuata Siasa ya Tanzania Tutaona Jinsi Gani Siri Zinaimaliza Inchi. Miaka Nenda Rudi Tanzania Inaongozwa na Kikundi cha Watu Wachache Sana. Hawa Mafisadi Ndio Wanaamua Waombe...
Ukiangalia Mikoa Iliyovunjwa ni ile yenye Uchumi Bora na Upinzani kwa CCM wakati Mkoa Wa Pwani, Lindi na Morogoro ni mikubwa lakini haijaendelea kama Mwanza, Shinyanga, Arusha, Mbeya kiuchumi na...
Najua ni kwa kiasi gani tumesoma kwa shida tulio wengi kuanzia zile shule zetu za msingi tulianza kusoma kiingereza darasa la tatu, michango ya madawati ,ada na michango mingine isiyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.