Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwenyekiti CCM atishia kumshitaki Shibuda kwa kumkashifu Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 8th December 2010 @ 21:25...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nec yarejesha majina ya madiwani viti maalumu Imeandikwa na Christopher Maregesi, Bunda; Tarehe: 8th December 2010 @ 21:20 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imerejesha majina ya madiwani wa viti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF kwanza nawapongeza kwa u serious humu jamvini kwenye kujadili maswala kwa ajili ya maslahi ya taifa letu. Mungu Ibariki Tanzania. Naombeni mnijuze kitu kimoja wakati wabunge wanapokula...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NIMEKUWA NIKISOMA MAGAZETI YA MWANAHASILI NA RAIA MWEMA, kwa kweli sitaki kuwa mnafiki HAYA magazeti ni ukombozi wa MTANZANIA. NI SILAHA ZA MAANGAMIZI KWA MAFISADI NA WATAWALA MASULTANI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi nadhani humu JF watu wengi tumeingia katika kupalilia mgogoro mkubwa ulio ndani ya CHADEMA ili hali tunajua hali itakuwa mbaya sana kama tutaamua kumwangamiza kiongozi mmoja na wengine...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
sherehe za siku ya uhuru wetu 9.12 ndio hiyooo inakaribia sasa kama kawaida rais wa jamhuri ya muungano huwa mgeni rasmi na msemaji siku hiyo, jee, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mbowe na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kuna mtu huyu ambaye amekuwa akipamba sana vichwa vya habari katika media za hapa nchini. Mara Richmond, mara anamsafisha Chenge na mara anawachunguza wabunge. Kila siku anakuja na jipya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I am a great beliver there should not be privacy in the Public office... Tunahitaji kujua yote yanayoendelea especially when our taxes are concerned. We need to know kwamba mtu anawajibika, na...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
nimetoka Urambo-Tabora this morning,majority wanalalamika wanataka kadi za uanachama lakini hazipatikani.nimefuatilia ofisi ya wilaya wanasema makao makuu hawajatuma toka kabla ya uchaguzi Lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF mimi kuna wanachama wapya wa Chadema sina imani nao kabisa. I dont have any personal issues with them but I am uncomfortable with them. I dont real know what they have in their hearts. Ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ninafahamu mashirika ya TANAPA/NCAA kazi yake ni kusimamia hifadhi za taifa pamoja na hifadhi ya Ngorongoro. Kazi yao ni kusimamia kwa maana ya kutunza ili nature iendelee kuwepo ili wanyama...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Inatia aibu sana kuona kwamba nyingi ya ofisi zetu kwa kweli zina hali ambayo sio ya kustahili kuonrsha sura ya Taifa letu. Dote tunaona tunalalamika tunaacha. Tukumbuke kuwa hapa nazungumzia ofis...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ktk ufuatiaji wa hati za nyumba imegundulika kua kamishna wa kusaini hati ni mmoja tu Dar sijui mikoa mingine inakuwaje. Mawazo yangu yananiambia kua hii si sawasawa kwani uwezekano wa kutokea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam waungwana toka kwa Madiba! Bila shaka hamjambo! Nilipo hapa nafikiria huko nyumbani kinachoendelea na wakati huu ambapo mbayuwayu yuko Ubelgiji sipati picha pale ambapo waziri mkuu angekuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HABARI ZENU WANA JF Nimeonelea leo tujadili hili suala je watunga sera hawalioni kama ni kitega uchumi kwa wenzetu toka Bukoba hasa maeneo ya Nyamkazi especially maeneo ya Nyanshenye secondary...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ilianza kama masihara, richmond, mara dowans, wakaibuka wanyamapori waitwao meremeta, mara tangold, wakaja deep green resources. Sasa hayo yote yameibuka 2008. Hatujui huko nyuma kabla ya 2008...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nigeria yamshitaki Dick Cheney Idara ya kupambana na rushwa nchini Nigeria imefungua mashtaka dhidi ya makamu wa zamani wa rais wa Marekani Dick Cheney, kuhusiana na kadhia za hongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahisani wanaochangia bajeti kuu ya Tanzania (GBS) wameikataa bajeti waliyopelekewa na serikali ya Tanzania kuwa ni tofauti na iliyopitishwa na bunge Julai mwaka huu. Jamani hii si aibu na...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Ndugu zangu, tayari Serikali mpya ya CCM imeanza kutekeleza mikakati ya maisha bora kwa kila mtanzania. Leo katika taarifa ya habari saa 2 usiku kupitia ITV, imeripotiwa kuwa Hospitali ya mkoa wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom