SERIKALI imesema iko tayari kukaa meza moja na chama cha upinzani cha Chadema au taasisi nyingine yoyote itakayotaka kujadiliana kuhusu mustakabali wa taifa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya...
GreaTthinkErs
Kwa jinsi suala hili la umeme linavyonikera licha ya kuwa na maporomoko mengi ya maji.
Kwa jinsi mafisadi wanavyowabembeleza na kufunga vibaka
kwa wanavyopeana vyeo utadhani nchi...
"ka nzi" kanakozunguka kwenye ofisi mbalimbali za serikali kamerudi na uchafu mwingine. Uchafu huu unadaiwa kuwa uko kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi ambayo ndiyo chombo ambacho Watanzania...
kuna wadau wameanza kampeni "PETITION" ya kuzitaka nchi wafadhili kukata misaada kwa Tanzania kwa sabau za kifisadi za serikali ya kikwete. Mnaomba kusaini hiyo petition ili hawa mafisadi washike...
Ufisadi Ardhi wamtisha Waziri Anna Tibaijuka
RIDHIWAN, SOFIA, MWANRI, DK. KIMEI WAFIKISHWA TAKUKURU
na Ratifa Baranyikwa
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa...
Ikiwa hali ndizo hizi,chaguzi za nini?.
Hivi tunavyoandika chaguzi zenye mizozo ziko Haiti,Misri na Ivory Coast.
Unajua haya mambo ya uchaguzi yana gharama mno,kuanzia mali mpaka muda na afya...
Hakuna asiyejua mtu aliyetuingiza kwenye mkenge wa ajabu wa jitu linaloitwa Richmond ambalo sasa linazaa jitu kubwa zaidi linanyonya damu yetu linaloitwa Dowans.
Hapo zamani tuliambiwa na PCCB...
Imekuwa ni kawaida ya marais kusamehe wafungwa wa makosa mbalimbali hasa ya kifungo kidogo na makosa ambayo wafungwa wametumikia kwa muda furani.
Ndg liyumba anasiku magereza na je wanajamii...
Ndugu Watanzania ambao tunaoshi maeneo ya Washington DC, tunawatangazia wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu, 2010 na namna shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi...
BBC Kiswahili walitangaza leo jioni kwamba inaonekana marais wa Afrika wamebuni mfumo mpya wa demokrasia. kwamba waliopo madarakani wakishindwa kwenye uchaguzi hukataa matokeo. Lengo ni...
Jumapili ya tarehe 5 dec 2010 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wana wa moshi baada ya mh mbuge wa moshi mjini na madiwani wake kuandaa party ya shukrani kwa kila kata.ilikuwa imetulia sana.source me...
kiwewe baada ya kusikia Slaa(PhD) atapeperusha bendera ya Chadema
kutumia vyombo vya ulinzi (unakumbuka hadithi ya shimbo?) kuchimbia mkwara wananchi
kugomea kufanya mdahalo wa moja kwa moja kwa...
Kuna watu wana ham kweli ya kuona Chadema kinapotea katika medani ya siasa.
Ninawasikitikia kwa sababu wamechelewa.
Chadema kimeteka akili za Watanzania waliokwenda shule kama CCM kilivyoteka...
Obama amemwambia rais Bagbo kwamba akubali alishindwa kwa mpinzan wake na aachie madaraka.
Kwanin Obama hakumwambie JK kwamba ameshindwa na amuachie Slaa nchi?
Kama mnakumbuka mmoja wapo wa...
Jana nimensikia mh Nahodha, waziri wa mambo ya ndani akiongea na waandishi wa habari akiwa pamoja na vyombo vyake vya usalama. Alikuwa akizungumza kupitia kipindi kilichorekodiwa cha Polisi na...
CUF tangu kuanzishwa kwake imekuwa na nguvu sana Pemba, na idadi ya wabunge wake wakati wote imebakia ile ile kukiwa na mabadiliko kidogo sana. Licha ya kwamba chama hiki kilianzishwa Tanzania...
Sitta: Kuilipa Downs ni kuhujumu uchumi Send to a friend
Wednesday, 08 December 2010 08:13
ASEMA HIZO NI NJAMA ZA GENGE LINALOTAFUTA FEDHA ZA UCHAGUZI MKUU 2015
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI mpya wa...
Katika Gazeti la MwanaHalisi la wiki iliyopita kulikuwepo stori iliyohusu namna wakubwa waliokuwemo katika serikali iliyomaliza kipindi chake hivi karibuni, walivyo jinemesha wakati wa kulipana...
Wengi huhitaji kuchaguliwa kuwa viongozi lakini hutaka ajira zaidi na madaraka yatakayo ambatana na malupulupu na huu ndio ukweli.Idadi ya mawaziri ni kubwa mno kiasi kwamba wengi wao hawana uwezo...
Monday, 06 December 2010 08:45 Fredy Azzah
MWENYEKITI wa CCM, Jakaya Kikwete amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho katika ngazi zote, kuaangalia kwa makini mambo ambayo yalisababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.