Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
wanafunzi wa udsm tumechoshwa na harakati za migomo zinazoendelea na kuchochewa sana na vyama vya siasa vya nchiii.....tunataka kusoma...sio migomo .
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi ni kwanini Serikali isinunue Magari haya wanayopenda direct from Japan brand new kwa bei ya max of up to $80,000 tu plus $3000 transportation, na bado wakinunua mengi Kiwanda cha Toyota...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Fighting corruption in developping countries Brussels, Belgium – Corruption is endemic in the developing world and is so prevalent it often goes unnoticed, according to Word Bank Group...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Nakumbuka Kipindi kile kilichoileta RICHMOND nchini ulianza Upuuuzi kama huu unaoendelea wa kuwekwa gizani kama mwezi hivi, Matokeo yake EL akaenda THailand kutafuta mvua ya kutengeneza, Baadaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AHADI YA ELIMU BURE MPAKA FORM SIX NDANI YA MIAKA 5 , HUDUMA ZA AFYA BURE KWA WAZEE NA KUPUNGUZA BEI YA SEMENTI. Kwa muundo wa sasa wa nchi yetu, yaani serikali mbili hili jambo lingewezekana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema (TLP), amemvua madaraka Mwenyekiti wa Kijiji cha Kyala, Kata ya Marangu Magharibi, Agustino Fabiani kwa madai ya unywaji wa pombe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
GreaTtHinkers!!! ONeni Kamchezo mimi nimekachungulia Je hakana Ukweli wowote hapo??? Inawezekana tulipigwa changa la macho???? Wezi wa mifugo yetu ni wale wale ila jina la Bucha ndiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Juma Duni Haji Mawazo ya jumla waliyonayo ndugu zetu wa Tanganyika ni kwamba Wazanzibari wanafaidika zaidi na Muungano na hivyo malalamiko yao hayana msingi zaidi ya tabia mbaya ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tanzania and its major donors meet for three days in Dar es Salaam starting today to assess the effectiveness of aid given directly to the government amid concerns of the authorities about...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Finance and Economic Affairs Public Accounts Social Services Social Welfare & Community Development Constitutional, Legal and Public Administration Standing Orders Parliamentary Privileges, Ethics...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
SILINDE, MKOSAMALI WAMETUPA FUNZO KUBWA WASOMI Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni ambao mchakato wake ulitawaliwa na vituko kibao tangu mchakato wa kura za maoni mpaka uchaguzi mkuu umeacha...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Safari kuelekea umoja wa vyama vya siasa vya upinzani kwa masilahi ya umma bado ni ndefu. Nini mtazamo wenu wanaJF na umuhimu wa ushirikiano wa pamoja kwa vyama vya upinzani nchini. Natanguliza...
0 Reactions
111 Replies
8K Views
Mimi mwananchi wa kawaida kabisa ninayeishi kijijini Tatizo kubwa tulionalo ni umasikini tunaoishi nao Tunategemea kilimo sana (kilimo ndio uti wa mgongo) I use to hear… Lakini ki ukweli...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Closed
Slaa alikuwa anapata taabu kweli. Zitto hakuwa na wakumzuia kushinda jimboni kwake, kwa nini hakumsaidia Slaa kupiga kampeni mikoa ambako Chadema kilikuwa na ushawishi mdogo. Yeye (Zitto) si...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Najua na kufahamu kuwa Tanzania kuna newspapers nyingi sana kutoka kampuni tafauti,na yote yanauzika na kusomwa kila kona ya Tanzania yetu na hata nje. Lakini utafiti niliyoufanya pindi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
By PIUS RUGONZIBWA, 5th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 22 KASULU South MP (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, intends to table a private motion in the National Assembly in February...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Juzi juzi nimeona tumekuwa informed nafasi ya january makamba imezibwa. Binafsi sioni kazi ya January makamba kama ilikuwa nyeti au muhimu sana kulingansiha na watu wengine ambao hata media...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Daladala zina uzuri wake ,leo asubuhi nimebahatika kuwasikia watumishi wawili wa wizara ya afya wakimwaga yale yanayowasibu kazini .Walianza kuzungumzia tetesi kuwa waziri wa afya bw. Mponda na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kitendo cha Kikwete kuongeza ukubwa wa Baraza lake la mawaziri, ndiyo kusema kaanza kutekeleza ahadi yake ya kuongeza ajira? Tamko la Mizengo Pinda wakati akihutubia alipoteuliwa kuwa Waziri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom