Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi kwa nini hatuandamani kuonesha kukerwa kwetu na hawa MAFISADI!!!??? What's wrong with us??!!! Tatizo letu hasa ni nini??!! Are we bewitched or something???!!! Hawa watu wataendelea "kuhomola"...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aren't the two related? wait a minute they both whistle blew the secrets of the Governments hence crossing the line of Authority with their freedom of speech! What do we learn from their saga...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jambo wakuu. Jana nilibahatika kupitia ofisi fulani, nikakutana na maafande wa polisi, RPC wa Arusha Basilio Matei. Katika maongezi akamtambulisha afande Thomas Andengenye( RPC MORO), akasema...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
GrEatThinkers! Hivi kuna nini Afrika, Mbona inatia KicheFF cHeFF Mpinzani Kashinda Urais katangazwa na Tume; Rais aliyetakiwa kuachia madaraka katangazwa na Mahakama kuwa ndiye Rais na Wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani nsaidieni hivi ni vigezo gani vilitumika katika kuwateuwa wabunge wa viti maalum???????? je ni uzuri ama utendaji kazi na uwajibikaji wao????? coz kinachozungumzwa sana na vyombo vya habari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KUNDI la wahisani wanaochangia bajeti kuu ya Tanzania (GBS) limeibua kashfa baada ya kueleza kuwa serikali iliwapelekea bajeti tofauti na ile iliyopitishwa na Bunge Julai mwaka huu.Taarifa za...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai mjini Brussels, Ubelgiji Desemba 6 ambako walikutana wakati wa mkutano wa siku mbili wa Maendeleo ya Uchumi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJF nimestushwa na habari iliyoandikwa na gazeti la UHURU toleo la leo jumatano tarehe 8 Dec, 2010. Nimeangalia magazeti mengine, hakuna hata moja lilioandika walichoandika GAZETI HILI LA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Gazeti la Majira la leo linatuhabarisha ya kuwa Mbunge wa Nyamagana Mheshimiwa Wenje amechangiwa samani za ofisi ambazo mbunge wa zamani Masha aliziondoa........... Na wakati huohuo Zitto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni wakati muafaka kwa CHADEMA (CDM) kuandaa maandamano kupinga ufisadi wa Dowans na kuendelea kukosekana kwa Umeme , haya maandamano ikiwezekana ya fanyike kwa pamoja mikoa yote yakiongozwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania ni watu wa Ajabu sana. Wanaibiwa wananyamaza, wanacheka kama nyani. Matokeo yake wanakuja kuvuna mabua. Mafisadi wanatafuna nchi, kwa hiyo lazima tuchukue hatua. Kuna kaka amejitolea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi. Katiba yetu ina maelezo gani kuhusu uchaguzi mdogo (by-election)? Hivi ni kweli kwamba kama ikitokea opportunity ya by-election muda wowote ule, chama kinaruhusiwa kumsimamisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JK angeweka Bandari wizara ya Ujenzi kama Viwanja vya ndege ili kuwashughulikia mafisadi wadogo pale Bandarini ingekuwa bomba sana. Nadhani hata wizi wa kijinga ungepungua pale. Naona mawaziri wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHADEMA HAKUNA KUONGEA NA SERIKALI YA JK HADI IKIRI HADHARANI KUWA ILICHAKACHUA USHINDI WA JK:angry:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kikwete misses out on legacy CORRUPTION, GOVERNMENT BUREAUCRACY SABOTAGING LANDMARK PROJECT By Fumbuka Ngw'anakilala 7TH DECEMBER 2010 A giant $2 billion project that could have potentially...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Who's the Most Popular Modern President? John Hudson John Hudson – Mon Dec 6, 6:07 pm ET WASHINGTON, DC – According to a new Gallup survey, President John F. Kennedy remains the...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Kutokana na hali ya mgao wa ememe inayorindima Tanzania, kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa na huduma mbalimbali za kijamii pasipo kujua hatma yake.mimi kama Mtanzania mwenye kipato cha chini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninaangalia taarifa ya habari ya ITV,Libya imeendelea sana.Miundombinu safi,maji n.k.Libya ipo kwenye jangwa ila Tanzania licha ya rasilimali zote bado tunasuasua.Nimeumia sana.Jiji la Dar tu...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Naam, viongozi wetu bado hawajaanza kazi. wanaona kwamba ndiyo kwanza wamechaguliwa, wanahisi wanahitaji kupumzika kidogo. Matatizo yetu hayawasubiri wapumzike, yanaendelea kukua na mapya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom